Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Ahahahahahahahaha unatafsiri Quran kama waraka.wa Paulo , eti halidina fiha abadan zama hizi unamdanganya nani ? maulamaa tunakuungalia unavyofuka moshi
Unaitakidi Muumba wako ni kafir [emoji15] kweli wee ulamaaa [emoji122] [emoji122]
 
Tangulia jehannam ulamaaa ambaye hujui hata Ilimu wa mama hadi nikitaja shetani unanisahihisha nitamke shehetwain [emoji15] [emoji12] yalaaa [emoji4]
Ahahhahahahahahahahaahah bado sana bwana mdogo uwezi tuchezea maulamaa.labda uende huko vatican kwa Bikira maria mama wa Mungu teh teh teh
 
Ahahhahahahahahahahaahah bado sana bwana mdogo uwezi tuchezea maulamaa.labda uende huko vatican kwa Bikira maria mama wa Mungu teh teh teh
Sioni ajabu kwa wewe kushahadia kila siku, KWAMBA ATAKALO MUNGU HANA UWEZO NALO NA ANAE MSHAURI [emoji15] [emoji12]
 
Tatizo la Mtume Mohammad ni kwamba alikuwa mtu wa matukio ya kishetani sana, simuamini kama nisivyo waamini kina Gwajima na TB Joshua na the likes. Wote wasanii wanaoficha maovu yao kupitia jina la Mungu.
 
Ulitaka awe tapeli Paulo ahahahahahaha
Hujui vijiwe ni miratul rasul akawa anasikiliza stori za Wayahudi baadaye anawamwagia misukule wanameza [emoji12] hadi Wayahudi walimuita rainaa [emoji38] [emoji38]
 
kuna watu wanatapika uovu tu

Kuna wakati,kujadiliana na mjinga,ni sawa na kupoteza wakati


Kwa ujinga huu unaoendelea katika Jukwaa hili

Bora ni Quit,kuliko kupoteza muda na watu wasiojulikana

Namuomba Allah awaongoze katika njia ya sawa,
na awasamehe makosa yenu
Usiondoke ubao wetu [emoji53] umetupa jukwaa swafi sana [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji106]
 
Kwa hiyo wewe ni nyani?
Soma Paleontology vizuri. Hizi ni tafiti za kisayansi zilizochimbwa na kugunduliwa. Sio kwamba Binadamu alikua Nyani. Maziwa ni kwa watoto wachanga peke yao. Mwanadamu ana toka family group moja na Primates( ambapo wapo chimps(Sokwe). Evolution ndio ilipelekea akawa Modern Man wa hivi leo. Tafiti hizi zipo kabla hata dini yako haijagunduliwa pale arabuni. Na kwa historia tu. Islam ndio Dini yenye Umri mdogo kuliko zote duniani. Ndio dini ya Juzi juzi tu. Haisogei hata kwa Budhism, Hinduism, Christianism, Judaism, etc. Evolution ni kitu halisi hata leo. Evolution ipo ili kwaajili y adaptation. Hawa Negros. Caucasians ni matokeo ya evolution. Inakuhitaji usome sana kabla hujabishana na hawa wavumbuzi. Otherwise hapa ni sawa na mtoto wa sekondari anaandika hesabu mbele ys mdogo wake ambaye hajaanza shule. Atakua anaona makorokocho. Jambo zuri sana kwenye sayansi unaruhusiwa kuuliza swali. In islam, it is haram to question the faith. Kwenye hii Sayansi kuna vitu wanaita nadharia ama theories mbalimbali. Na hizi theories hupimwa kwa logic na sio blind faiths.
Imani yangu haiathiriki katika kuamini katika Evolution.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom