Au alimpa mimba yule kijana aliyeitupa chupi na kukimbia uchi huku akimwacha mume akipewa kichapo cha jibwa koko
Hapana alimpa mimba aisha [emoji117] View attachment 845694 Swafan kiboko mpaka mamaa kasema yoote..
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Biblia Haikuandikwa kama Atakavyo Mwanadamu! MUNGU ndiye mjuzi wa kila kitu, katika ujuzi wake Ndipo alipo Mpa Adam Eva! Angeona haja Angempa mbuguma kulingana na haja! View attachment 845611 tatizo uchu [emoji4] huyo selemani ambaye hamuishi kumuona kuwa ni kigezo chenu mwishoni alitamka haya [emoji117] View attachment 845653
Sent using Jamii Forums mobile app
Biblia Haikuandikwa kama Atakavyo Mwanadamu! MUNGU ndiye mjuzi wa kila kitu, katika ujuzi wake Ndipo alipo Mpa Adam Eva! Angeona haja Angempa mbuguma kulingana na haja! View attachment 845611 tatizo uchu [emoji4] huyo selemani ambaye hamuishi kumuona kuwa ni kigezo chenu mwishoni alitamka haya [emoji117] View attachment 845653
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona unapo vaa hariri na Pete sawia niuzie Bana nina boku jero [emoji119]Shukrani Kwa hadithi sasa jibu swali uliloulizwa , hiyo pete yako unayomvisha Askofu wako kila siku,sasa imekuwa kubwa??
Ndivyo alivyokuhadithia Askofu baada ya kumvisha pete ??
Kuna wakati,Kabla ya kusema na kuandika,Ilitupasa tusome kwanza
Quraan imeshuka kwa Lugha ya Kiarabu,Ilikuwa bora sana kwetu sisi,kuijua hii Lugha kwa undani wake,ili itusaidie katika kuichambua hii Quraan,kwasababu Quraan ya asili ipo mikononi mwetu na wala haijachafuliwa na wachafuzi,Hatuna sisi Quraan ya zamani(Agano la kale) na Quraan mpya(Agano jipya)
Neno
عين حمئة
Ni neno la Kiarabu,lenye maana kuu mbili
1)Uzamo wa jua upande wa Bahari
وقوله : ( وجدها تغرب في عين حمئة ) أي : رأى الشمس في منظره تغرب في البحر المحيط ، وهذا شأن كل من انتهى إلى ساحله ، يراها كأنها تغرب فيه ، وهي لا تفارق الفلك الرابع الذي هي مثبتة فيه لا تفارقه .
2)Tope jeusi
Na haya maneno,yamenukuliwa kutoka katika Torati
كان ابن عباس يقول ( في عين حمئة ) ثم فسرها : ذات حمأة . قال نافع : وسئل عنها كعب الأحبار فقال : أنتم أعلم بالقرآن مني ، ولكني أجدها في الكتاب تغيب في طينة سوداء .
Sasa ndg,Kabla kuwa na mdomo mpana wa kumtukana Mtume wa Allah Sala na salamu ziwe juu yake
Unatakiwa ujifunze mambo makuu mawili
1)Adabu kwanza
2)Elimu sahihi
Ndg
Wana JF,tuacheni chuki
tuwe na nia ya kujifunza na kuutafuta ukweli popote ulipo,kwa nia njema
Kubezana
kutukanana
Mabishano yasiyo na maana
hayana tija wala faida
Mhubiri alimhadithia Mwalimu Wa shoga Yayo Agassi Pope Francis ??
Huyo aliyekuandikia hiyo aya uliyouliza paste yà mwanzo aliandika nani au ni Yule Mwalimu Wa shoga Yayo Agassi??
Mbona
Umechokaa [emoji15] [emoji47] karibu ksambusa upate View attachment 845844View attachment 845845usiishie na bapa bardiii View attachment 845846 [emoji39] [emoji39] [emoji106] [emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Lugha ya Kiarabu sio lugha ya kipekee sana duniani.Wayahudi waliandika Agano la Kale kwa Kiebrania na Agano Jipya kwa Kigriki na bado watu wamejifunza lugha hizo na leo wameweza kufanya tafsiri mbalimbali juu ya maandishi yote hayo.seuze Kiarabu.Unachotaka kuongea hapa ni nini hasa kwa kutanguliza hiyo lugha yako ya Kiarabu.Kila mtu anafahamu kuwa Kurani iliandikwa kwa lugha hiyo.Jielekeze kwenye hoja.Ni kweli Mungu alimueleza Muhammad kuwa Jua huzama kwenye matope meusi?