Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Majemedari ni wachache yoshua ndio kawaingiza waisrael nchi ya ahadi ww unafikir damu kiasi gani imemwagika amri nzito apewi mtu asiye ziweza sasa kama watu wanakutemea mate huu ni unyonge wa kiwango cha kimataifa
 
AhHahahahaahahajajaj hii hoja yako DHAIFU tumekujibu sana waarabu si watu mimi mnyamwezi si mtu haya jibu ndio hili 7:158 Quran labda kama ww sio mtu awe mwarabu awe msukuma lakini kama ni mtu mtume ni mohamadi
Kimbunga kikitokea kwa watu wa Japan watu Wa Tz wanahusika? nyama zilizo vikwa sanda zinawaponza [emoji12] [emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"" had just been married;"" hili neno maana yake ni BRIDE ahahahaahahahahah nimekwambia muda mrefu ebu nenda kaulize dictionary mdogo wangu mbona haya mambo yako hadharani ata hili tukufundishe
Siulizi kokote dogo [emoji12] wee niwekee aya alicho kifanya muhammad kwa kizuka safiyah allah karuhusu basi [emoji15] [emoji4] mbango haijibu hoja!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
weka Ushahidi Mungu karuhusu wake wengi [emoji47] [emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli waliosoma na wasiosoma si sawa. Wewe unaongea hayo maneno kwa ushahidi upi?

Unajua ukitoa hoja basi uwe na ushahidi wa kauli yako au utakuwa unajipotezea pumzi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siulizi kokote dogo [emoji12] wee niwekee aya alicho kifanya muhammad kwa kizuka safiyah allah karuhusu basi [emoji15] [emoji4] mbango haijibu hoja!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahahahahahahahhahahahahaha bange hizi hapo hakuna tatizo huyo hakuwa mke alikuwa bibi harusi mpaka ushikiwe fimbo ndio uelewe alaaaaaaaaa
 
Yeye ATAKALO HUWA NA HANA MSHAURI [emoji123] [emoji106]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahahahahahaaaaaaaaaaa amebadilika anaua sasa ahahhahahahahhaahaha huo ndio mwisho wako unakimbia kimbia sasa umekubali kuwa ata wakina musa aliwatuma kuua kuna na yule kilaza mwenzako nae atakufanya ww ubao atakuwa ameelewa sasa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…