Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Tunaendelea kuhakiki au kutisa aya zinazozitangulia aya za Jua kuzama katika Bwawa la matope ili kujiridhisha kama ni kweli ni Mungu alikuwa anaongea katika Sura hiyo au ni kitu kingine tu. Katika sura hiyo hiyo ya 18(Al-Kahf ),aya ya 50 inaonekana Shetani anao madhuria:

"
Na tulipo waambia Malaika: Msujudieni Adam! Walimsjudia isipo kuwa Iblisi. Yeye alikuwa miongoni mwa majini, na akavunja amri ya Mola wake Mlezi. Je! Mnamshika yeye na dhuriya zake kuwa marafiki badala yangu, hali wao ni adui zenu? Ni ovu mno badala hii kwa wenye kudhulumu."

Kwa mjibu wa Kamusi ya Kiswahili,Dhuria ni ndugu katika ukoo.Je,shetani naye anao ndugu?

Kwa kutumia mantiki ya Kawaida, inakuwaje Mungu anageuka kuwa mlezi Wa shetani? Au Kurani inapoongea juu ya " Mola mlezi" inakuwa Na maana gani hasa?
 
toa andiko acha kubuni

Hayo hapo [emoji117]
IMG_20180710_070842_596.jpg
jZ3gVmns.jpg
 
Kaka onyesha hizo aya upewe maelezo yake ya kina.
(1) “Fight against those who do not obey Allah and do not believe in Allah or the Last Day and do not forbid what has been forbidden by Allah and His messenger even if they are of the People of the Book until they pay the Jizya with willing submission and feel themselves subdued.” 9:29
 
(1) “Fight against those who do not obey Allah and do not believe in Allah or the Last Day and do not forbid what has been forbidden by Allah and His messenger even if they are of the People of the Book until they pay the Jizya with willing submission and feel themselves subdued.” 9:29

2) “When the sacred months have passed, then kill the Mushrikin wherever you find them. Capture them. Besiege them. Lie in wait for them in each and every ambush but if they repent, and perform the prayers, and give zacat then leave their way free.” 9:5
3
“3when you meet the unbelievers, smite their necks.” 47:4

4 Men are the protectors and maintainers of women because Allah has made one superior to the other and because they spend to support them from their means. Therefore, righteous women are obedient and they guard in the husband’s absence what Allah orders them to guard. And, as to those women from whom you fear disobedience, give them a warning, send them to separate beds, and beat them.” 4:34
How can this be religion of Peace?
 
toa andiko acha kubuni
Quran (8:12) - "(Remember) when your Lord inspired the angels... "I will cast terror into the hearts of those who disbelieve. Therefore strike off their heads and strike off every fingertip of them" No reasonable person would interpret this to mean a spiritual struggle, given that it both followed and preceded confrontations in which non-Muslims were killed by Muslims. The targets of violence are "those who disbelieve" - further defined in the next verse (13) as those who "defy and disobey Allah." Nothing is said about self-defense. In fact, the verses in sura 8 were narrated shortly after a battle provoked by Muhammad, who had been trying to attack a lightly-armed caravan to steal goods belonging to other people. (See also: Response to Apologists)

Quran (8:15) - "O ye who believe! When ye meet those who disbelieve in battle, turn not your backs to them. (16)Whoso on that day turneth his back to them, unless maneuvering for battle or intent to join a company, he truly hath incurred wrath from Allah, and his habitation will be hell, a hapless journey's end."

Quran (8:39) - "And fight with them until there is no more fitna (disorder, unbelief) and religion is all for Allah" Some translations interpret "fitna" as "persecution", but the traditional understanding of this word is not supported by the historical context (See notes for 2:193). The Meccans were simply refusing Muhammad access to their city during the pilgrimage. Other Muslims were allowed to travel there - but not as an armed group, since Muhammad had declared war on Mecca prior to his eviction. The Meccans were also acting in defense of their religion, as it was Muhammad's intention to destroy their idols and establish Islam by force (which he later did). Hence the critical part of this verse is to fight until "religion is only for Allah", meaning that the true justification of violence was the unbelief of the opposition. According to the Sira (Ibn Ishaq/Hisham 324) Muhammad further explains that "Allah must have no rivals." (See also: Response to Apologists)

Quran (8:57) - "If thou comest on them in the war, deal with them so as to strike fear in those who are behind them, that haply they may remember."

Quran (8:67) - "It is not for a Prophet that he should have prisoners of war until he had made a great slaughter in the land..."

Quran (8:59-60) - "And let not those who disbelieve suppose that they can outstrip (Allah's Purpose). Lo! they cannot escape. Make ready for them all thou canst of (armed) force and of horses tethered, that thereby ye may dismay the enemy of Allah and your enemy." As Ibn Kathir puts it in his tafsir on this passage, "Allah commands Muslims to prepare for war against disbelievers, as much as possible, according to affordability and availability." (See also: Response to Apologists)
 
Kujiuliza nin labda...hebu sema uongo mmoja aliousema kwa waumini wake ambao wew unaona anapingana na mafundisho ya Mungu


Soma utabiri wa sayansi aliousema Mohammad then jiulize kuna ukweli gani hapo, huko utakuja kugundua kuwa alikuwa mtu wa hajabu sana. Alikuwa anabaka na kuua watu at will yeye na jeshi lake. Kila akijisikia hamu ya kulala na mke wa mtu anasingizia kaoteshwa na Mungu, really....does Mungu allow this? Unajuwa watu waliokuwa wanamuabudu Mohammad at that time walikuwa mambumbumbu kama vile watu wanaomuamini T.B. Joshua na hawa manabii fake wa kiafrika, unakuta wengi wao hawana akili timamu wanaamini hata ujinga usio na akili. Mohammad ndiye nabii pekee ambaye hajawahi hata kufanya any miracle. Wayahudi walimuua kwa sababu walikuwa hawaamini kama kweli alikuwa nabii wa ukweli na wakasema tumpime kwa kumuwekea sumu kwenye chakula kwa sababu alikuwa mlafi sana, kama kweli atagundua chakula kina sumu kabla ya kula then atakuwa nabii wa ukweli na kama atakula bila kuoyeshwa na Mungu then atakuwa nabii fake. Unajuwa nini kilichojiri? Mungu hakumuonya, akala kile chakula ila kabla ya kumeza akagundua kiliwekwa sumu, wenzake alioukula nao wakafa pale pale huku wakibadilika rangi, yeye akaendelea kuugua kisha kufa kutokana na ile sumu. Hapa ndipo wayahudi na waarab wengine waliidhihirisha kuwa jamaa hakuwa nabii kweli.
 
Wanajukwaa:

Dunia yetu inaendelea kushika kasi katika suala la Sayansi na Tekinolojia.Kwa siku za hivi karibuni,wanasayansi wamegundua kuweza kutengeneza Moyo kwa kutumia stem cells,ikiwa ni hatua katika kuelekea kutengeneza moyo wa binadamu,hali ambayo itasaidia katika kukabiliana na matatizo ya Moyo yanayowakabili wanadamu,kwa kiasi kikubwa, yale ambayo uhusisha mwanadamu kupoteza maisha, kwa sababu tu Moyo wa mgonjwa husika hauna repair au hauwezi kubadilishwa.Miaka kama kumi hivi iliyopita,wanasayansi walikuwa wamefanikiwa kutengeneza Moyo wa panya kwa kutumia hizo stem cells.

Kumbe,kwa tafiti mbalimbali zinazoendelea kufanyika sehemu mbalimbali duniani,ama ardhini au angani,zote zinalenga katika kuboresha maisha ya mwanadamu na hata kuongeza siku za kuishi kwake.Historia inao watu wengi sana ambao wamejihusisha na Sayansi kwa nyakati tofuati tofauti.

Leo,ninataka tumuangalie Mtume Muhammad kwa namna alivyoweza kujihusisha na suala la Sayansi kwa kile kinachosemwa ni kwa msaada wa Mungu.Kurani neno la Mungu;maneno ambayo Mungu akiisha kuyaandika huko Mbinguni, alikuwa anampatia Malaika Gabriel na malaika Gabriel akampatia Mtume Muhammad katika Nyakati tofauti tofauti na Muhammad kuyaweka katika maandishi,lakini kwa namna ya pekee,kwa mara ya kwanza kabisa ikiwa ni katika Pango lililoko katika Mlima Hira, Jabal an-Nour,huko Makka,ambako inadaiwa Mtume Muhammad alipokea ufunuo huo, kwa matatizo sana kwa sababu ya kutojua kwake kusoma na kuandika,Malaika Gabrieli alijikuta anamkaba.

Kwa njia ya ufunuo wa Kurani,tunafunuliwa mambo mengi ya Kisayansi ambamo Muhammad anatujuza jinsi mambo yalivyo.Kwa leo, ninawaletea jambo moja tu.Nalo ni juu ya namna Jua linavyokuchwa na kadri Mungu atakavyotujalia tutayaangazia na mambo mengine.


Kurani kupitia Sura al-Kahf (18: 83-86), inaeleza kwamba Jua huchwea katika chemchemu ya matope meusi mazito(dark Muddy spring):

“83-Na wanakuuliza khabari za Dhul- Qarnaini. Waambie: Nitakusimulieni baadhi ya hadithi yake.84 -Sisi tulimtilia nguvu katika ardhi na tukampa njia za kila kitu.85 - Basi akaifuata njia. 86 - Hata alipo fika machwea-jua aliliona linatua katika chemchem yenye matope meusi. Na hapo akawakuta watu. Tukasema: Ewe Dhul-Qarnaini! Ama uwaadhibu au watwae kwa wema.”

Wakati Muhammad akiwa ametupasha ukweli huo ambao aliandikiwa na Mungu, Ukweli wa kisayansi umebainisha kwamba Jua ni kubwa zaidi na lenye joto kali kuliko dunia.Na ikitokea kwamba Dunia inakaribiana na Jua,basi dunia itayeyuka kutokana na joto kubwa la Jua.

Ukweli mwingine,ambao pia Sayansi imetupatia ni kwamba Jua halitembei bali sayari mbalimbali ndio hulizunguka,ikiwemo Sayari yetu ya Dunia. Historia inaonyesha kwamba mtu wa kwanza kugusagusa habari za kuwa Jua lilikuwa halizunguki alikuwa ni Aristarchus (310-230KK).

Aristarchus alikuwa ni mwana-Astronomia wa Kigriki.
Yeye aliamini dunia ilikuwa katikati ya Mfumo wa Jua(Solar system) na sayari zingine (ikijumuishwa na nyota ambazo zilikuwa zimefungwa katika nafasi fulani) ndio zilizokuwa zikilizunguka Jua.

Hata hivyo, baadaye mwanasayansi,Aristarchus, alikuja kugundua kuwa sio dunia iliyokuwa katikati ya Mfumo wa Jua, bali ni Jua na hivi kwamba ni Dunia na sayari zingine ndizo zilikuwa zikilizunguka Jua.Ugunduzi wa namna hii ulipatikana miaka mingi sana (takribani karne tatu hivi) kabla hata ya Yesu Kristu kuzaliwa na karne tisa kabla ya Muhammad kuzaliwa.

Mwanasayansi mwingine pia aliyekuja na mtizamo tofuati na wa Muhammad (kwa kadri ya ufunuo kutoka kwa Mungu) ni Jean Buridan (1300-1359/61). Huyu) anafahamika kama Mwanafalsafa Mashuhuri sana katika Ufaransa.Buridan alikuwa Mwalimu katika Kitivo cha Sanaa cha Chuo Kikuu cha Paris kwa kupindi chote cha maisha yake ya kitaaluma akimakinika hasa hasa katika masuala ya Logiki (Logic) na kazi za mwanafalsafa Aristotle.

Ni Bridan aliyeanzisha wazo juu ya kiitwacho Copernican Revolution katika Ulaya.Hili ni fundisho lililoleta mwangaza kutoka kuamini kwamba dunia ilikuwa imesimama sehemu moja katika ulimwengu na kwamba Jua ndio lilikuwa linaizunguka dunia (Geocentrism) hadi kueleweka kwamba kumbe Jua ndilo limesimama wakati dunia na sayari zingine zikilizunguka (Heliocentrism).

Kumbe, sasa kwa uchache,kwa mawazo ya hao wanasayansi wawili,tunapata picha kwamba Muenendo wa Jua kuchomoza na kutua sio jambo lililoanza wakati wa Muhammad.Na kama suala la Sayansi ya Mfumo wa Jua lilianza mapema kabla ya Yesu na Muhammad kuzaliwa, yeye Muhammad alipopewa ufunuo na Mungu, hakuweza kujiuliza iwapo ufunuo huo wa Mungu inakuwaje unapingana na ukweli wa mambo?Katika kutafakari ufunuo huu wa Mungu kwa Muhammad, nimejikuta nina maswali yafuatayo,ambayo naomba yatuongoze katika kujadili suala hili.Ni muhimu kujadili kwa sababu pengine Dunia inatufundisha vitu ambavyo havipo.Hivi kweli Mungu anaweza kumueleza Muhammad mambo ya uongo?Maswali mengine ambayo bila shaka hata wewe unaweza kujiuliza ni haya:

1. Hiyo Chemchemi ya matope mazito na meusi iko hapa duniani?Na kama haipo hapa duniani iko angani? Na kama iko angani iko sehemu gani?


2. Huyo Dhul-Qarnaini alikuwa ni kiumbe wa namna gani huyo aliyepewa uwezo wa kuona Jua linavyotumbukia katika matope?


3. Pamoja na kwamba wakati wakati wa Muhammad, labda Sayansi ya kwamba Jua halizunguki, isipokuwa dunia ndio hulizunguka Jua, ilikuwa haijafika katika maeneo ya ardhi ya Arabia, bado hata vizazi vya zamani sana havikupata kuwa na uelewa kama huo wa Muhammad kuwa Jua lilikuwa linatua matope meusi! Je,ilikuwaje katika Vizazi vyote hivyo hapo katikati(ikiwemo na Yesu mwenyewe ambaye Muhammad anamuelezea kama aliyekuwa na uwezo wa kufinyanga wanasesere na kuwapulizia uhai na wakawa ndege kamili), kabla ya Muhammad, akakosekana mtu mwenye uelewa wa kuliona Jua likizama katika matope meusi tofauti? Hivi wewe kwa sayansi hii ya Muhamma juu ya Jua kuchwea katika matope meusi haikupelekei kujiuliza yafuatayo:

· Je, Muhammad kusema mambo ambayo hakuwa nayo uthibitisho ilikuwa ni kutafuta tu kuonekana kwamba Mungu amempa ufunuo wa kipekee juu ya ulimwengu?


· Je, vizazi ya Kiarabu na dunia kwa ujumla baada ya kugundua kwa tafiti za kisayansi, ambazo zimethibitisha kuwa Jua huzungukwa na sayari mbalimbali, ikiwemo Sayari yetu ya dunia, vimuoneje, Muhammad na Uislamu kwa ujumla?


· Je,wanadamu wa vizazi vyote vinavyofahamu kuwa Jua halijawahi kuzama katika matope ama meusi,bluu au meupe, visimuamini Muhammad katika mambo mengine aliyoyasema au vimuchukulie kama mtu aliyekuwa anajaribu kupiga ramli ya jinsi mambo yalivyo?

Lakini swali la mwisho kabisa ambalo nitaomba ujiulize ni hili:Je,Ni kwa nini hadi leo baada ya kugundulika kuwa Jua halizami na wala halizunguki,ni kwa nini hadi sasa aya hiyo iko imesalia katika Kurani?Je,ni nani anasema uongo kati ya Mungu na wanasayansi juu ya suala la Jua?

Karibu kwa mjadala ili tupate kujua ukweli kwa faida ya maendeleo ya Dunia yetu.
Mkuu kwanini usingetafuta na kutuwekea maelezo ya wanachuoni wa kiislamu kama ulivyoweka maelezo ya wanasayansi? nafikiri ungefanya hivyo ingekuwa ndio ingekuwa sawa maana tungekuwa tumesoma maelezo ya wanasayansi na maelezo ya wanachuoni kisha ndio tungeanza kujadili.
 
Akibaka wake za watu anasingizia Mungu alimtokea na kumwambia afanye hivyo. Hivi kweli Mungu anaweza mwambie mtu eti baka tu ni haki yako?
Mkuu ukisoma biblia utakuta visa kibao vya vitendo vya hovyo vilivyofanywa manabii.
 
Sijachepuka uelekeo. Niko mle mle.Tuko tunatafuta ni nani hasa alikuwa anaelezwa habari za Jua kuzama katika Bwawa la Matope meusi.Wanazuoni tuelezeni kwa mjibu wa aya nilizokuwekea hapo juu ni Musa au Muhammad? Huyo Mja ambaye anaonekana yuko na Musa safarini akimufafanulia mambo mbalimbali kuanzia aya ya 65- 83 ndiye Muhammad au ni nani hasa? Je,huyo Mja ni Mungu au nani?Umezisoma aya ninazokueleza?
Ahahahahahahah hii hoja mbona nyepesi ndugu yangu anaitwa AL KHADR huyu jamaa atapata tabu sana
 
Mkuu kwanini usingetafuta na kutuwekea maelezo ya wanachuoni wa kiislamu kama ulivyoweka maelezo ya wanasayansi? nafikiri ungefanya hivyo ingekuwa ndio ingekuwa sawa maana tungekuwa tumesoma maelezo ya wanasayansi na maelezo ya wanachuoni kisha ndio tungeanza kujadili.

Ni wazo zuri mkuu lakini kwa suala la Uislamu,document pekee ambayo ina uvuvio ni Kurani tu na ni kwa sababu ndiyo iliandikwa na Mungu na kisha ikashushwa hivyo hivyo kwa Muhammad kupitia kwa malaika Jibrili.Kwa hiyo,ningetaka kusindikiza hoja yangu na maelezo ya wanazuoni wa Kiisalmu lazima tungedanganywa kwa namna fulani.Na wewe umejionea jinsi ambavyo wametuletea stori tofauti tofauti na kile kilichoko katika Kurani.mintarafu suala la Jua kuzama katika dimbwi la matope.Kile walichotueleza, sio hicho ambacho kiko katika Kurani.
 
Ni wazo zuri mkuu lakini kwa suala la Uislamu,document pekee ambayo ina uvuvio ni Kurani tu na ni kwa sababu ndiyo iliandikwa na Mungu na kisha ikashushwa hivyo hivyo kwa Muhammad kupitia kwa malaika Jibrili.Kwa hiyo,ningetaka kusindikiza hoja yangu na maelezo ya wanazuoni wa Kiisalmu lazima tungedanganywa kwa namna fulani.Na wewe umejionea jinsi ambavyo wametuletea stori tofauti tofauti na kile kilichoko katika Kurani.mintarafu suala la Jua kuzama katika dimbwi la matope.Kile walichotueleza, sio hicho ambacho kiko katika Kurani.
una hoja nyingine naona unazunguka tu ilo la matope limekwisha kama ujaelewa uelewi tena
 
Kurani nzima imesomwa na kila aya itatikiswa ili watu wajionee ukweli wa mambo.

Kwa mfano kuna tukio mke wake Muhammad,Aisha, alisemekena kuchepuka.Jambo hilo likashikiwa bango na baadhi ya walioamini mpaka kufikia hatua ya kumueleza Muhammad kwa nini anaendelea kubembelezana na Aisha wakati wanawake wamejaa?Kwa nini asiachane na aoe mke mwongine?

Kelele na zomeazomea zilipozidi, katika hali ya Kushangaza,Muhammad akaingia ndani kwa mkewe Aisha na alipotoka nje akasema ameshaongea na Mungu na Mungu kamdhihirishia kuwa hilo suala la Ugoni, Aisha anasingiziwa tu na hapo hapo Aya ikashuka juu ya masuala ya Ugoni kwamba ili ugoni uthibitike ni lazima kuwepo mashahidi.Na baada ya aya hiyo kushuka, ile timu iliyokuwa inasambaza ubuyu ule wa Aisha kuchepuka au kukamatwa ugoni wakaadhibiwa vibaya sana kwa kuchapwa mijeledi! Ni Mungu gani anafanya kazi namna hiyo?
kama KUCHEPUKA ni story kubwa kwako .ww unafahamu DAUDI alichepuka na mke wa uria mhiti tena mpaka akampeleka vitani akafa baada akajiolea murembe aliekuja kumzaa king Suleiman nyie wakristo mna shida kubwa akama ni uongo thubutu kubisha hapa
 
Kurani nzima imesomwa na kila aya itatikiswa ili watu wajionee ukweli wa mambo.

Kwa mfano kuna tukio mke wake Muhammad,Aisha, alisemekena kuchepuka.Jambo hilo likashikiwa bango na baadhi ya walioamini mpaka kufikia hatua ya kumueleza Muhammad kwa nini anaendelea kubembelezana na Aisha wakati wanawake wamejaa?Kwa nini asiachane na aoe mke mwongine?

Kelele na zomeazomea zilipozidi, katika hali ya Kushangaza,Muhammad akaingia ndani kwa mkewe Aisha na alipotoka nje akasema ameshaongea na Mungu na Mungu kamdhihirishia kuwa hilo suala la Ugoni, Aisha anasingiziwa tu na hapo hapo Aya ikashuka juu ya masuala ya Ugoni kwamba ili ugoni uthibitike ni lazima kuwepo mashahidi.Na baada ya aya hiyo kushuka, ile timu iliyokuwa inasambaza ubuyu ule wa Aisha kuchepuka au kukamatwa ugoni wakaadhibiwa vibaya sana kwa kuchapwa mijeledi! Ni Mungu gani anafanya kazi namna hiyo?
Kwenye uislamu kuna taratibu za kukubali tuhuma sio kila mtu anachozushiwa kinakubali labda ww uje usema walithibitisha kwanan kuwa kwamba aisha kazini na mashahidi walikuwa nani na nani ? ukimaliza uje uniambie je DAUDI baba yake mfalme seleman alichepuka au akuchepuka?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom