Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Upuuzi mtupu ulioandika humu. Hoja hapa kwa nini kwenye matatizo ya pumbu hawaoni ufalme wa Mungu katika biblia? Unaniletea tafsiri zako unazozijua wewe...
 

Mkuu:

Nadhani hawajasoma maandishi ukutani. Niliposema kuwa wanazuoni wajipange nilikuwa nafahamu ninamaanisha nini. Kama wanazuoni Wa Kiislamu walizembea katika wajibu wao tunawakumbusha warudi kazini.Je, hizo nukuu kutoka Kurani nazo zimechakachuliwa kama hadithi za Mtume kama wanavyodai?
 
Upuuzi mtupu ulioandika humu. Hoja hapa kwa nini kwenye matatizo ya pumbu hawaoni ufalme wa Mungu katika biblia? Unaniletea tafsiri zako unazozijua wewe...

Mkuu jibandike katika Hoja. Hapo ihayoingea ni Kurani ambayo ni Maneno ya Mungu ambayo hayajahaririwa hata kwa koma Na Bahati nzuri mjibu hoja katumia Na Lugha ya kiarabu ambayo ndio Lugha aliyotumia Mungu.
 
Utakuja kunielewa tu.Andaa tafsiri pia juu ya hao vijana wawili kuzimishwa na kisha kuzinduliwa baada ya karne nyingi.Wewe hujui kama unafunga mlango na madirisha na mwisho wa siku utakosa pa kutokea.Stay tuned.
wewe ni dini gani?
unatumia kitabu gani?
una hakika kitabu chako hakina makosa?
usije kurushia mawa wenzako wakati unakaa nyumba ya vioo!!!!
 
Hilo ndio tatizo lako Mungu amezungumza baadhi ya hadithi kutokana na maswali alioulizwa mtume kuhusu dhul qarnaini na ametoa sifa dhul qarnain alikuwa muumin ww unaleta habari ya alexander mpagani bure kabisaa
 
Mkuu tatizo lao kubwa ni kuaminishwa kwa kukaririshwa, tena kwa bakora! Akisha pata sigda kama kifuu usoni, huku kavaa kanzu na kijuba, bakora na tasbihi yenye kete kubwa...na huku kafuga ndevu badala ya kufuga nguruwe kiuchumi na kiafya [emoji4] basi anatamba mtaani mii mwichilamu usicheze na mimi dogo [emoji4] utacheka sana anavyo chezesha uso na mdomo wakati akiazini! Ukiwaambia kila siku kengele inawaita wajinga njoo, wajinga njoo hawataki kwenda Kanisani [emoji15] sisi wengine Tulio itikia wito wa kengele na kwenda Kanisani UJINGA UMETUTOKA NA KUPATA HAKI YETU YA UBATIZO [emoji123] [emoji106]
 
wewe ni dini gani?
unatumia kitabu gani?
una hakika kitabu chako hakina makosa?
usije kurushia mawa wenzako wakati unakaa nyumba ya vioo!!!!

Hoja ya Jua kuzama katika matope meusi ni hoja ya Kisayansi na waislamu wanakiri hivyo.Kwa misingi hiyo, ni hoja inayovuka duara la dini.Mimi nataka kusilimu na hivi nataka kabla ya kufanya hivyo nibandukane na hoja zote zenye ukungu wa mashakamashaka.Unasemaje sasa? Nimeeleweka?
 
jibu swali langu..usikwepe kama ulivyomkwepa kiranga.....
 
Huyo ndio wale mungu wako alichapwa viboko na aliowaumba kazi kwelikweli

Watu wenye hufanya mambo yao kwa akili na utawaona katika matunda ya kazi zao.Kwa sababu mumekimbia kutueleza Dhul-Qarnaini ni nani,sisi tufafanya kazi hiyo.Stay tuned.
 
wewe ni dini gani?
unatumia kitabu gani?
una hakika kitabu chako hakina makosa?
usije kurushia mawa wenzako wakati unakaa nyumba ya vioo!!!!

Maswali gani unauliza wewe? allah mwenye deen yake kawaelekeza Mkiamini [emoji117] wewe ndio kwanza humuanini allah na Muhammad tunatafuta makosa...[emoji15] au ni wazimu wa maswali?? [emoji117] halafu mmepigwa ban kuuliza [emoji117] endeleeni kumuaibisha allah na baba kassim [emoji122] [emoji106]
 
Wewe unasema mimi napotosha.Sawa unaweza kuniambia Muhammad alimaanisha nini kusema kwamba Mungu alimuambia kuwa maziwa ya Ng'ombe hutokea katikati ya Mavi na damu yake?
Makubwa haya...mkuu hebu weka aya...damu ya nani na hayo mavi ya nani tusikuwa tunalishana uchafu aaaaagh
 
Na ni Cyrus huyu huyu ambaye anatajwa kuwashikilia Juja na Majuja? Na je bado yuko hai hadi leo? Na kama hayuko hai, na kama ndiye, anawashikiliaje akiwa alishafariki dunia?
Dhulqarnayn ameshakufa na wala hakuwashikilia juj wa ma' ajuj bali aliweka uzio uliyowatenganisha baina ya watu wa hilo eneo alilowakuta na juju wa maajuj.
 
Umeshajibiwa.Mimi situmii reasoning kama ya mende.Unataka mpaka niandike kwamba ni dini fulani.Umeshindwa kusoma katikati ya mistari?
Wewe umejidharirisha kwa kiwango cha standard Gauge ngoja ntakujibu kwa mfano mdogo sana nikirudi nyumbani.Yaani umejiona bongo la genius na umeona umejenga bonge la hoja.Lakini umewapata maboya wenzako basi umejiona mjanja
 
Nakazia..
 
Kiranga
naona hoja hapa ni logical consistency. Je kutokuwepo kwa hiyo consistance kuna fanya kutokuwepo kwa Mungu wa Koran au Biblia? Mimi naamini ktk Mungu wa biblia lakini siamini ktk logical consistency yake hasa nikizingatia kuna vipindi vya uongozi wa Mungu ambavyo sheria na taratibu zinabadilika.
Ukitafuta ushahidi wa ki fact ktk biblia utaukosa ila wa Truth utapata.
Kwa Mungu Truth matters sio FACT
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…