Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
aliye umba magaidi Wa kuwasumbua Mitume ni allah [emoji117] View attachment 844996 wameshindwa Yesu yuko Hai wanajifanya eti alibabaishiwa mtu mwingine [emoji15] [emoji4] nani? Hawamjui hata jina [emoji38] [emoji38] Hao unaosema majemedari wengine wamekufa wamepakatwa na mkewe huku analia lia [emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
Majemedari ni wachache yoshua ndio kawaingiza waisrael nchi ya ahadi ww unafikir damu kiasi gani imemwagika amri nzito apewi mtu asiye ziweza sasa kama watu wanakutemea mate huu ni unyonge wa kiwango cha kimataifa
 
Ahahahhahaahhahhahaha hilo nalo limekushinda wap au neno SLEPT ni tatizo kwako ahahhahhahjahha unarudia rudia yale yale kwani hakuna mengine ahahahahaha
Kwani kwenye uislamu kuna jipya!? Ni Yale Yale tu [emoji4] kama hili [emoji117] utasema jipya
IMG_20180820_174721_028.jpg


Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
AhHahahahaahahajajaj hii hoja yako DHAIFU tumekujibu sana waarabu si watu mimi mnyamwezi si mtu haya jibu ndio hili 7:158 Quran labda kama ww sio mtu awe mwarabu awe msukuma lakini kama ni mtu mtume ni mohamadi
Kimbunga kikitokea kwa watu wa Japan watu Wa Tz wanahusika? nyama zilizo vikwa sanda zinawaponza [emoji12] [emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"" had just been married;"" hili neno maana yake ni BRIDE ahahahaahahahahah nimekwambia muda mrefu ebu nenda kaulize dictionary mdogo wangu mbona haya mambo yako hadharani ata hili tukufundishe
Siulizi kokote dogo [emoji12] wee niwekee aya alicho kifanya muhammad kwa kizuka safiyah allah karuhusu basi [emoji15] [emoji4] mbango haijibu hoja!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahahahahahahhahahahaha mbona unatema povu Mungu aliumba msaidizi na huyo huyo aliruhusu kumiliki wanawake wengi ndio maana wenye nguvu zao maridadi wakina selemani walikuwa na 700 ww unga unga mwana kamoja kanakushinda ata Israel Mungu alijua kamke kamoja watoto 12 itakuwa tabu akampa yakobo wawili na vijakazi 2 ndio wana wa Israel kukamilika 12 Mungu angekuwa na akili mbovu kama yako ya kamke kamoja leo wana wa Israel wasingezidi 6 ahahahahahhaha
weka Ushahidi Mungu karuhusu wake wengi [emoji47] [emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si ndio maana huyo dada wa kiyahudi akampa sumu. Na jamaa akailamba kweli. Huyo dada alipoulizwa akasema huyu jamaa kaniulia familia yangu yote so nilimpa hii sumu nijue kama kweli ni mtume basi haitamdhuru lakini kama ni muongo basi atakufa. Na ikamuua.
Kweli waliosoma na wasiosoma si sawa. Wewe unaongea hayo maneno kwa ushahidi upi?

Unajua ukitoa hoja basi uwe na ushahidi wa kauli yako au utakuwa unajipotezea pumzi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom