masoud mshahara
JF-Expert Member
- Mar 31, 2018
- 4,712
- 2,010
Ahahaaaahaahahaha tumeshakwambia nani kupoteza ni SAM SHAMOUN ahahaaha kwa tafsiri zake za uongo hilo neno mirt huyu ndugu yako sam anasema garment wakati ni A SHEET OF CLOTHusishangae weka na hii [emoji117] View attachment 848419 [emoji38] [emoji38]
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Ahahahahhaah kweli ww ni tatizo SAHIHI BUKHARI 2442 aisemi hivyo ata sijui huwa unaokota wapi na lengo lako pia sijui umdanganye hiyo hadithi ulioitoa SAHIHI BUKHARI hadithi no 2442 inasema hiviusishangae weka na hii [emoji117] View attachment 848419 [emoji38] [emoji38]
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Ahahahahahahaahaajhaaaaj ameanza kutunga na hadithi zake mpyaMnaposhindwa Hoja hukimbilia makatuni na hadithi za Mwalimu Wa shoga Yayo Agassi Pope Francis
Kwanza umekatisha aya umeunga unga bure kabisaaa ww aya andiko si hiliKwa hiyo allah naye anagawiwa mbuguma....[emoji15] [emoji47] ndio hoja hapo unajifanya huoni eeh [emoji15] [emoji4]
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Kwani hata usipojadili ama ukijadili kuhusu jua kunaunachoweza kubadili kulihusu? Yaani chukulia mfano wa mvua, ukiharibu mazingira unaweza kuathiri kunyesha/kutokunyesha mvua...Vita iko wapi hapo? Hatujadili dini Bali ukweli Wa Sayansi ya Jua.Lazima kutenganisha Dini na sayansi katika suala hilo.Jua liko kwa faida yetu wanadamu na si kwa faida ya Mungu.Kwa hiyo,tukijifunga kutojadili mambo yanayotuhusu, tunaokuwa tunaumia ni sisi na wala sio Mungu.
Kwani hata usipojadili ama ukijadili kuhusu jua kunaunachoweza kubadili kulihusu? Yaani chukulia mfano wa mvua, ukiharibu mazingira unaweza kuathiri kunyesha/kutokunyesha mvua...
Sasa tuje ktk jua ukiharibu/kufanya nini utacanya jua liwake/lisiwake??
Sitaki kuzungumzia kuhusu Imani sinaga uvumilivu huko wacha tu nikae kimya!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Imeanza kukosewa nukuu yenyewe...Sijakupata vilivyo mkuu! Unamaanisha kwamba hata wanazuoni wa kiislamu wakikosa majibu haitaathiri chochote katika Jua kuendelea kuchwea kwenye matope au?
Imeanza kukosewa nukuu yenyewe...
Kwanza hizo habari ni ufunuo wa mambo yaliyotokea ktk kipindi cha Musa kabla hata ya Nabii Issa...
Halafu angalia hayo maswali fikirishi jinsi yalivyojengwa...
Hakuna Insafu ktk kuiwasilisha hiyo hoja, hata tafsiri ilotumika hapo sidhani kama ni sahihi..
Sikutaka kujadili hili jambo kwa maana naona kama kuna upotoshaji wa makusudi kwa lengo maalumu. Ndio maana nikahoji kwani kunakitu gani kinaweza kubadili utendaji kazi wa jua hata sisi tulazimike kujadili?
Sent using Jamii Forums mobile app
Inatosha ndugu, nimeshakuambia hakuna insafu ktk nukuu zako, umetafsiri kulingana na akili yako ilivokutuma, hoja haiwezi kusimama!!1.Kwa hiyo, kipindi hicho cha Musa, ndio Jua lilikuwa likizama katika matope?
2.Unasema hata kama Jua halizami katika matope hakuliathiri katika kazi zake,Je,Muhammad alikuwa na maana gani kuliweka jambo hilo katika Kurani kiasi kwamba hata vizazi vya leo vinaliona jambo hilo na hivi kujiuliza iwapo kweli Jua linazama katika matope?
Kwanza umekatisha aya umeunga unga bure kabisaaa ww aya andiko si hili
"; Na JUENI ya kwamba ngawira mnayoipata , basi KUMS ( sehemu moja katika tano) ni kwaajili ya mwenyezi Mungu na mtume, na jamaa, na mayatima, na masikini, na wasafiri
Wote ujawataja umeishia unapotaka kupotosha buree ahahaaha ,ukisikia mwenyezi Mungu na mtume ww kilaza ujue ni itatumika kwenye mambo yahusuyo dini ,ahahahhahahahahhaaha unafikir Mungu anashuka ahahaha huko makanisani mnaambiwa mtolee bwana sadaka ,anapokea padre lakini huku kwetu unashangaa bange hizi
aya hiyo hapo [emoji117] View attachment 848607 onyesha nilipo unga unga [emoji15] [emoji12] ameteka na mbuguma inabidi amgawie allah [emoji4] huoni ni fix ya kudhulumu wenzie [emoji47] [emoji15]
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Taja tuone kama Biblia Takatifu haipo [emoji15] [emoji12]Ulitaka biblia yako ya queen James itajwe
Hadith unaita katuni [emoji15] [emoji122] [emoji122] [emoji736] [emoji736] [emoji736]Mnaposhindwa Hoja hukimbilia makatuni na hadithi za Mwalimu Wa shoga Yayo Agassi Pope Francis
Ahahahhahahahahhahahahaha kumbe kuteka imekuuma ulivyozudhulumu nchi ya watu ya wakaanani kuwaua wenye nchi yao unaona sawa kwakoaya hiyo hapo [emoji117] View attachment 848607 onyesha nilipo unga unga [emoji15] [emoji12] ameteka na mbuguma inabidi amgawie allah [emoji4] huoni ni fix ya kudhulumu wenzie [emoji47] [emoji15]
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Ahahahahahhahahaahahaahaaaahahah unaomba msaadaMkuu:
Kuna suala lingine tena lenye utata nimelipandisha.Ni la Tekinolojia ya Kuunda roboti ya Ndama, inayodaiwa kufanywa na msamaria kwa ajili ya waisraeli.Katusaidie huko.
Ahahahahahahahaahahajajaajaha mayatima na wasafiri umelepeka kanisani ahahahahahahaaya hiyo hapo [emoji117] View attachment 848607 onyesha nilipo unga unga [emoji15] [emoji12] ameteka na mbuguma inabidi amgawie allah [emoji4] huoni ni fix ya kudhulumu wenzie [emoji47] [emoji15]
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Ahahahaaaaaaahahahaj ww uwa unakurupuka mwisho unaumbuka1.Kwa hiyo, kipindi hicho cha Musa, ndio Jua lilikuwa likizama katika matope?
2.Unasema hata kama Jua halizami katika matope hakuliathiri katika kazi zake,Je,Muhammad alikuwa na maana gani kuliweka jambo hilo katika Kurani kiasi kwamba hata vizazi vya leo vinaliona jambo hilo na hivi kujiuliza iwapo kweli Jua linazama katika matope?
Ahahahahahhahahaahahaahaaaahahah unaomba msaada
Ahahhahahahahahajaaaa mkuu hakuna hoja humu JF zinazokosa majibu asa hoja DHAIFU za wakristo kama wwAkasaidie kutoa hoja iwapo jambo hilo lina ukweli au ni porojo tu za kutaka kujipatia mkate wa kila siku.
Halafu, Masoud nimetokea kukupenda bure.Yaani, wewe kwenye hoja ambazo huna majibu yasiyoacha shaka, unakaa kimya mithili ya Mbwa aliyegandamizwa na kinu cha kutwangia nazi.
Biblia yako ya queen James ndiyo unaiita takatifu kama huyo Mwalimu Wa shoga Yayo Agassi Pope Francis unavyomwita Baba Mtakatifu??