Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Hebu weka asbabu ya ayat hiiView attachment 862960 Imeshuka wapi, na baba yake kassim kaifundishaje¡!¡ nyini maislam dirisha dogo mnatupigia kelele sana [emoji15] hamjui kwamba hamjui [emoji12] ndio sababu waarabu Wenye deen yao wanawaona [emoji117] View attachment 862990 Leo LAZIMA uniambie hiki [emoji117] View attachment 863016View attachment 863018View attachment 863019 "KITABU" kilicho shushwa kabla ya Baba kassim ni kitabu gani? Wafuasi wake kina nani?!

Unataka tukuamini wewe kuwa mitume waliteremshiwa biblia yako ya queen James version??
 
Wewe ni Katika watu ambao hawana hoja ya kuchangia. Yaani ulichokituma na unachokiongea ni vitu viwili tofauti. Yaani hauna tofauti na chizi anayetembea barabarani na kuongea vitu visivyoeleweka. Unahitaji utafakari hali uliyokuwa nayo kwanza. Mazungumzo yako hayana tija. Nimekwambia waache maprdi wenu wachangie hoja hizi, huenda wakaokoka. Wewe ni sifuri tu.

Utaelewaje na nilicho ongea wakti shetani amesha kukalia [emoji117]
IMG_20180911_163211_620.jpg
chizi huyu hapa [emoji117]
pmm-magic.jpg
mwaka Mzima alikuwa anaugulia na anaweweseka kutokana na kulogwa na Yahudi Laabid, mkapiga takbir mkidhani wahyi kumbe kalogwa [emoji12] inabidi utafakari kauli hii [emoji117]
IMG_20180911_165359_053.jpg
[emoji117][emoji4] kinacho kushinda kughani [emoji117]
IMG_20180911_171200_682.jpg
kama baba fatuma mwishoni alipo shindwa hoja [emoji47] [emoji4]
 
Utaelewaje na nilicho ongea wakti shetani amesha kukalia [emoji117] View attachment 863048 chizi huyu hapa [emoji117] View attachment 863051 mwaka Mzima alikuwa anaugulia na anaweweseka kutokana na kulogwa na Yahudi Laabid, mkapiga takbir mkidhani wahyi kumbe kalogwa [emoji12] inabidi utafakari kauli hii [emoji117] View attachment 863083[emoji117][emoji4] kinacho kushinda kughani [emoji117] View attachment 863101 kama baba fatuma mwishoni alipo shindwa hoja [emoji47] [emoji4]

Wewe ambaye umekaliwa na Mwalimu Wa shoga Yayo Agassi , mbona unakimbia swali, hivi Yule kiumbe unayemuabudu unayedai ni mungu aliyejibandika nyama pale aliposujudu alikuelekezea wewe makalio??
 
Hebu weka asbabu ya ayat hiiView attachment 862960 Imeshuka wapi, na baba yake kassim kaifundishaje¡!¡ nyini maislam dirisha dogo mnatupigia kelele sana [emoji15] hamjui kwamba hamjui [emoji12] ndio sababu waarabu Wenye deen yao wanawaona [emoji117] View attachment 862990 Leo LAZIMA uniambie hiki [emoji117] View attachment 863016View attachment 863018View attachment 863019 "KITABU" kilicho shushwa kabla ya Baba kassim ni kitabu gani? Wafuasi wake kina nani?!
Nyie sijui huwa mnafikiri na na nini Quran imetamka kwa jina vitabu vilivyoteremshwa kabla ya muhammad (S.A.W) Zaburi imetemeshwa Daud Torati akapewa musa Ijili akapewa Isa (jesus) Quran akapewa Muhammad (S.A.W) tunaamin katika vitabu alivyoteremsha Allah, lakin injili lakin sio muongozo wetu kwa sasa Quran imekuja kuthibitisha vitabu vilivyopita vilikuwa ni kweli ni neno la Mungu japo watu walivikataa na wapo waliounga mkono bible inaa agano la kale na agano jipy Quran ni agano la mwisho...na kama umeamua kujifunza badala ya kubishana achana na propaganda kasome hisyory ya bible mliyonayo kama ina uhalali wa kuitwa ni neno la Mungu ila kuna maneno ya Mungu ndani ya Bible lakin kuna maneno ya mitume na wanahistoria na hata warumi kuna mambo mengi sana yamechomekewa ambayo ushahid wake sio ea kutafuta..!...kama hujui niulize nikupe vyanzo vya uhakika vya wakristo wenyewe usome history ya kitabu chenu

Kuhusu muhhama kusema wasiokuwa waarabu ni mbwa ni katika propaganda hizo hizo cha kumchafua wewe sio wa kwanza katafute hotuba ya mtume ya mwisho kwenye viwamja vya arafa isome nasikitika unakubali kuokota okota vitu just because vinakupendeza ukitaka kufaidika au kujifunza penda kusoma hata vitu vitakavyo choma ukweli wako unaojua utaona mwanga mi ukileta andiko hata kama ni zuri la kukshifu ukristo kama najua halihisiani na ukwrli nalitupilia mbali najifunz kwenye vyanzo sahihi ili niiujue ukweli
 
Wewe ambaye umekaliwa na Mwalimu Wa shoga Yayo Agassi , mbona unakimbia swali, hivi Yule kiumbe unayemuabudu unayedai ni mungu aliyejibandika nyama pale aliposujudu alikuelekezea wewe makalio??

Hilo si swali ilaha [emoji117]
IMG_20180911_174808_745.jpg
hata baba kassim ameonya [emoji117]
IMG_20180702_074051_483.jpg
kwa vile wewe si muumini ndio sababu nakupotezea [emoji33] [emoji33] [emoji38] [emoji38]
 
Hebu weka asbabu ya ayat hiiView attachment 862960 Imeshuka wapi, na baba yake kassim kaifundishaje¡!¡ nyini maislam dirisha dogo mnatupigia kelele sana [emoji15] hamjui kwamba hamjui [emoji12] ndio sababu waarabu Wenye deen yao wanawaona [emoji117] View attachment 862990 Leo LAZIMA uniambie hiki [emoji117] View attachment 863016View attachment 863018View attachment 863019 "KITABU" kilicho shushwa kabla ya Baba kassim ni kitabu gani? Wafuasi wake kina nani?!
🤣🤣🤣🤣 baba Kasim???? Nani huyo???? We sakala kweli!
 
Utaelewaje na nilicho ongea wakti shetani amesha kukalia [emoji117] View attachment 863048 chizi huyu hapa [emoji117] View attachment 863051 mwaka Mzima alikuwa anaugulia na anaweweseka kutokana na kulogwa na Yahudi Laabid, mkapiga takbir mkidhani wahyi kumbe kalogwa [emoji12] inabidi utafakari kauli hii [emoji117] View attachment 863083[emoji117][emoji4] kinacho kushinda kughani [emoji117] View attachment 863101 kama baba fatuma mwishoni alipo shindwa hoja [emoji47] [emoji4]
Ni kweli na sisi tunakwambia hivyo hivyo. Wewe abudu umtakaye na sisi wacha tuabudu tumtakaye. Shika njia nenda zako. Huna hoja hapa.
 
Mambo ya imani huwezi kuyaprove kisayansi kirahisi hivyo. Hata suala la Yesu kutembea juu ya maji kisayansi halina mashiko, suala la kubadilisha maji kuwa mvinyo na kujaza makombo ya samaki wawili wasiojaa hata robo ya kikapu kwenye vikapu kumi halina mashiko ya kisayansi.

Hata Mwenyezi MUNGU huwezi kumthibitisha kisayansi. Mussa kapiga maji kwa fimbo yakagawanyika kisayansi huwezi kuprove, Joshua kusimamisha jua ambalo halizunguki huoni kama ni ajabu! Pilipili ya shamba yakuwashia nini mkuu??Mkuu waache waaminio wapate kuamini.
Issue si ku-prove au ku-disprove mambo ya imani kisayansi. Issue iliyopo mezani in jua kuzama ktk tope. Je ni kweli ?
Je waumini waendelee kumeza msahafu mzima bila hata kuuliza yale mambo yenye utata? Kwani kuuliza Yale yasiyoeleweka ni dhambi?
 
Nyie sijui huwa mnafikiri na na nini Quran imetamka kwa jina vitabu vilivyoteremshwa kabla ya muhammad (S.A.W) Zaburi imetemeshwa Daud Torati akapewa musa Ijili akapewa Isa (jesus) Quran akapewa Muhammad (S.A.W) tunaamin katika vitabu alivyoteremsha Allah, lakin injili lakin sio muongozo wetu kwa sasa Quran imekuja kuthibitisha vitabu vilivyopita vilikuwa ni kweli ni neno la Mungu japo watu walivikataa na wapo waliounga mkono bible inaa agano la kale na agano jipy Quran ni agano la mwisho...na kama umeamua kujifunza badala ya kubishana achana na propaganda kasome hisyory ya bible mliyonayo kama ina uhalali wa kuitwa ni neno la Mungu ila kuna maneno ya Mungu ndani ya Bible lakin kuna maneno ya mitume na wanahistoria na hata warumi kuna mambo mengi sana yamechomekewa ambayo ushahid wake sio ea kutafuta..!...kama hujui niulize nikupe vyanzo vya uhakika vya wakristo wenyewe usome history ya kitabu chenu

Kuhusu muhhama kusema wasiokuwa waarabu ni mbwa ni katika propaganda hizo hizo cha kumchafua wewe sio wa kwanza katafute hotuba ya mtume ya mwisho kwenye viwamja vya arafa isome nasikitika unakubali kuokota okota vitu just because vinakupendeza ukitaka kufaidika au kujifunza penda kusoma hata vitu vitakavyo choma ukweli wako unaojua utaona mwanga mi ukileta andiko hata kama ni zuri la kukshifu ukristo kama najua halihisiani na ukwrli nalitupilia mbali najifunz kwenye vyanzo sahihi ili niiujue ukweli

wee nimekupa changamoto kwamba allah kwa kinywa cha baba yake fatuma [emoji117]
IMG_20180911_161528_966.jpg
nikuamini "KITABU", KITABU...wee unatuletea Torati, Zaburi, Injili eti na koloani [emoji15] [emoji12] allah hakuviona hadi Aseme watu wa " KITABU" [emoji15] [emoji53] Leo LAZIMA uniambie kama bado wapo na Nyuma yao ya Ibada Inaitwaje [emoji53] [emoji117]
a69f15ee294928103e6f1c6095368498--scripture-verses-scriptures.jpg
47ab871a5fd78c9af8d990757b9ba361.jpg
[emoji4]
 
Padri tulia upate daawa , nionyeshe ni wapi nilikuambia Kwamba sielewi ninachokisimamia ?
Umesha changanyikiwa...kiti kakuacha tutani sasa uko mtupuu [emoji33] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Let me tackle your main points as follows;

1. Roho Mtakatifu alishuka siku ya Penteconste. Ukisoma Matendo utaweza kuona. Yesu Kristo, Hakuhitaji kusubiri miaka 600 baadaye ndio aje kupitia Uislamu. Wakati alisema akiondoka atamleta. Zingatia discrepancy ya miaka yote hiyo.

[emoji121]️[emoji121]️[emoji121]️ Kama wewe ni muumini wa Biblia wapaswa kuisoma Bible na kuielewa. Hayo ni maneno munayoambiwa na Mapadri wenu. Tutazame Je Bible yenyewe inasemaje?

Its revealed in the Old Testament. For instance, Moses told the Israelites prior to entering the Promised Land that “The LORD your God will circumcise your hearts and the hearts of your descendants, so that you may love him with all your heart and with all your soul, and live” (Deuteronomy 30:6). This circumcision of the heart is the work of God’s Spirit and can be accomplished only by Him. We also see the theme of regeneration in Ezekiel 11:19-20 and Ezekiel 36:26-29.

You can see that Holy Spirits was here in this world way before Pentecost. Your claim that holy spirit came down in Pentecost only shows CLEAR CONTRADICTION OF YOUR BIBLE. It is totally Misleading.

Sitaki kuingia katika suala la ubatizo wa Yesu kwani hiyo itakuwa diversion ya Maada yetu,hiyo itakuwa topic Mpya. Let us stick with Holy Spirit translation.

Tazama ni kwanini tunaweza Kuwa Yesu alikuwa anabashiria Ujio wa Prophet Muhammad kwa ulimwengu. [emoji116] [emoji116]

John 16:
12“I have much more to say to you, more than you can now bear. 13But when he, the Spirit of truth, comes, he will guide you into all the truth. He will not speak on his own; he will speak only what he hears, and he will tell you what is yet to come. 14He will glorify me because it is from me that he will receive what he will make known to you. 15All that belongs to the Father is mine. That is why I said the Spirit will receive from me what he will make known to you.”

Also recall John 3:6
That which is born of the flesh is flesh; and that which is born of the Spirit is spirit.

In John 16 it's clear that HE is a MAN, a flesh.
That's according to Jesus and according to the translation. The is no other translation of HE different from MAN. From the abible language Materialistic is flesh and if you are spiritual may stand for the word Spirit.

Now 1 John 4:
1 Dear friends, stop believing every spirit. Instead, test the spirits to see whether they are from God, because many false prophets have gone out into the world.
2 This is how you can recognize God's Spirit: Every spirit who acknowledges that Jesus the Messiah has become human—and remains so—is from God.

So hapo Jesus tells you that the True God's Spirit is the one who acknowledged that Jesus is a Messiah and is human and is sent from God. So let's what Mohammed says about Jesus;

IN Quran Chapter 3 verses 42-45;
( 42 ) And @ when the angels said, "O Mary, indeed Allah has chosen you and purified you and chosen you above the women of the worlds.

( 43 ) O Mary, be devoutly obedient to your Lord and prostrate and bow with those who bow [in prayer]."

( 44 ) That is from the news of the unseen which We reveal to you, [O Muhammad]. And you were not with them when they cast their pens as to which of them should be responsible for Mary. Nor were you with them when they disputed.

( 45 ) [And mention] when the angels said, "O Mary, indeed Allah gives you good tidings of a word from Him, whose name will be the Messiah, Jesus, the son of Mary - distinguished in this world and the Hereafter and among those brought near [to Allah].

As you can see, Prophet Mohammed said exactly what Jesus told you what he would day about him and that he is the TRUE GOD'S SPIRIT who was sent to complete Jesus work.

1. Mohammad kupitia Koran yake anasema kila taifa lina mesenja wake. Na yeye ni mesenja wa waarabu peke yao. Tena wanaozungumza Kiarabu wa pale Mecca tu.

Si allah wala Mohammad waliowahi kusema kua wamekuja kwa ajili ya dunia au kwa ajili ya wana wa Israeli.

Mohammad Hakua na mafunzo yoyote ya rohoni. Pia hakumjua Yesu kristo Kama tunavyoona si yeye wala allah wake waliokua wanaelewa mysterious ya Holy Trinity. Na mohammad amekufa ana dhambi.

2. Neno la Muda kuhusu Tohara ya Moyo lina unabii kuhusiana na Kristo Yesu mwenyewe based on crimson thread(Redemption analogy) au typology

3. Kuran kutaja kumtambua Yesu Kristo. Hakuna maana yoyote kwa sababu Matendi ya Uislamu na Amri za Yesu Haziendani.

4. Ni kweli Roho wa Mungu alikuwepi na alimtabiria Kristo. Lakini anapaswa kukaa ndani ya wanadamu. Emanuel(God with Us).

Yohana 14:17
ndiye Roho wa kweli; ambaye ulimwengu hauwezi kumpokea, kwa kuwa HAUMWONI wala HAUMTAMBUI; bali ninyi mnamtambua, maana anakaa kwenu, NAYE ndani yenu
 
Matthew 15:22-28 New International Version (NIV)

22 A Canaanite woman from that vicinity came to him, crying out, “Lord, Son of David, have mercy on me! My daughter is demon-possessed and suffering terribly.”
23 Jesus did not answer a word. So his disciples came to him and urged him, “Send her away, for she keeps crying out after us.”
24 He answered, “I was sent only to the lost sheep of Israel.”

Sijui unajua maana ya "ONLY"??? Umeleta maneno mengi trying to justify kuwa Yesu ameletwa kwa ulimwengu mzima. Let us stick to the Bible words and not translate information different from its meaning.

Clearly BIBLE is CONTRADICTING. It's undeniable.
Yesu alikua anaonyesha ni Jinsi Gani nguvu ya Imani inavyoweza kukupa wokovu mbele zake. Kama ya yule mwanamke mkanaani. Na kwamba Yeyote mwenye Imani. Bila kujali wa Taifa, Rangi anapata wokovu. Yaani hakuna myunani wala myahudi wala mkanaani wote wanaokolewa kwa Imani.
 
Ndugu usipotoshe Qur'an Kwa kuitafsiri wewe utakavyo!!!

(18:86) until when he reached the very limits where the sun sets,63 he saw it setting in dark turbid waters;64 and nearby he met a people. We said: "O Dhu al-Qarnayn, you have the power to punish or to treat them with kindness."65
63. “The setting place of the sun” does not mean the place of the setting of the sun. According to Ibn Kathir, it means that he marched to the west conquering one country after the other till he reached the last boundary of the land, beyond which there was ocean.
Mi sio mwislamu lakini huyu jamaa katoa jibu ambalo limeonyesha observation iliyofanyika iko sawa kwa kiasi kikubwa sana
 
Ni kweli na sisi tunakwambia hivyo hivyo. Wewe abudu umtakaye na sisi wacha tuabudu tumtakaye. Shika njia nenda zako. Huna hoja hapa.

Mpaka ufundishwe cha kuandika [emoji12] ona kauli ya allah [emoji117]
IMG_20180911_192631_029.jpg
sasa wewe hujui kusoma na aliye tumwa kukusomea kafa ndio sababu huna ulijualo unabwabwaja tu [emoji12] hata baba kassim kafa anasikitika [emoji117]
IMG_20180911_192542_350.jpg
Msiba unao [emoji24] [emoji24]
 
Yesu alikua anaonyesha ni Jinsi Gani nguvu ya Imani inavyoweza kukupa wokovu mbele zake. Kama ya yule mwanamke mkanaani. Na kwamba Yeyote mwenye Imani. Bila kujali wa Taifa, Rangi anapata wokovu. Yaani hakuna myunani wala myahudi wala mkanaani wote wanaokolewa kwa Imani.
Ndivyo alivyokuambia Askofu wako??
 
Mpaka ufundishwe cha kuandika [emoji12] ona kauli ya allah [emoji117] View attachment 863240 sasa wewe hujui kusoma na aliye tumwa kukusomea kafa ndio sababu huna ulijualo unabwabwaja tu [emoji12] hata baba kassim kafa anasikitika [emoji117] View attachment 863245 Msiba unao [emoji24] [emoji24]
Msiba kuliko wa kuabudu binadamu mwenzako ambaye unadai eti alijibandika nyama? Na vipi pale aliposujudu alikuelekezea wewe makalio??
 
Hilo si swali ilaha [emoji117] View attachment 863120 hata baba kassim ameonya [emoji117] View attachment 863117 kwa vile wewe si muumini ndio sababu nakupotezea [emoji33] [emoji33] [emoji38] [emoji38]

Sifa kuu za mungu-mtu wa Ukristo kama zilivyohubiriwa na Paulo

Wakati tukiendelea kupata uchambuzi huu maridhawa juu ya mungu-mtu wa dini ya Kikristo, jambo lingine muhimu ambalo ningependa kuligusia ni kwamba, kulingana na maelezo ya Biblia tukufu, Bwana Paulo ninayemzungumzia hapa ndiye aliyekuwa mtu wa kwanza katika agano jipya kuandika nyaraka zake kabla ya waandishi wengine wa agano jipya kuandika Injili zao na nyaraka zao.

Aidha, Biblia inaeleza pia kuwa Bwana Paulo alipokuwa akiandika nyaraka zake hizo alikuwa akiandikia dini yake ya Ukristo (ya mungu-mtu huyo na ibada zake).

Waandishi hao wa agano jipya ambao imeripotiwa kuwa nao pia waliuandikia Ukristo ambapo walianza rasmi kuandika Injili zao na nyaraka zao kuanzia miaka ya 36 hadi 45 baada ya Paulo kuandika na kusambaza nyaraka zake hizo (rejea Biblia ya Wakatoliki Imprimatur, Mihayo, 1967 Tabora, kwenye maelezo juu ya nyaraka za Paulo na kwenye maelezo ya Injili mbalimbali).

Kwa shuhuda hiyo, ni wazi kuwa waandishi hao nao pia walikuwa wakiiandikia dini ya Kikristo ya Paulo.

Kwa hali hiyo, imedhihirika kuwa baada ya Bwana Paulo kuzichukua imani na ibada za watu wa mataifa (au wapagani) na kuziandika kwenye nyaraka zake na kudai kuwa zinamhusu Yesu (a.s.) kazi ya pekee iliyofanywa na waandishi hao ni kusherehesha maneno hayo ya Paulo kama yalivyo kwenye nyaraka zake.

Kwa maantiki hiyo, kama tulivyoona katika toleo lililopita kwamba sifa kuu mojawapo ya miungu-Zeu na Herme ya wapagani kwamba ni kufa, Bwana Paulo naye alifundisha kuwa mungu wake huyo (mungu-mtu) aliyemhubiri kuwa na desturi moja na miungu hiyo (ya wapagani) na kumwita "Yesu" kwamba naye vile vile anayo sifa hiyo (ya kufa), kwa kusema:

"Bali Mungu aonyesha pendo lake yeye mwenyewe kwetu sisi, kwa kuwa Kristo alikufa kwa ajili yetu, tulipokuwa tungali kwenye dhambi". (Warumi 5:8)

Hapa Bwana Paulo anafundisha wazi kuwa mungu wake huyo aliyemwita "Yesu" (Kristo) alikufa! Sambamba na mafundisho yake hayo, ili kuthibitisha kwamba waandishi wa Injili na nyaraka wa agano jipya kwamba mara nyingi walikuwa wakisherehesha nyaraka za Paulo, sifa hiyo (ya kufa) aliyonayo mungu huyo wa Paulo baadae nao waliishabikia ajabu, kwa kuandika kwa mapana na marefu; ambapo kila mwandishi aliandika kwa staili ya aina yake katika juhudi za kumpambia mungu wao huyo sifa yake hiyo (ya kufa), hali iliyoibua mgongano mkubwa kimasimulizi na kuwaacha wasomaji wasijue nani mkweli. (Tazama Injili ya Mathayo, Marko, Luka,Yohana na nyaraka za Petro, Yohana, Yakobo, Yuda na Ufunuo wa Yohana n.k.)

Na ndivyo hivyo hivyo waandishi hao walivyosheresha kwa unazi sifa ya kufufuka (ya miungu- Zeu na Herme) miaka michache baada ya 'mwalimu wao', Bwana Paulo kuandika katika nyaraka zake kwamba mungu wake huyo aliyemwita "Yesu" naye vile vile anayo sifa hiyo (ya kufufuka), kwa kusema:

"Mkumbukeni Yesu Kristo aliyefufuka katika wafu, wa uzao wa Daudi kama inenavyo Injili yangu". (2 Timotheo 2:8)

Kwa ufupi, haya ndio mafundisho ya Bwana Paulo yaliyo katika Injili yake yakiithibitisha sifa kuu nyingine ya kufufuka aliyonayo mungu wake huyo aliyemwita "Yesu", ambapo baadae waandishi wa agano jipya waliisherehesha kwa mapana na marefu. (Rejea Injili na nyaraka zao).

Sifa Kuu nyingine za Mungu huyo wa Paulo na Ukristo mwenye asili na desturi za miungu-watu ya wapagani, kwa uchache waandishi hao walizisherehesha katika Injili zao kama ifuatavyo:

Kuzaliwa na mwanamke (Tazama Luka 2:4-7)
Kuvikwa nguo ( Luka 2:6)
Kuona kiu (Yohana 19:28)
Kula na kunywa (Mathayo 11:19 na Yohana 4:7)
Kuvuliwa nguo (Mathayo 27:27-28)
Kupigwa (Mathayo 27:27-30)
Kulia machozi (Yohana 11:35)
Kuchoka (Yohana 4:6)
Kulala usingizi (Mathayo 8:23-24)
Kutokujua mambo yote (Mathayo 24:36)
Kuwa na ukoo (Mathayo 1:1)

Kwa uchache, hizi ndizo sifa kuu za mungu wa Paulo aliyemwita "Yesu" mwenye desturi ya kujigeuza kuwa mwanadamu sawa na miungu-Zeu na Herme inayoaminiwa na wapagani. Na kama tulivyoona katika sifa za kwanza za mada hii katika gazeti hili, Mungu-Yehova ameepukana mbali kabisa na sifa zote hizi.

Kwa shuhuda hizo, ni wazi kuwa mungu aliyemhubiri Paulo ambaye ndiye mungu wa Wakristo, siyo Mungu-Yehova ambaye ndiye Mungu wa Nabii Ibrahimu, Ismaili, Isaka, Yakobo, Nabii Yesu, Muhammad na Mitume na Manabii wake wengine wote aliowatuma duniani (a.s)
 
Utaelewaje na nilicho ongea wakti shetani amesha kukalia [emoji117] View attachment 863048 chizi huyu hapa [emoji117] View attachment 863051 mwaka Mzima alikuwa anaugulia na anaweweseka kutokana na kulogwa na Yahudi Laabid, mkapiga takbir mkidhani wahyi kumbe kalogwa [emoji12] inabidi utafakari kauli hii [emoji117] View attachment 863083[emoji117][emoji4] kinacho kushinda kughani [emoji117] View attachment 863101 kama baba fatuma mwishoni alipo shindwa hoja [emoji47] [emoji4]

Uhusiano kati ya ibada za dini ya Kikristo na ibada za dini ya Kipagani

Tuliona kwa uchache jinsi muasisi wa dini ya Kikristo, Bwana Paulo alivyokuwa akimshutumu Petro, Barnaba na Wayahudi wengine alipokutana nao huko Antiokia (kwa watu wa mataifa au wapagani) kwa kutofuata kwao moja kwa moja desturi (ibada) za watu wa mataifa (wapagani), kinyume na walivyokuwa wakifanya hivyo kabla ya Wayahudi wenzao waliotoka kwa Yakobo (Myahudi) kufika hapo Antiokia. (Rejea Wagalatia 2:11-14).

Zaidi ya hivyo, tuliona pia Bwana Paulo jinsi alivyokuwa akimlaumu Petro kwa kitendo chake cha kuwashurutisha watu hao wa mataifa, yaani wapagani kufuata desturi za Wayahudi (yaani kufuata Torati ya Nabii Musa a.s.) akidai kwamba mwanadamu hatohesabiwa haki kwa matendo ya sheria (Torati); lakini kwa imani ya Kristo Yesu! (Wagalatia 2:14-16)

Kwa maelezo yake hayo, ikadhihirika kuwa Bwana Paulo alikwenda kwa watu wa mataifa (wapagani) kufuata dini yao ambayo kama tulivyoona, pia ilikuwa ina ibada zake wanazoifanyia miungu yao (miungu-watu) walioiamini kuwa ina desturi ya kujigeuza kuwa wanadamu.

Kwa hali hiyo, kwa kuwa Bwana Paulo anafuata mia kwa mia desturi za dini ya watu wa mataifa, yaani wapagani, tuliona kuwa huo ndio lazima utakaokuwa msimamo pia wa ibada za dini yake ya Kikristo.

Na ili kuthibitisha uhusiano huo (kati ya ibada za dini ya Paulo ya Kikristo na ibada za dini ya kipagani) hapana budi hapa nikazirejea japo kwa uchache ibada hizo za watu wa mataifa (wapagani) kama zilivyotajwa na Yehova; kisha tuzilinganishe na ibada za dini ya Kikristo, tuone jinsi kimsingi zinavyolingana.

Ibada hizo (za watu wa mataifa au wapagani) zimetajwa kwa uchache na Yehova alipokuwa akiwakemea wanadamu wajiepushe nazo kama ifuatavyo:

"Utakapokwisha kuingia katika nchi akupayo BWANA, Mungu wako, usijifunze kutenda kwa mfano wa machukizo ya mataifa yale. Asionekane kwako mtu ampitishaye mwanawe au binti yake kati ya moto, wala asionekane mtu atazamaye bao, wala mtu atazamaye nyakati mbaya, wala mwenye kubashiri, wala msihiri wala mtu alogaye kwa kupiga mafundo, wala mtu apandishaye pepo, wala mchawi, wala mtu awaombaye wafu. Kwa maana mtu atendaye hayo ni chukizo kwa BWANA, kisha ni kwa sababu ya hayo BWANA, Mungu wako, anawafukuza mbele yako". (Kumbukumbu la Torati 18:9-12).

Bali walijichanganya na mataifa, wakajifunza matendo yao. Wakazitumikia sanamu zao, Nazo zikawa mtego kwao. Naam, walitoa wana wao na binti zao kuwa dhabihu kwa mashetani. Wakamwaga damu isiyo na hatia, damu ya wana wao na binti zao, Waliowatoa dhabihu kwa sanamu za Kanaani; Nchi ikatiwa unajisi kwa damu". (Zaburi 106:35-38).

Katika maandiko hayo, Yehova kwa uchache tunaona amezitaja ibada hizo zisizopungua nane ambazo hufanywa na watu wa mataifa (wapagani) akiwataka wanadamu wajiepushe nazo mbali kabisa ili waweze kupata radhi yake hapa duniani na kesho huko akhera.

Kati ya ibada hizo za wapagani alizozikemea Yehova hapo juu, amezitaja pia ibada nne ambazo nimeziwekea alama ya maandishi meusi sana (bold) kwa ajili ya mazingatio katika uchambuzi ujao hapo punde.

Ibada hizo ni pamoja na kuua wana na binti (kama kafara), kupandisha pepo, kuwaomba wafu na kuzitumikia (kuabudu) sanamu.

Tuzitazamapo ibada hizi, tunaona ndizo leo zimekuwa ibada za msingi katika dini ya Kikristo mpaka dakika hii na hivyo kudhihirisha wazi uhusiano wa kimsingi kati ya ibada zake (Ukristo) na ibada za dini ya kipagani ambazo Yehova amewakemea vikali wanadamu kujishughulisha nazo kwa namna yoyote ile.

Mfano wa ibada kama hizo za wapagani zilizomo katika dini ya Kikristo mpaka leo ni kama zifuatazo:
 
Tatizo hujui kusoma na wakukusomea kafa [emoji4] imepelekea umeivaa laana kwa kuhubiri Injili nyingine [emoji117]
IMG_20180911_203642_435.jpg
hata baba fatuma kafa anasikitika [emoji117]
IMG_20180911_192542_350.jpg
[emoji38] [emoji38]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom