Sasa si unajua kila binadadamu ana mapungufu yake.
Muhammadi alikua ni binadamu tu na alikuwa anamakosa kama binadamu wengine.
Ndio maana aliambiwa,
" tubu kwa dhambi zako na dhambi za uma wako "
Au "
ubaya uliokufika umetoka nafsini mwako "
Muhammadi alifanya dhambi nyingi tu hapa duniani, mijawapo huenda ikawa ni hiyo.
Mwana wa Adamu aliyeshuka toka mbinguni na Akapaa kwenda Mbinguni, Simba wa kabila la Yuda, ambaye Yuko hai muda wote, (NIKO AMBAE NIKO) Alfa na Omega, Emmanueli, Mwana Mungu, NENO, MUWEZA wa yote, Yesu Kristo wa Nazaleti, Muumba wa Mbingu na Nchi, Mungu Mwenye Nguvu ( Isaya 9:6) ndiye pakee Mtakatifu na mkamilifu.
Alisisitiza sana mara kwa mara kwa kusema,
" heri yao wale wasio na mashaka nami "
"ninyi mmebahatika kujua siri ya ufalme wa Mbingu "
Ila kuna watu, wanamasikio lakini hawasikii, wanamacho lakini hawaoni.
Ibilisi amewafunga Nafsi zao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using
Jamii Forums mobile app