Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Unasema JUA likisogelea dunia ni kwamba dunia inawza kuyayuka kwa mujibu wa sayansi sasa alie enda huko ku proof wrong qur ani alifikaje bila kuyayuka
 

Unahubiri INJILI nyingine hivyo laana umeivaa [emoji117]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
King James is not the best Bible to answer the most critical questions about The God Jesus Christ. Look for The Holy Bible, that has no ones Name. Thats is were all dogmas lie.

Hali Ni Mbaya zaidi kwa Noble Quran. The only version that holds true Meaning is Arabic Quran. The massage is violence, it was forged by Othman himself. Unlike Hizi English, Swahili Versions etc of Quran are all deceptive. Translations were made to deceive the Non Muslims.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa si unajua kila binadadamu ana mapungufu yake.
Muhammadi alikua ni binadamu tu na alikuwa anamakosa kama binadamu wengine.
Ndio maana aliambiwa,

" tubu kwa dhambi zako na dhambi za uma wako "

Au "

ubaya uliokufika umetoka nafsini mwako "

Muhammadi alifanya dhambi nyingi tu hapa duniani, mijawapo huenda ikawa ni hiyo.

Mwana wa Adamu aliyeshuka toka mbinguni na Akapaa kwenda Mbinguni, Simba wa kabila la Yuda, ambaye Yuko hai muda wote, (NIKO AMBAE NIKO) Alfa na Omega, Emmanueli, Mwana Mungu, NENO, MUWEZA wa yote, Yesu Kristo wa Nazaleti, Muumba wa Mbingu na Nchi, Mungu Mwenye Nguvu ( Isaya 9:6) ndiye pakee Mtakatifu na mkamilifu.
Alisisitiza sana mara kwa mara kwa kusema,
" heri yao wale wasio na mashaka nami "
"ninyi mmebahatika kujua siri ya ufalme wa Mbingu "
Ila kuna watu, wanamasikio lakini hawasikii, wanamacho lakini hawaoni.
Ibilisi amewafunga Nafsi zao.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amina Mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
King James is not the best ndivyo ulivyoambiwa na Padri wako au Kardinali wako Pengo??
 
Kumbe Kwenye biblia ya king James kumeandikwa injili nyengine?? Au injili ya popo Francis Mwalimu Wa shoga Yayo Agassi ndiyo injili ya kweli??


View attachment 842044 [emoji38] [emoji38] [emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe Kwenye biblia ya king James kumeandikwa injili nyengine?? Au injili ya popo Francis Mwalimu Wa shoga Yayo Agassi ndiyo injili ya kweli??
Angalia ujumbe ulio kusudia kuuleta [emoji12] wewe ndie ninae kwambia Unahubiri INJILI nyingine [emoji12] kama hauhubiri INJILI nyingine sema YESU NI MWANA WA MUNGU [emoji4] sema [emoji15] [emoji47]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia ujumbe ulio kusudia kuuleta [emoji12] wewe ndie ninae kwambia Unahubiri INJILI nyingine [emoji12] kama hauhubiri INJILI nyingine sema YESU NI MWANA WA MUNGU [emoji4] sema [emoji15] [emoji47]

Sent using Jamii Forums mobile app


Gavana hajaandika biblia au unafikiri mimi nimeandika King James version ???


Is Jesus "God's Son" or "God's Servant (SLAVE)?" [1]

King James Version
Acts 3:25 - Ye are the children of the prophets, and of the covenant which God made with our fathers, saying unto Abraham, And in thy seed shall all the kindreds of the earth be blessed.​

Acts 3:26 - Unto you first God, having raised up his Son Jesus, sent him to bless you, in turning away every one of you from his iniquities.

New King James Version
Acts 3:25 - You are the sons of the prophets, and of the covenant which God made with our fathers, saying to Abraham, 'And in your seed all the families of the earth shall be blessed.​

Acts 3:26 - To you first, God, having raised up His Servant Jesus, sent Him to bless you, in turning every one of you away from his iniquities.

"Servant" here is slave. Jesus was called ABD (SLAVE) in the OT [2], the
same word used for the Jews' slaves, and all slaves in general, throughout
the Bible [2]. Jesus, the abd of GOD, is also the slave of GOD in the NT.​
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…