Imeanza kukosewa nukuu yenyewe...
Kwanza hizo habari ni ufunuo wa mambo yaliyotokea ktk kipindi cha Musa kabla hata ya Nabii Issa...
Halafu angalia hayo maswali fikirishi jinsi yalivyojengwa...
Hakuna Insafu ktk kuiwasilisha hiyo hoja, hata tafsiri ilotumika hapo sidhani kama ni sahihi..
Sikutaka kujadili hili jambo kwa maana naona kama kuna upotoshaji wa makusudi kwa lengo maalumu. Ndio maana nikahoji kwani kunakitu gani kinaweza kubadili utendaji kazi wa jua hata sisi tulazimike kujadili?
Sent using
Jamii Forums mobile app