Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Kitman. tawriya na Taqiyyah. Umeungaunga vizuri kwenye kuelezea Dhehebu Jipya la Uislamu. Ila haujaweza kuweka sawa Kuhusu Roho Mtakatifu ni nani hasa?.na hii inaweza kua inachangiwa na kukosa Elimu ya Roho.


Let Suppose Roho wa kweli ni Mohammad.
Angalia alichokisema hapa uone jinsi Roho Mohammad alivyoeleza.


The Quran 10:47 says,
And for every people there is a Messenger.

[emoji115] [emoji115] Hizo ayah hapo juu alizoshushiwa Roho Muhammad, anasema wazi kua Kila Taifa wanaye Mesenja wake. Ikiwa na maana mayahudi wana Wa kwao. Waarabu wana Mohammad, wachina wana Budha wao, wahindi wana Gurus nk. Wakristo wanaye Yesu wao. Waafrika sisi ni Watumwa(Property) wa Waarabu.


Quran 14: 4 says,
And WE have not sent any Messenger except with *revelation in the language* of his people in order that he might make things clear to them.

Quran 26: 198-199

And if WE had sent it down to one of the NON-Arabs, and he had read it to them, they would never have believed in it

[emoji115] [emoji115]
Hizo ayah hapo zinaeleza bila kumung'unya kua Hilo Taifa Ni lazima Lugha iwe yao. Yaani kila mesenja ni Lazima awe wa lugha ya wazawa na sio Lugha Ngeni. Waarabu-kiarabu na Wayahudi-kihebrania. Nk. Allah knows best.


Abu Hurayrah (RadiyAllahu Anhu) relates that Rasulullah (Sallallahu Alayhi Wasallam) said: _‘The Jews were divided into 71 or 72 sects as were the Christians. *MY UMMAH will be divided into 73 sects.”*_ (Al-Mustadrak).

[emoji115] [emoji115]
Hii hapa inaonyesha kutambua kua Wakristo na wayahudi watabaki kua sehemu ya unabii wake wakati akiwagawa na waislamu katika madhehebu 73 na kuchagua dhehebu moja la kwenda kukaa paradiso. Mengine yatakua kampani ya moto.


Quran 2:85 says
Do you, then, believe in some parts of the divine writ and deny the truth of other parts? What, then, could be the reward of those among you who do such things but ignominy in the life of this world and, on the Day of Resurrection, they will be consigned to most grievous suffering? For God is not unmindful of what you do.”_
[emoji115] [emoji115]
Hapa kurani inawataka waarabu wanaozunguka eneo la Mecca waamini kila kitu wasiache chochote kwenye huu wahyi walioshushiwa. Na watakao chagua cha kuamini katika kurani atawatesa vibaya sana duniani na siku ya kiama.
Hoja yako hapo ni nini? umetoa mandiko mengi lakini hoja yako haionekani
 
Paulo amesema katika 1 Timotheo 6:16

"Ambaye yeye peke yake hapatikani na mauti, amekaa katika nuru isiyoweza kukaribiwa; wala hakuna mwanadamu aliyemwona, wala awezaye kumwona. Heshima na uwezo una yeye hata milele. Amina."

YESU ANASEMA :

Yohana 5:37 "Naye Baba aliyenipeleka amenishuhudia. Sauti yake hamkuisikia wakati wo wote, wala sura yake hamkuiona.”

MUNGU NI ROHO SIO? Utaionaje ROHO [emoji47] ndio sababu aliuvaa
IMG_20180826_204645_257.jpg
Mwili ili tumuone na Wajanja TUKAMUONA NA UTUKUFU WAKE TUMEUONA [emoji122] [emoji122] [emoji123] [emoji106]
 
hebu rejea swali la Filipo kwa Yesu [emoji117] View attachment 859845 Filipo anataka anyone nani?=MUNGU! YESU anamjibu ALIYE NIONA MIMI AMEMUONA MUNGU [emoji106] FILIPO ANAMUONA YESU [emoji106] HIVYO ANAYE MUONA FILIPO = NI MUNGU [emoji123] [emoji106]
hili tumeshakujibu huyo alikuwa mtume (mwakilishi) ,ni kama majaliwa alivyomwakilisha magufuli china tu, lakini majaliwa hatabaki waziri mkuu hata kama kamwakilisha magufuli china, acha bange
 
MUNGU NI ROHO SIO? Utaionaje ROHO [emoji47] ndio sababu aliuvaa View attachment 859957Mwili ili tumuone na Wajanja TUKAMUONA NA UTUKUFU WAKE TUMEUONA [emoji122] [emoji122] [emoji123] [emoji106]
Hayo maneno ya nani anaemsemea Yesu upuuzi Huo? kwani yesu hakuwa na mdomo mpaka mumlishe maneno !!wapi yesu kakufundisha yeye ni Mungu ?
 
Hoja yako hapo ni nini? umetoa mandiko mengi lakini hoja yako haionekani
Hoja yangu ni kwamba Mohamad sio Roho Wa Kweli ama Roho Mtakatifu. Kwasababu hakua na Utakatifu wowote wala Ukweli wowote ulimini kwake.
Alikua mdhambi mzuri sana na muuaji. Alikufa katika Dhambi kwakua hakuliamini Jina pekee la Mwana wa Mungu.
Roho aliyemtaja Yesu ni Yule anayetamkwa kwenye ubatizo.period.
 
unatusemea au unatulazimisha? mambo ya alliens ni porojo tupu hakuna kitu kama hicho wala hakuna mwanasayansi anaeweza kuthibitisha



unatusemea au unatulazimisha? mambo ya alliens ni porojo tupu hakuna kitu kama hicho wala hakuna mwanasayansi anaeweza kuthibitisha

Hivi jihadi yoote hii unapigania nini??? nii hiyo ahadi famba ya kwenda kukata mauno mbele ya allah huku unapiga [emoji102] baba yake kasimu anavyo serebuka na mke Wa firauni [emoji15] [emoji12] nenda qbar, jolly club, rozana, au dangulo la binti shabani pale kwa mtogole utapata na ziada...halafu kama rozana inapigiwa debe tigo buku jero Voda Nyongeza....[emoji4] kuliko shida yooote mnayo ipata Kugonga kichwa Ardhi sijui kutwa mara ngapi [emoji15] kutwa Mara ngapi masudi [emoji4] kukamuliwa ngama, kugoma kula mchana mwezi Mzima na ushehe [emoji12] ndio sababu Yesu Amesema Hao wanao muabudu shetani hawana Raha [emoji117]
IMG_20180907_212633_660.jpg
 
hili tumeshakujibu huyo alikuwa mtume (mwakilishi) ,ni kama majaliwa alivyomwakilisha magufuli china tu, lakini majaliwa hatabaki waziri mkuu hata kama kamwakilisha magufuli china, acha bange
Kisilamu silamu umepatia [emoji12]
 
Hayo maneno ya nani anaemsemea Yesu upuuzi Huo? kwani yesu hakuwa na mdomo mpaka mumlishe maneno !!wapi yesu kakufundisha yeye ni Mungu ?



Hayo maneno ya nani anaemsemea Yesu upuuzi Huo? kwani yesu hakuwa na mdomo mpaka mumlishe maneno !!wapi yesu kakufundisha yeye ni Mungu ?

Biblia Takatifu Haikuandikwa apendavyo mtu wala kukariri...Yesu hana dhambi ni Mkamilifu MWANADAMU gani mwingine ASIYE na dhambi [emoji47] Mayahudi walitaka kumpopoa mawe kwa kusema yeye ni Mungu [emoji117]
IMG_20180907_222425_411.jpg
hebu jiongeze badala ya kukumbiuka zile bakora zà makaio kule madrasat humu hakuna bakora hau [emoji4]
 
Yesu mwenyewe amesema kuwa ametumwa kwa watu wa Israeli tu (Matayo 15:24) "Akajibu, Akasema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.

" Pia Matayo 1:21 "Naye atazaa mwana, nawe utamwita jina lake Yesu, maana, yeye ndiye atakayewaokoa watu wake na dhambi zao."

Yesu pia amesema kuwa hakuja kubadilisha ila kukamilisha (Matayo 5:17-18) "Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza. Kwa maana, amin, nawaambia, Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka, yodi moja wala nukta moja ya torati haitaondoka, hata yote yatimie."

SWALI:

Lakini katika Marko 16:15 Yesu amesema, "Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe."

MAJIBU:

Hilo linapingana na kile kilichotajwa hapo juu katika matayo 15:24 na Matayo 1:21.

Pili, Marko 16:9-20 zimeondoshwa katika Biblia nyingi.

The New American Standard Bible imekiweka kipande hiki katika mabano na ikaweka maelezo yafuatayo:

"Baadhi ya miswada ya kale mno inaondosha kuanzia aya 9 hadi 20."

Biblia ya The New World Translation of the Holy Scriptures inayotumiwa na Mashahidi wa Yehova inakubali kuwa miswada maalumu ya kale inaongeza maelezo marefu au mafupi baada ya Marko 16:8 lakini baadhi ya miswada hiyo inaondosha aya hizo.

Na Biblia ya The Revised Standard version inachapisha chini ya ukurasa rejeo lifuatalo: "Baadhi ya mamlaka za kale zaidi inakileta hicho kitabu cha Marko na kukifunga mwishoni mwa aya ya 8..."

Hili linamaanisha kuwa ufufuo si kweli, kama ulivyoelezwa katika Marko 16:9.

SWALI:

Lakini Yesu amesema katika Matayo 28:19: "Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la
Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu."



MAJIBU

"Mataifa yote" lazima ifafanuliwe kuwa ni yale makabila kumi na mbili ya Israeli, vinginevyo itapingana na Matayo 15:25 na Matayo 1:21.

Katika Biblia ya The New American Standard Bible na ya The New World Translation of the Holy Scriptures, kifungu hicho hakitafsiriwi kuwa, ni "all nations – mataifa yote" lakini kinatafsiriwa "all the nations, - yale mataifa yote," inayomaanisha yale mataifa (makabila) kumi na mbili ya Israeli.
Hata sisi WaKisto Tunafahamu fika pasi na Shaka kwamba Yesu Kristo alikuja kwa ajili ya Waisraeli. Ni kawaida kunukuu Vifungu MBALIMBALI ILI kuthibitisha Hilo
[emoji116] [emoji116]
Yohana 1:11-12
[11]Alikuja kwake, wala walio wake hawakumpokea. [12]BALI WOTE waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, NDIO WALE WALIAMINIO JINA LAKE;
[emoji115] [emoji115]
Zingatia hapo juu anasema "wale waliaminio Jina Lake" tu.



Angali akitaka WaIsraeli kumpokea. Yesu KRISTO alikua na The Biggest Plan ahead ya kueneza Injili Ulimwenguni Kote.
[emoji116][emoji116]
Mathayo 10:18
nanyi mtachukuliwa mbele ya maliwali na WAFALME kwa ajili YANGU, kuwa ushuhuda KWAO NA KWA MATAIFA.

[emoji115] [emoji115]
Huu ujumbe unathibitisha unabii wa Roho mtakatifu kupitia Simeoni kua Yesu ndiye Nuru ya Mataifa yote duniani.

Simeon anena hapa chini[emoji116] [emoji116]
Luka 2:32
Nuru ya kuwa mwangaza wa Mataifa, Na kuwa utukufu wa watu wako Israeli.


Nabii Isaya naye alimtabiria Yesu vivyohivyo..
[emoji116] [emoji116]

Isaya 42:1
[1]Tazama mtumishi wangu nimtegemezaye; mteule wangu, ambaye nafsi yangu imependezwa naye; nimetia ROHO YANGU JUU YAKE; naye atawatolea mataifa hukumu.


Yesu anaTOA unabii kuhusu Injili.
[emoji116] [emoji116]
Mathayo 24:14
Tena HABARI NJEMA YA UFALME ITAHUBIRIWA katika ulimwengu wote, kuwa ushuhuda kwa MATAIFA YOTE; hapo ndipo ule mwisho utakapokuja.

Marko 13:10
Na SHARTI Injili ihubiriwe kwanza katika mataifa yote.

Yohana 12:46
Mimi nimekuja ili niwe nuru ya ulimwengu, ili kila mtu aniaminiye mimi asikae gizani.

Yohana 3:18
Amwaminiye yeye hahukumiwi; asiyeamini amekwisha kuhukumiwa; kwa sababu hakuliamini JINA LA MWANA PEKEE WA MUNGU.

Mathayo 21:9
Na makutano waliotangulia, na wale waliofuata, wakapaza sauti, wakisema, Hosana, Mwana wa Daudi; ndiye mbarikiwa, yeye ajaye KWA JINA LA BWANA; Hosana juu mbinguni.


Mathayo 28:18-20
[18]Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.
[19]Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;
[20]na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.


Bear in mind anapozungumzia Mataifa hazungumzii kua atakomboa na Mashetani ili yamrudie Mungu. Kristo amekuja Kukomboa wanadamu tu, aliewaumba kwa mfano wake na kuwapulizia na Pumzi akafanyika ScapeGoat kwaajili yao.

Yesu Kristo ni Adui Mkuu wa Mashetani na Baba wa Uongo na muuaji yote. Na Jina lake halitakwi na mashetani. Kwakua ni Jina Kuu Sana na Takatifu sana.
 
Waandishi wote waliongozwa na roho mtakatifu mmoja kwanini watofautiane? ahahahahaajhahaba huyu Zambarau na huyu Nyekundu au roho mtakatifu ajui rangi ahahahhahahha kusulubiwa yesu ni uzushi mtupu
....waandishi walikunywa divai ya altareni
 
Kuna wakati,Kabla ya kusema na kuandika,Ilitupasa tusome kwanza

Quraan imeshuka kwa Lugha ya Kiarabu,Ilikuwa bora sana kwetu sisi,kuijua hii Lugha kwa undani wake,ili itusaidie katika kuichambua hii Quraan,kwasababu Quraan ya asili ipo mikononi mwetu na wala haijachafuliwa na wachafuzi,Hatuna sisi Quraan ya zamani(Agano la kale) na Quraan mpya(Agano jipya)

Neno
عين حمئة

Ni neno la Kiarabu,lenye maana kuu mbili
1)Uzamo wa jua upande wa Bahari
وقوله : ( وجدها تغرب في عين حمئة ) أي : رأى الشمس في منظره تغرب في البحر المحيط ، وهذا شأن كل من انتهى إلى ساحله ، يراها كأنها تغرب فيه ، وهي لا تفارق الفلك الرابع الذي هي مثبتة فيه لا تفارقه .
2)Tope jeusi

Na haya maneno,yamenukuliwa kutoka katika Torati
كان ابن عباس يقول ( في عين حمئة ) ثم فسرها : ذات حمأة . قال نافع : وسئل عنها كعب الأحبار فقال : أنتم أعلم بالقرآن مني ، ولكني أجدها في الكتاب تغيب في طينة سوداء .

Sasa ndg,Kabla kuwa na mdomo mpana wa kumtukana Mtume wa Allah Sala na salamu ziwe juu yake

Unatakiwa ujifunze mambo makuu mawili
1)Adabu kwanza

2)Elimu sahihi


Ndg

Wana JF,tuacheni chuki
tuwe na nia ya kujifunza na kuutafuta ukweli popote ulipo,kwa nia njema

Kubezana
kutukanana
Mabishano yasiyo na maana

hayana tija wala faida
Ndani ya msikiti
FB_IMG_1527450558269.jpg
 
Pole ndugu yangu mbishi, TB Joshua ni mtumishi wa Mungu Niko Ambaye Niko.
Ila ni mwanadamu kama mimi na wewe na sio mkamilifu, na ana madhaifu yake kama mwanadamu.
Mkamilifu ni Mungu peke yake aliyekuja kwetu kwa jina la Yesu Kristo.
Naomba angalia Emmanuel TV kwa upendo wote utaamini ninachokisema.
TB Joshua anafanya kazi nyingi tulizo agizwa na Mchungaji wetu Yesu Kristo.
Naomba usimfananishe na binadamu mwingine yeyote. Gwajima ni Gwajima na Mbishi ni Mbishi.
Mbishi hawezi kuwa Gwajima, Wakristo ni lazima tutiane moyo na kulindana tunapofanya kazi ya Mungu.
Kazi ya Mungu ni ngumu na ni rahisi kama sote tutakuwa pamoja katika kuikamilisha. Pole sana ndugu yangu mbishi kwa kukukwaza.


Don't be a fool kutizama ujinga wa Emmanuel TV, yale yote ni maigizo tu. Usiwe mtumwa kihivyo, jamaa anawachezea akili tu.
 
Don't be a fool kutizama ujinga wa Emmanuel TV, yale yote ni maigizo tu. Usiwe mtumwa kihivyo, jamaa anawachezea akili tu.
Sawa mkuu, kila kitu kina wakati wake.
Iko siku utaujua ukweli, mimi sipendagi kuamini vitu vya kuambiwa, huwa nachukua mda kichunguza kwa umakini bila kishinikizwa na maneno ya watu mitaani.
Kuna wakati jamaa zangu walinihubiria dini ya Kiislamu na nilitaka kusilimu kabisa.
Nikaona wacha niisome Qurani mwanzo mwisho bila kinyongo chochote.
Nikaanza kwanza na kile kitabu kidogo cha Hadithi za Mtume.
Halafu nikaendelea na Surat Fatiha na kuendelea.
Nilipoifikia Surat Jinn, nikaisoma kwa kuirudia rudia, nikawauliza wasomi wa kiislamu na wakanihakikishia kuwa Majini nayo ni Maislamu na Ibirisi ni miongoni mwa hayo Majini, nikaishia hapohapo, sura za mbele sikuendelea nazo.
Surat Jinn ndiyo iliyonifanya nisisikimu na kuwa Mwislamu hadi leo.
Nawewe unaweza fanya hivyohivyo kwa TB Joshua. Kila Jumapili kuna Ibada Live kwenye Emmanuel tv, tumia Jumapili moja kuiangalia Ibada yake bila kinyongo, sikiliza kwa makini anavyohubiri, Shuhuda za watu na maombezi.
Kama kinachofanyika humo kanisani kwake hakipo kwenye Biblia basi achana naye.
Wewe nakuona hata huangalii ibada zake kwa uhuru wa fikra, hebu jaribu kifanya hivyo na usimezeshwa maneno na watu Mimi siku ya kwanza tu nilipomwangalia anavyoendesha ibada zake, na nilikuwa peke yangu sebureni, na kwa mara ya kwanza kabisa, nikampenda na kujiridhisha kuwa anachofundisha ni kile Yesu Kristo alikiagiza kukifundisha. Ila kama mwanadamu ana mapungufu yake ya kuubinadamu.
Kama ulivyo wewe na mimi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom