Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Hiii hadith tumeshaitolea malezo kuwa ni dhaifu na kukuletea hadith sahihi zinazoelezea juu ya hili jambo uwe mfatiliaji kila saa turudie rudie tu
Dhaifu dhaifu [emoji12] kwa hiyo hata koloani ni dhaifu?!
 
Battle za kiiman/dini zilishaanza kupotea ila siku zikianza yan mpk unajiuliza wamefunguliwa toka wapi kwa mbali naona zkrud, hamna atakayetaka kua nyuma kila yule ataleta Mungu Wa imani yake nakumuelezea
Usishangae. Tatizo ni kwamba kuna watu wana maarifa na elimu kubwa lakini siyo applicable kwa mazingira yetu ya kibongo.
 
Vita iko wapi hapo? Hatujadili dini Bali ukweli Wa Sayansi ya Jua.Lazima kutenganisha Dini na sayansi katika suala hilo.Jua liko kwa faida yetu wanadamu na si kwa faida ya Mungu.Kwa hiyo,tukijifunga kutojadili mambo yanayotuhusu, tunaokuwa tunaumia ni sisi na wala sio Mungu.
Can you tell me why kulikuwa na mtikisiko baada ya total eclipse?
 
Anaitwa Terah
Na huyu terah hatumsemi sana kwasababu Mwenyezi Mungu Alimtenga kua wakfu ibrahimu dhidi ya Asili ya ancenstors wake
Una ushahidi gani ?au alikuambia?
 
wee fanya mazoezi ya kujamba wakt una ugonjwa Wa kuhara [emoji15] [emoji12] unaona sasa ulivyo jinyea [emoji4] [emoji15] [emoji33] [emoji33] [emoji33]

Ndiyo mafundisho ya Mwalimu Wa shoga Yayo Agassi popo Francis hayo??
 
Ndiyo mafundisho ya Mwalimu Wa shoga Yayo Agassi popo Francis hayo??
Bila lugha ya ki-baba kassim ki-baba kassim hamzibuki hau [emoji4] ona ulivyo mpole na rainii kama kitambaa cha hariri [emoji38] [emoji38]
 
Ni jukumu la waliobaki kulinda agano kama baba katangulia mbele ya haki

CpR964FWcAAhDKx.jpg
[emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
View attachment 825638 [emoji38] [emoji38] [emoji38]
chukua msumali huu kufa nao
MARKO 15:17;"Wakamvika vazi la rangi ya ZaMBARAU,wakasokota taji la miiba,wakamtia kichwani".
MATHAYO 27:28;"wakamvua nguo,wakamvika vazi JEKUNDU .;

ahahhahahahhahaha yupi ni Yesu feki katika ya alivikwa nguo ya ZAMBARAU au JEKUNDU kwa lugha laini kati ya MARKO na MATHAYO nani amedanganya ?
 
Wanajukwaa:

Dunia yetu inaendelea kushika kasi katika suala la Sayansi na Tekinolojia.Kwa siku za hivi karibuni,wanasayansi wamegundua kuweza kutengeneza Moyo kwa kutumia stem cells,ikiwa ni hatua katika kuelekea kutengeneza moyo wa binadamu,hali ambayo itasaidia katika kukabiliana na matatizo ya Moyo yanayowakabili wanadamu,kwa kiasi kikubwa, yale ambayo uhusisha mwanadamu kupoteza maisha, kwa sababu tu Moyo wa mgonjwa husika hauna repair au hauwezi kubadilishwa.Miaka kama kumi hivi iliyopita,wanasayansi walikuwa wamefanikiwa kutengeneza Moyo wa panya kwa kutumia hizo stem cells.

Kumbe,kwa tafiti mbalimbali zinazoendelea kufanyika sehemu mbalimbali duniani,ama ardhini au angani,zote zinalenga katika kuboresha maisha ya mwanadamu na hata kuongeza siku za kuishi kwake.Historia inao watu wengi sana ambao wamejihusisha na Sayansi kwa nyakati tofuati tofauti.

Leo,ninataka tumuangalie Mtume Muhammad kwa namna alivyoweza kujihusisha na suala la Sayansi kwa kile kinachosemwa ni kwa msaada wa Mungu.Kurani neno la Mungu;maneno ambayo Mungu akiisha kuyaandika huko Mbinguni, alikuwa anampatia Malaika Gabriel na malaika Gabriel akampatia Mtume Muhammad katika Nyakati tofauti tofauti na Muhammad kuyaweka katika maandishi,lakini kwa namna ya pekee,kwa mara ya kwanza kabisa ikiwa ni katika Pango lililoko katika Mlima Hira, Jabal an-Nour,huko Makka,ambako inadaiwa Mtume Muhammad alipokea ufunuo huo, kwa matatizo sana kwa sababu ya kutojua kwake kusoma na kuandika,Malaika Gabrieli alijikuta anamkaba.

Kwa njia ya ufunuo wa Kurani,tunafunuliwa mambo mengi ya Kisayansi ambamo Muhammad anatujuza jinsi mambo yalivyo.Kwa leo, ninawaletea jambo moja tu.Nalo ni juu ya namna Jua linavyokuchwa na kadri Mungu atakavyotujalia tutayaangazia na mambo mengine.


Kurani kupitia Sura al-Kahf (18: 83-86), inaeleza kwamba Jua huchwea katika chemchemu ya matope meusi mazito(dark Muddy spring):

“83-Na wanakuuliza khabari za Dhul- Qarnaini. Waambie: Nitakusimulieni baadhi ya hadithi yake.84 -Sisi tulimtilia nguvu katika ardhi na tukampa njia za kila kitu.85 - Basi akaifuata njia. 86 - Hata alipo fika machwea-jua aliliona linatua katika chemchem yenye matope meusi. Na hapo akawakuta watu. Tukasema: Ewe Dhul-Qarnaini! Ama uwaadhibu au watwae kwa wema.”

Wakati Muhammad akiwa ametupasha ukweli huo ambao aliandikiwa na Mungu, Ukweli wa kisayansi umebainisha kwamba Jua ni kubwa zaidi na lenye joto kali kuliko dunia.Na ikitokea kwamba Dunia inakaribiana na Jua,basi dunia itayeyuka kutokana na joto kubwa la Jua.

Ukweli mwingine,ambao pia Sayansi imetupatia ni kwamba Jua halitembei bali sayari mbalimbali ndio hulizunguka,ikiwemo Sayari yetu ya Dunia. Historia inaonyesha kwamba mtu wa kwanza kugusagusa habari za kuwa Jua lilikuwa halizunguki alikuwa ni Aristarchus (310-230KK).

Aristarchus alikuwa ni mwana-Astronomia wa Kigriki.
Yeye aliamini dunia ilikuwa katikati ya Mfumo wa Jua(Solar system) na sayari zingine (ikijumuishwa na nyota ambazo zilikuwa zimefungwa katika nafasi fulani) ndio zilizokuwa zikilizunguka Jua.

Hata hivyo, baadaye mwanasayansi,Aristarchus, alikuja kugundua kuwa sio dunia iliyokuwa katikati ya Mfumo wa Jua, bali ni Jua na hivi kwamba ni Dunia na sayari zingine ndizo zilikuwa zikilizunguka Jua.Ugunduzi wa namna hii ulipatikana miaka mingi sana (takribani karne tatu hivi) kabla hata ya Yesu Kristu kuzaliwa na karne tisa kabla ya Muhammad kuzaliwa.

Mwanasayansi mwingine pia aliyekuja na mtizamo tofuati na wa Muhammad (kwa kadri ya ufunuo kutoka kwa Mungu) ni Jean Buridan (1300-1359/61). Huyu) anafahamika kama Mwanafalsafa Mashuhuri sana katika Ufaransa.Buridan alikuwa Mwalimu katika Kitivo cha Sanaa cha Chuo Kikuu cha Paris kwa kupindi chote cha maisha yake ya kitaaluma akimakinika hasa hasa katika masuala ya Logiki (Logic) na kazi za mwanafalsafa Aristotle.

Ni Bridan aliyeanzisha wazo juu ya kiitwacho Copernican Revolution katika Ulaya.Hili ni fundisho lililoleta mwangaza kutoka kuamini kwamba dunia ilikuwa imesimama sehemu moja katika ulimwengu na kwamba Jua ndio lilikuwa linaizunguka dunia (Geocentrism) hadi kueleweka kwamba kumbe Jua ndilo limesimama wakati dunia na sayari zingine zikilizunguka (Heliocentrism).

Kumbe, sasa kwa uchache,kwa mawazo ya hao wanasayansi wawili,tunapata picha kwamba Muenendo wa Jua kuchomoza na kutua sio jambo lililoanza wakati wa Muhammad.Na kama suala la Sayansi ya Mfumo wa Jua lilianza mapema kabla ya Yesu na Muhammad kuzaliwa, yeye Muhammad alipopewa ufunuo na Mungu, hakuweza kujiuliza iwapo ufunuo huo wa Mungu inakuwaje unapingana na ukweli wa mambo?Katika kutafakari ufunuo huu wa Mungu kwa Muhammad, nimejikuta nina maswali yafuatayo,ambayo naomba yatuongoze katika kujadili suala hili.Ni muhimu kujadili kwa sababu pengine Dunia inatufundisha vitu ambavyo havipo.Hivi kweli Mungu anaweza kumueleza Muhammad mambo ya uongo?Maswali mengine ambayo bila shaka hata wewe unaweza kujiuliza ni haya:

1. Hiyo Chemchemi ya matope mazito na meusi iko hapa duniani?Na kama haipo hapa duniani iko angani? Na kama iko angani iko sehemu gani?


2. Huyo Dhul-Qarnaini alikuwa ni kiumbe wa namna gani huyo aliyepewa uwezo wa kuona Jua linavyotumbukia katika matope?


3. Pamoja na kwamba wakati wakati wa Muhammad, labda Sayansi ya kwamba Jua halizunguki, isipokuwa dunia ndio hulizunguka Jua, ilikuwa haijafika katika maeneo ya ardhi ya Arabia, bado hata vizazi vya zamani sana havikupata kuwa na uelewa kama huo wa Muhammad kuwa Jua lilikuwa linatua matope meusi! Je,ilikuwaje katika Vizazi vyote hivyo hapo katikati(ikiwemo na Yesu mwenyewe ambaye Muhammad anamuelezea kama aliyekuwa na uwezo wa kufinyanga wanasesere na kuwapulizia uhai na wakawa ndege kamili), kabla ya Muhammad, akakosekana mtu mwenye uelewa wa kuliona Jua likizama katika matope meusi tofauti? Hivi wewe kwa sayansi hii ya Muhamma juu ya Jua kuchwea katika matope meusi haikupelekei kujiuliza yafuatayo:

· Je, Muhammad kusema mambo ambayo hakuwa nayo uthibitisho ilikuwa ni kutafuta tu kuonekana kwamba Mungu amempa ufunuo wa kipekee juu ya ulimwengu?


· Je, vizazi ya Kiarabu na dunia kwa ujumla baada ya kugundua kwa tafiti za kisayansi, ambazo zimethibitisha kuwa Jua huzungukwa na sayari mbalimbali, ikiwemo Sayari yetu ya dunia, vimuoneje, Muhammad na Uislamu kwa ujumla?


· Je,wanadamu wa vizazi vyote vinavyofahamu kuwa Jua halijawahi kuzama katika matope ama meusi,bluu au meupe, visimuamini Muhammad katika mambo mengine aliyoyasema au vimuchukulie kama mtu aliyekuwa anajaribu kupiga ramli ya jinsi mambo yalivyo?

Lakini swali la mwisho kabisa ambalo nitaomba ujiulize ni hili:Je,Ni kwa nini hadi leo baada ya kugundulika kuwa Jua halizami na wala halizunguki,ni kwa nini hadi sasa aya hiyo iko imesalia katika Kurani?Je,ni nani anasema uongo kati ya Mungu na wanasayansi juu ya suala la Jua?

Karibu kwa mjadala ili tupate kujua ukweli kwa faida ya maendeleo ya Dunia yetu.
Aliyeandika quran ni mwanasayansi. Sasa sijui unazungumzia mwanasayansi yupi?
 
chukua msumali huu kufa nao
MARKO 15:17;"Wakamvika vazi la rangi ya
ZaMBARAU,

[emoji115] [emoji116] [emoji115] [emoji116] [emoji115] [emoji115] [emoji116]
WAMEMVIKA VAZI LA ZAMBARAU sawa [emoji4]

wakasokota taji la miiba,wakamtia kichwani".

MATHAYO 27:28;"wakamvua nguo,wakamvika vazi JEKUNDU .;

[emoji116] [emoji115] [emoji116] [emoji115] [emoji116] [emoji115] [emoji116] [emoji115] [emoji116] [emoji115]

WAKAMVUA NGUO! NA WAKAMVIKA VAZI JEKUNDU sawa [emoji4]

ahahhahahahhahaha yupi ni Yesu feki katika ya alivikwa nguo ya ZAMBARAU au JEKUNDU kwa lugha laini kati ya MARKO na MATHAYO nani amedanganya ?

Pana shida gani hapo??? Mwanzo wakamvalisha VAZI LA DHAMBARAU KISHA WAKAMVUA WAKAMVALISHA JEKUNDU pana shida gani hapo?? Naona unajitekenya na kucheka mnyewe! Nini au ndio sio rizki[emoji15] [emoji4]

Kumbe acha nikujibu kisilamu silamu [emoji23] [emoji23]
 
Muhammad alikuwa mwanaume na mwanaume hawezi kuogopa aibu.Watoke wanazuoni wa kiislamu leo mbele, waiambie dunia kwamba hilo lilikuwa ni tangopori na dunia itawaelewa tu na maisha yatasonga mbele.Waifute hiyo aya katika Kurani ili kuepusha Vizazi vijavyo kuendelea kukuta vitu vya aibu namna hiyo, kwa sababu madhara yake ni makubwa.Watoto wa jamii ya Kiislamu wanadumazwa kisayansi kwa sababu wata-tend kuiamini Kurani kuliko Sayansi.

Ahahahaha mkuu tatizo vitabu vimeshuka toka juu labda virushwe juu uko vifanyiwe malekebisho alafu virudi
 
hoja yako nin kijana nimefika daktari bingwa

Habari ya KUPULIZWA makalio mshahara [emoji4] [emoji15] Yaani ile allah mkubwa chini tii kichwa chini makalio juu, kanda imenasa deki shetani ANAPULIZA
pmm-fart.jpg
[emoji4] sikupi pole dogo jambo la kujitakia [emoji12]
 
Pana shida gani hapo??? Mwanzo wakamvalisha VAZI LA DHAMBARAU KISHA WAKAMVUA WAKAMVALISHA JEKUNDU pana shida gani hapo?? Naona unajitekenya na kucheka mnyewe! Nini au ndio sio rizki[emoji15] [emoji4]

Kumbe acha nikujibu kisilamu silamu [emoji23] [emoji23]
Ahahahhhahahahahahaha umeamua kudanganya watu izi injili mbili tofauti unalazimisha iwe moja ahahahhaha JEKUNDU au ZAMBARAU jibu swali
 
Habari ya KUPULIZWA makalio mshahara [emoji4] [emoji15] Yaani ile allah mkubwa chini tii kichwa chini makalio juu, kanda imenasa deki shetani ANAPULIZA View attachment 825994 [emoji4] sikupi pole dogo jambo la kujitakia [emoji12]
Ahahahhahahahaah maelekezo hayana mushkeli yamenyooka swali liko kwako alivishwa JEKUNDU au ZAMBARAU? ahahhahahaahahahaha
 
Ahahahhhahahahahahaha umeamua kudanganya watu izi injili mbili tofauti unalazimisha iwe moja ahahahhaha JEKUNDU au ZAMBARAU jibu swali
eti hizi ni INJILI tofauti [emoji12] INJILI ni Moja tu, na ni ya Yesu! Tofauti Injili nyingine ni ya nani??
 
Labda tufahamu tu kwamba mjadala kati ya sayansi na imani haijawahi kupatikana nani mshindi. Kwa sayansi ni mambo unayoweza kuthibitisha. Lakini kwenye imani ni vitu ambavyo mtu analazimika kuamini kama alivyopokea na hakuna uwezekano wa kuthibitisha. Kwahyo imani ndio hatari zaidi. Saizi uwezo wa Dunia ulipofikia ni wa kuthibitisha mambo. Huko kwenye Imani utaambiwa Yesu aliwalisha watu zaidi ya 5000 kwa vipande 12 vya samaki. Kwakuwa hili haliwezi kuthibitishwa kwahyo inawalaazimu wafia Dini kuamini.

Nirudi kwenye hoja. Katika hali ya kawaida jua haliwezi kuzama kwenye matope. Ni jambo la aibu kulitamka hadharani. Hiyo chemchem ya tope kwa miaka yote hiyo haijawahi kukauka. Kiangazi tu kinapasua ardhi pamoja na kwamba ardhi ina maji. Hayo ya jua kuzama kwenye matope sijawahi hata kuyasikia huku kwetu kanisani au kwenye misaafu ya kikiristo. Hayo yanaaminiwa na wenzetu waisilam. Sasa sijui labda kwa sabb ya uvivu wa kufikiria.

Hata sisi tulipokuwa wadogo hasa sisi tuliokulia vijijini kuna wakati tulikuwa tunarudisha ng'ombe kutoka malishoni baada ya kuona jua linazama kwenye milima na tuliamini kabisa jua huzama kwenye milima mirefu. Hata wazee walikuwa wanasema hivyo. Kwahyo hali hiyo ndiyo iliyomkuta huyo anayeitwa Mtume Mohamend kama mdau mmoja alivyotupia picha za jua kuzama maeneo tofauti tofauti. Lakini mwisho wa siku hakuna kitu kama hicho isipokuwa Dunia ndio inayozunguka hadi kulifanya jua kuonekana ktk mazingira tatanishi. Sisi tulikuwa tunaamini kuwa jua lilikuwa linazama kwenye mlima mmoja huko kwetu ulioitwa "Kewighegha" kwahyo haya ni mapokeo tu ambayo yanatakiwa kusahihishwa tu.

An Orator of all the Orators.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom