Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Tulia Padri kama uko chumbani kwa askofu wako, daawa ikuingie usirushe vichwa

Kuabudu Sanamu

Hii pia ni ibada ya msingi katika dini ya Kikristo ambapo sala za waumini wake (Wakristo) huwa hazitimii bila ya kuomba na kuabudu sanamu. Masanamu yanayohusishwa zaidi katika ibada hizo ni pamoja na sanamu la mungu-mtu Yesu wa Kikristo akiwa amebebwa na mama yake na kwenye sanamu lingine akiwa amekufa msalabani, sanamu la "Bikira Maria", sanamu la malaika na masanamu mengine mengi ya watakatifu wa Kikristo waliokufa!

Kama maandiko ya Biblia tukufu yafundishavyo, ibada hii (ya sanamu) ifanywayo na Wakristo, kiasili imetokana na watu wa mataifa (wapagani). Uthibitisho wa hilo tunaupata katika maandiko yafuatayo:

"Bali walijichanganya na mataifa, wakajifunza matendo yao. Wakazitumikia sanamu zao, Nazo zikawa mtego kwao". (Zaburi 106:35-36).

Kwa uchache, maandiko hayo juu yanathibitisha wazi kuwa waasisi na wahusika wakuu wa ibada hiyo (ya sanamu) ni watu wa mataifa, yaani wapagani.

Sambamba na ukweli huo, Biblia haikuacha pia kubainisha jinsi Yehova alivyowakemea wanadamu tangu mapema kujaribu kuchonga (kufanya) na kuabudu sanamu, kama ifuatavyo:

"Usijifanyie sanamu ya kuchonga, mfano wa kitu chochote kilicho juu mbinguni, au kilicho chini duniani. Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi BWANA, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu, nawapatiliza wana uovu wa baba zao; hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao". (Kumbukumbu la Torati 5:8-9).

Katika maandiko hayo juu, tunaona wazi jinsi Yehova anavyowakataza wanadamu kuchonga na kuabudu sanamu ya aina yoyote. Makemeo hayo juu ya Yehova ndio yanayosimamisha amri yake kuu ya pili kati ya amri zake zile kuu kumi ndani ya Biblia tukufu alizowapa wanadamu.

Ingawa alidhamiria kumhubiri Mungu mtu wa dini yake ya Kikristo mwenye desturi na sifa za miungu-watu ya wapagani, lakini Bwana Paulo hakuikubali ibada ya sanamu (tazama Wagalatia 5:19).

Hata hivyo, kwa kule kuwawekea Wakristo msingi wa kuzipenda na kuzifuata kwa moyo mkunjufu, imani na ibada za kipagani kamwe hawezi kukwepa dhima kutokana na leo ibada hiyo (ya sanamu) kujaa tele na kujizika mizizi katika dini yake ya Kikristo.

Kwa ujumla, ibada hiyo (sanamu) iliyomo katika dini ya Kikristo ni ibada inayotokana na dini ya kipagani ambayo (kama tulivyoona hapo awali) Yehova amewakataza vikali wanadamu kuitenda.

Kwa hali hiyo, ni dhahiri kuwa Wakristo kutenda ibada hiyo ni uthibitisho wa wazi kwamba hawamwabudu Yehova, Mungu wa Nabii Ibrahimu, Ismaili, Isaka, Yakobo, Musa, Yesu, Muhammad na Mitume na Manabii wake wengine wote aliowatuma duniani (a.s.), kwa kuwa ibada hiyo haitokani na yeye (Yehova).

Jibu hapa kwanza [emoji117]
IMG_20180912_171308_778.jpg
njoo hapa kwanza [emoji117]
IMG_20180912_111003_386.jpg
tapatalk_1535957798748.jpeg
The%20life%20of%20muhammad.jpg
sisi Wakristo Ibada ya sanamu tunaijua hii hapa [emoji117]
IMG_20180912_183211_390.jpg
baba fatuma kwa makusudi akawawekea jiwe mlifanyie Ibada kwa kulila denda [emoji117]
hqdefault (7).jpg
halafu gavana hilo jiwe limefanana na nini [emoji47]
IMG_20180805_110014_686.jpg
[emoji118] ndilo tatizo lenu kubwa [emoji4]
 
Sijui kama mnaona tofauti waislam wanatoa refereemce za maandiko wakrsito wanaleta reference za watu na mafundishi ya kanisa wanayakimbia maandiko..!

Kwa taarifa yenu kimakadirio kila siku vitabu viwili vinaandikwa kuupinga uislam na muhamamad kwanza ni biashara nzuri ulaya pili wanataka wasioujua uislam wauchukie uislam so unapoleta vitu ambavyo we unaona landa vinachafua Muhhamad sababu mnadhan msingi wetu wa aiman upo kwa muhhamad kama nyinyi ulivyo kwa yesu sisi Muhhamad ni mtume tu na hakuna lingine nyie mnakuwa sio wa kwanza na mnafanya hivyo akichafuka muhamad unachafuka uislam lakin hamuwez kuhangaika na uislam wala mafundisho ya muhammad hamuwez kuya attack sababu ni mafundisho bora na mengi yameendana hata kwenye iman yenu so kimbilio lenu la kuu ili kuuchafua uislam ni kumchafua muhammad...

Muhammad kachafuliwa tangu akiwa hai kapigwa had mawe katika mji wa twaifu kaitwa mchawi, msoma mashairi vitu vyote kafanyiwa akiwa hai hta yeye alisema "uislam umenifanya nimekuwa dhalili sana nilikuwa nina sura nzuri leo uso una makovu sababu ya dini nilikuwa mtu ninaependwa na kuaminiwa hapa makka na watu walinipa amana zao niwashikie ila siku nilipokuwa mtume na kuanza kutangaza uislam nilikuwa ndio mtu mbaya kuliko wote" so nyie mnafanya marudio na bado uislam umeendela kukua kwa kasi duniani na leo tupo 1.8B...pamoja na kuchafuliwa kote huko.!

Ndio maana huwez kukuta musilam anatumia referenae yoyote tofauti na zilizopo kwenye bible na quran kusema juu ya yesu na sio kama hamna zipo wayahud wanaamin Yesu ni mtoto wa Zinaa lakin waislam hatuwez kusema hivyo vipo vitabu vingi juu ya yesu wengine wa yesu alioa na akazaa watoto wawili vipo vitabu vinasema alikuwa na mdogo wake wengine wamesema jesus alitoke Misri na maria magdalena alikuwa demu wake na kama unasoma sana vitabu vya kihistoria vitabu hivyo utakuwa umeviona na wanao andika sio waislam...huwez kumkuta muislam anaejua uislam anamsema Yesu vibaya hata humu limajidhirisha hilo ila nyie sababu mmeshalishwa sumu kuwa muhammad ni mtu wa hovyo na alikuja kumpinga Yesu mnajikuta hamuoni shida kusema muhammad ni shoga,alitomba maiti,alifira watu hivi hamjiulizi inaama sisi ni wajinga kiasi hicho kumfata mtu mashenz kiasi hicho hamjiulizi hamfikirii au mnadhan hatujui hizo story ambazo mnazipost hapa juu muhammad..!

Ndio maana leo baada ya maendeleo ya kimasiliano kuendelea wazungu wanaanza kuusoma uslam halisi nje ya ule wanaoujua kuwa ni Dini inamkandamiza mwanamke,dini ya wauwaji na mambo mengine mengi...ndio maan leo uislam unaenda kwa kasi ulaya na amerika sababu wanasoma sasa vitu sahihi makanisa yanabadilishwa kuwa misikiti sasa ulaya na na amerika pamoja na matusi yote na shutuma zote unazopewa uislam bado ndio dini inayoenea kwa kasi duniani..!

Bado naawambia ndugu zangu huenda mkapuuzia huu ujumbe ila jitafakarini mnapenda sana yesu ila mengi mnayoyafanya hajawaaagizaa na infomation mlizonazo juu ya uislam ni za watu wenye malengo ya kiprpopaganga na mafundusho ya makanisa na ni vitu ambavyo havina ushahidi vikihojiwa.!

Hakuna dini inge survive kwa attacks zinakutana nazo uislam na Allah aliwaweza kwenye kushindwa kwako kuibadili Quran sababu imeandikwa kwa ufundi wa hali ya juu na mapangilio sio wa kiuwezo wa kibinadamu na nduo maana Allah amesema kwenye Quran mnasema muhamad kaindika hii Quran basi leten mfano kitabu kama hiki, sehem nyigine akasema leten mfano wa sura moja na sehem nyigine akasema leten mfano wa aya moja...unaweza kuona ni zoez rahisi sababu haujui structure ya Quran ilivyopangwa kimahesabu kiasi kwamba ukitoa herufi moja umeharibu Quran yote...kuna siku ntawapa lecture ya Quran in numbers.. Wallah ukiijua hiyo hutainagalia Quran kama kitabu tu cha kawaida ndio maana tunakiita muujiza unaoish sema nyie wenzetu mnasoma kama gazeti au bible.!

Na sii kwamba hawajawahi kujaribu wamejarinu wamefail sabubu wakati dunia ipo kwenye kipindi cha leterature Quran ndio ilikuwa kitabu namba moja ulimwengun na mabingwa wa literature wamekiri hili na leo dunia ipo kwenye sayans na teknolijia bado Quran inaaishi na wakti uliopo sasa wapungufu watu wanajaribu kuyaleta ni madhaifu yao ya kitafsiri na wala sio kosa la Quran.!

Hii khutba nikwambie Mara ngapi uipeleke msikitini kwenye watu kama weye ukazawadiwe TAKBIRR... Hivi mende ataacha kuwa ña mahaba ya kulabua mavi [emoji15] [emoji47] [emoji12] ashki ni majunun [emoji4] Hivi Mungu alisahau nini muda woote wa miaka 500 hadi Amtume baba kulthum aje atufundishe wanadamu [emoji15] [emoji47] Maandiko Yote Tunayo yatoa wee huyaoni [emoji15] [emoji4] kweli unachekesha [emoji12] hili hapa Andiko kama ni muelewa tueleze unavyo lielewa [emoji117]
IMG_20180912_192139_567.jpg
 
Tulia Padri kama uko chumbani kwa askofu wako, daawa ikuingie usirushe vichwa

Kuabudu Sanamu

Hii pia ni ibada ya msingi katika dini ya Kikristo ambapo sala za waumini wake (Wakristo) huwa hazitimii bila ya kuomba na kuabudu sanamu. Masanamu yanayohusishwa zaidi katika ibada hizo ni pamoja na sanamu la mungu-mtu Yesu wa Kikristo akiwa amebebwa na mama yake na kwenye sanamu lingine akiwa amekufa msalabani, sanamu la "Bikira Maria", sanamu la malaika na masanamu mengine mengi ya watakatifu wa Kikristo waliokufa!

Kama maandiko ya Biblia tukufu yafundishavyo, ibada hii (ya sanamu) ifanywayo na Wakristo, kiasili imetokana na watu wa mataifa (wapagani). Uthibitisho wa hilo tunaupata katika maandiko yafuatayo:

"Bali walijichanganya na mataifa, wakajifunza matendo yao. Wakazitumikia sanamu zao, Nazo zikawa mtego kwao". (Zaburi 106:35-36).

Kwa uchache, maandiko hayo juu yanathibitisha wazi kuwa waasisi na wahusika wakuu wa ibada hiyo (ya sanamu) ni watu wa mataifa, yaani wapagani.

Sambamba na ukweli huo, Biblia haikuacha pia kubainisha jinsi Yehova alivyowakemea wanadamu tangu mapema kujaribu kuchonga (kufanya) na kuabudu sanamu, kama ifuatavyo:

"Usijifanyie sanamu ya kuchonga, mfano wa kitu chochote kilicho juu mbinguni, au kilicho chini duniani. Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi BWANA, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu, nawapatiliza wana uovu wa baba zao; hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao". (Kumbukumbu la Torati 5:8-9).

Katika maandiko hayo juu, tunaona wazi jinsi Yehova anavyowakataza wanadamu kuchonga na kuabudu sanamu ya aina yoyote. Makemeo hayo juu ya Yehova ndio yanayosimamisha amri yake kuu ya pili kati ya amri zake zile kuu kumi ndani ya Biblia tukufu alizowapa wanadamu.

Ingawa alidhamiria kumhubiri Mungu mtu wa dini yake ya Kikristo mwenye desturi na sifa za miungu-watu ya wapagani, lakini Bwana Paulo hakuikubali ibada ya sanamu (tazama Wagalatia 5:19).

Hata hivyo, kwa kule kuwawekea Wakristo msingi wa kuzipenda na kuzifuata kwa moyo mkunjufu, imani na ibada za kipagani kamwe hawezi kukwepa dhima kutokana na leo ibada hiyo (ya sanamu) kujaa tele na kujizika mizizi katika dini yake ya Kikristo.

Kwa ujumla, ibada hiyo (sanamu) iliyomo katika dini ya Kikristo ni ibada inayotokana na dini ya kipagani ambayo (kama tulivyoona hapo awali) Yehova amewakataza vikali wanadamu kuitenda.

Kwa hali hiyo, ni dhahiri kuwa Wakristo kutenda ibada hiyo ni uthibitisho wa wazi kwamba hawamwabudu Yehova, Mungu wa Nabii Ibrahimu, Ismaili, Isaka, Yakobo, Musa, Yesu, Muhammad na Mitume na Manabii wake wengine wote aliowatuma duniani (a.s.), kwa kuwa ibada hiyo haitokani na yeye (Yehova).
Kuhusu Ibada ya Sanamu. Kabla uvumilivu haujanishinda nikakushushia Misumari ya moto. em eleza wewe Mwenyewe:

1. Lile Jiwe pale Ka'aba mnalobusu la kazi gani?.

2.Dunia nzima mnaelekeza vichwa huko..Mungu yupo Arabuni peke yake?

3. Alama ya Mwezi na Nyota ya kazi gani misikitini?.
Make sure you're Smart.

4. Kulingana na ibada za Mungu Baali( Hubaal) za waquraish alikua na alama hiyo ya Mwezi.
Eleza mwenyewe tofauti ya allah na huyu Allah baali.

Be brief. Tafadhali.

NB: Sitaki povu wala gazeti.
 
[emoji115] [emoji4]
 
Jibu hapa kwanza [emoji117]
View attachment 864185 njoo hapa kwanza [emoji117] View attachment 864207View attachment 864210View attachment 864214 sisi Wakristo Ibada ya sanamu tunaijua hii hapa [emoji117] View attachment 864264 baba fatuma kwa makusudi akawawekea jiwe mlifanyie Ibada kwa kulila denda [emoji117] View attachment 864268 halafu gavana hilo jiwe limefanana na nini [emoji47] View attachment 864272 [emoji118] ndilo tatizo lenu kubwa [emoji4]

Labda unahitaji dosi nyengine,

Nashukuru hakuna nililokosea na huna hoja , nakuletea tena dosi

Kuabudu Sanamu

Hii pia ni ibada ya msingi katika dini ya Kikristo ambapo sala za waumini wake (Wakristo) huwa hazitimii bila ya kuomba na kuabudu sanamu. Masanamu yanayohusishwa zaidi katika ibada hizo ni pamoja na sanamu la mungu-mtu Yesu wa Kikristo akiwa amebebwa na mama yake na kwenye sanamu lingine akiwa amekufa msalabani, sanamu la "Bikira Maria", sanamu la malaika na masanamu mengine mengi ya watakatifu wa Kikristo waliokufa!

Kama maandiko ya Biblia tukufu yafundishavyo, ibada hii (ya sanamu) ifanywayo na Wakristo, kiasili imetokana na watu wa mataifa (wapagani). Uthibitisho wa hilo tunaupata katika maandiko yafuatayo:

"Bali walijichanganya na mataifa, wakajifunza matendo yao. Wakazitumikia sanamu zao, Nazo zikawa mtego kwao". (Zaburi 106:35-36).

Kwa uchache, maandiko hayo juu yanathibitisha wazi kuwa waasisi na wahusika wakuu wa ibada hiyo (ya sanamu) ni watu wa mataifa, yaani wapagani.

Sambamba na ukweli huo, Biblia haikuacha pia kubainisha jinsi Yehova alivyowakemea wanadamu tangu mapema kujaribu kuchonga (kufanya) na kuabudu sanamu, kama ifuatavyo:

"Usijifanyie sanamu ya kuchonga, mfano wa kitu chochote kilicho juu mbinguni, au kilicho chini duniani. Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi BWANA, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu, nawapatiliza wana uovu wa baba zao; hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao". (Kumbukumbu la Torati 5:8-9).

Katika maandiko hayo juu, tunaona wazi jinsi Yehova anavyowakataza wanadamu kuchonga na kuabudu sanamu ya aina yoyote. Makemeo hayo juu ya Yehova ndio yanayosimamisha amri yake kuu ya pili kati ya amri zake zile kuu kumi ndani ya Biblia tukufu alizowapa wanadamu.

Ingawa alidhamiria kumhubiri Mungu mtu wa dini yake ya Kikristo mwenye desturi na sifa za miungu-watu ya wapagani, lakini Bwana Paulo hakuikubali ibada ya sanamu (tazama Wagalatia 5:19).

Hata hivyo, kwa kule kuwawekea Wakristo msingi wa kuzipenda na kuzifuata kwa moyo mkunjufu, imani na ibada za kipagani kamwe hawezi kukwepa dhima kutokana na leo ibada hiyo (ya sanamu) kujaa tele na kujizika mizizi katika dini yake ya Kikristo.

Kwa ujumla, ibada hiyo (sanamu) iliyomo katika dini ya Kikristo ni ibada inayotokana na dini ya kipagani ambayo (kama tulivyoona hapo awali) Yehova amewakataza vikali wanadamu kuitenda.

Kwa hali hiyo, ni dhahiri kuwa Wakristo kutenda ibada hiyo ni uthibitisho wa wazi kwamba hawamwabudu Yehova, Mungu wa Nabii Ibrahimu, Ismaili, Isaka, Yakobo, Musa, Yesu, Muhammad na Mitume na Manabii wake wengine wote aliowatuma duniani (a.s.), kwa kuwa ibada hiyo haitokani na yeye (Yehova).
 
Hapa hatuongei based on personal opinion. Hapa tunaongea vitu kwa ushahidi tu. Kwani hapa ndiyo sehemu ya kujifunza. Sasa kila mmoja ni vyema aweke personal opinion pembeni na alete facts tu. Jenga hoja kwa maandiko ya either Biblia ambayo ndiyo kitabu chako au Quran ambacho ndiyo kitabu chetu tukufu. Sisi tunakupeni facts katika maandiko ya Biblia yenu. Hatutoi kichwani mwetu. Tunawapa reference ya Bible katika kila neno tusemalo. Hatusemi opinion zetu bali maandiko yenu. Sasa kama wewe unasema Prophet Muhammad ni mtu huyo umsemae wewe basi tupe ushahidi katika maandiko yetu. Kama huna ushahidi huo basi hizo opinion zako hazina tija kwani unazijenga kwa chuki ambayo haitakusaidia kitu wewe wala msomaji. Unaonekana mtu unayeongea upuuzi.

Sasa wacha nikufanilie upuuzi uliosema kama ifuatavyo;

Kwenye Quran kuna sehemu nyingi tu zinazosema kuwa Prophet Muhammad amekuja kwa ajili ya Whole MANKIND. Sio waarabu peke yao kama usemavyo wewe bila ushahidi wowote. Baadhi ya reference chache ni kama ifuatavyo; Soma hapo chini [emoji116][emoji116]

Chapter 25 Verse 1
1. “Blessed is He Who sent down the Furqan (The Distinction of right and wrong) upon His servant that he may be a Warner to the worlds;”

see Qur’an 7:158:-
Say, [O Muhammad], “O mankind, indeed I am the Messenger of Allah to you all, [from Him] to whom belongs the dominion of the heavens and the earth. There is no deity except Him; He gives life and causes death.” So believe in Allah and His Messenger, the unlettered prophet, who believes in Allah and His words, and follow him that you may be guided.

Also, Qur’an 21:107
And We have not sent you, [O Muhammad], except as a mercy to the worlds.

Kiarabu ni lugha iliyochaguliwa na Mungu kuwa itumike katika Quran. Na hiyo ndiyo Lugha utakayoongea wewe baada ya kufufuliwa. Leo makabila ya kila aina waislamu wanasoma Quran kwa kiarabu fasaha ingawaje wao sio waarabu. Hiyo ni ishara pekee kuwa Quran haikuja kwa waarabu. Kwani Original Bible ilikuwa imeandikwa Lugha Gani???? Kiswahili???? Mbona wewe unaifuata.

Hiyo TRINITY imetajwa kwa jamano kwenye Quran. Kwani kuna Dini nyingine zaidi ya Ukiristo iliyokuwa na na Doctrine ya TRINITY??? Nitajie kama unajua hiyo dini. Soma reference hiyo [emoji116][emoji116]

Quran 4:171
O People of the Scripture, do not commit excess in your religion or say about Allah except the truth. The Messiah, Jesus, the son of Mary, was but a messenger of Allah and His word which He directed to Mary and a soul [created at a command] from Him. So believe in Allah and His messengers. And do not say, "Three"; desist - it is better for you. Indeed, Allah is but one God. Exalted is He above having a son. To Him belongs whatever is in the heavens and whatever is on the earth. And sufficient is Allah as Disposer of affairs.

People of the Scripture ndiyo nyingi munayejiita Wakiristo. Endelea kusoma hapa[emoji116][emoji116]

Quran 5:73
They have certainly disbelieved who say, " Allah is the third of three." And there is no god except one God. And if they do not desist from what they are saying, there will surely afflict the disbelievers among them a painful punishment.

Hiyo inamaana nyinyi mupo katika Kundi la watu Musioamini. Hiyo Chapter mwishoni inaendelea kwa kusema;

Quran 5:116
And [beware the Day] when Allah will say, "O Jesus, Son of Mary, did you say to the people, 'Take me and my mother as deities besides Allah ?'" He will say, "Exalted are You! It was not for me to say that to which I have no right. If I had said it, You would have known it. You know what is within myself, and I do not know what is within Yourself. Indeed, it is You who is Knower of the unseen.

Na YESU atajibu kwa kusema yafuatayo;

Quran 5:117
I said not to them except what You commanded me - to worship Allah, my Lord and your Lord. And I was a witness over them as long as I was among them; but when You took me up, You were the Observer over them, and You are, over all things, Witness.

Quran imezungumzia vya kutosha kuhusiana na nyinyi kumshirikisha MUNGU kupitia TRINITY DOCTRINE muliyoipandikiza. Vipi wewe unasema Quran haikuzungumzia TRINITY??? Hujui Quran, basi isome kama sisi tunavyosoma BIBLE Yenu.

Elewa kuwa Mitume yote imetii AMRI ya MUNGU na wote karibia walikuwa na matendo yanayofanana. Umesema pia Matendo ya YESU na Amri za Islam haziendani. Hebu tutazame nani Kati yenu nyinyi na Waislamu wanayotenda aliyotenda YESU;

1. Waislam Hawali Nguruwe, YESU pia haraka Nguruwe. YESU ni kama waislamu. Nyinyi munakula Nguruwe, nyinyi hamumfuati YESU.

2. Muslims are all Circumcised when still babies and So is Jesus. Gospel of Luke, which states in verse 2:21 that Jesus was circumcised eight days after his birth. Nyinyi wakiristo unatembea na Magovi yangu. Hamumfuati YESU.

3. Jesus greet "PEACE BE UPON YOU" au kwa kiswahili "AMANI IWE JUU YENU" ambayo ni sawa na Maamkizi ya Kiislam "SALAAM ALAIKUM", maana yake ni SALAM IWE JUU YENU. Tazama reference hizo;

"And as they were still talking about this, Jesus himself stood in the midst of them, and saith unto them, Peace be unto you." - New Testament (Luke 24:36)

"And into whatsoever house ye enter, first say, Peace be to this house." - New Testament (Luke 10:5)

"On the evening of that first day of the week, when the disciples were together, with the doors locked for fear of the Jews, Jesus came and stood among them and said, "Peace be with you!" - New Testament (John 20:19)

YESU alikuwa MUISLAM na kaishi kama WAISLAM wanavyoishi. Maisha ya YESU yanashabihiana na maisha ya WAISLAMU. Huo uthibitisho nimekupa kuwa YESU na WAISLAMU ni kitu kimoja. Nyinyi wakiristo hamupaswi kujiita wafuasi wa Yesu kwani hamumfuati hata kidogo. Pia nimekupa uthibitisho kuwa QURAN na Mtume Muhammad amzungumzia Yesu Mara nyingi tu. Wewe umeleta CLAIM za uwongo ambao hakutakiwi hapa.
Acha uongo.
 
Kuhusu Ibada ya Sanamu. Kabla uvumilivu haujanishinda nikakushushia Misumari ya moto. em eleza wewe Mwenyewe:

1. Lile Jiwe pale Ka'aba mnalobusu la kazi gani?.

2.Dunia nzima mnaelekeza vichwa huko..Mungu yupo Arabuni peke yake?

3. Alama ya Mwezi na Nyota ya kazi gani misikitini?.
Make sure you're Smart.

4. Kulingana na ibada za Mungu Baali( Hubaal) za waquraish alikua na alama hiyo ya Mwezi.
Eleza mwenyewe tofauti ya allah na huyu Allah baali.

Be brief. Tafadhali.

NB: Sitaki povu wala gazeti.

Let us look at the Bible's sacred black stones:

Genesis 28:18

When Jacob got up early the next morning, he took the rock that he had used for a pillow and stood it up for a place of worship. Then he poured olive oil on the rock to dedicate it to God,

So here we clearly see that the rock that Jacob, peace be upon him, used for sleeping and resting became a holy object of worship that needed to be anointed by having oil being poured on it. We further read from the Bible about holy stones that GOD Almighty supposedly forbade the believers from even edging or trimming:

Exodus 20:25

25 If you ever build an altar for me out of stones, do not use any tools to chisel the stones, because that would make the altar unfit.

Other translations of this verse:

Exodus 20:25

King James Version (KJV)
25 And if thou wilt make me an altar of stone, thou shalt not build it of hewn stone: for if thou lift up thy tool upon it, thou hast polluted it.

Exodus 20:25

New American Standard Bible (NASB)
25 If you make an altar of stone for Me, you shall not build it of cut stones, for if you wield your tool on it, you will profane it.

Exodus 20:25
Revised Standard Version (RSV)
25 And if you make me an altar of stone, you shall not build it of hewn stones; for if you wield your tool upon it you profane it.

Exodus 24:4
4 Then Moses wrote down what the Lord had said. The next morning Moses got up early. He built an altar at the foot of the mountain and set up a large stone for each of the twelve tribes of Israel.

Exodus 25:1-9

The Sacred Tent

1 The Lord said to Moses:
2 Tell everyone in Israel who wants to give gifts that they must bring them to you.
3 Here is a list of what you are to collect: Gold, silver, and bronze;
4 blue, purple, and red wool; fine linen; goat hair;
5 tanned ram skins; fine leather; acacia wood;
6 olive oil for the lamp; sweet-smelling spices to mix with the oil for dedicating the tent and ordaining the priests;
7 and onyx stones for the sacred vest and the breastpiece.
8 I also want them to build a special place where I can live among my people.
9 Make it and its furnishings exactly like the pattern I will show you.

black_onyx_stone.png
natural_onyx_stone.png

Black Onyx Stone Natural Onyx Stone

Again, the black stone in Mecca was a meteorite that was sent down by Allah Almighty to Prophet Abraham and his son Ishmael, peace be upon both of them, to give the precise location of where the Kaaba was to be built by them.

We believe that Prophets Abraham and Ishmael built the Kaaba.

The black stone is placed in one of the corners of the Kaaba, and it serves as a starting and ending point for the Circumambulation (tawaaf) 7 times around the Kaaba, which is also 100% supported in the Bible's previous Scriptures.
 
Kuhusu Ibada ya Sanamu. Kabla uvumilivu haujanishinda nikakushushia Misumari ya moto. em eleza wewe Mwenyewe:

1. Lile Jiwe pale Ka'aba mnalobusu la kazi gani?.

2.Dunia nzima mnaelekeza vichwa huko..Mungu yupo Arabuni peke yake?

3. Alama ya Mwezi na Nyota ya kazi gani misikitini?.
Make sure you're Smart.

4. Kulingana na ibada za Mungu Baali( Hubaal) za waquraish alikua na alama hiyo ya Mwezi.
Eleza mwenyewe tofauti ya allah na huyu Allah baali.

Be brief. Tafadhali.

NB: Sitaki povu wala gazeti.

Mtumishi gavana anatupa nyenzo ya kufunua kila jiwe ili tuone kilicho kuwemo...niki-mmiss sina hata Raha namtafuta jukwaa hadi jukwaa! siku hizi wameongezeka mbao nyingine anajiita masudi mushahara na bigblosi...walikuwa Hawajui [emoji117]
IMG_20180912_210924_538.jpg
 
Kuhusu Ibada ya Sanamu. Kabla uvumilivu haujanishinda nikakushushia Misumari ya moto. em eleza wewe Mwenyewe:

1. Lile Jiwe pale Ka'aba mnalobusu la kazi gani?.

2.Dunia nzima mnaelekeza vichwa huko..Mungu yupo Arabuni peke yake?

3. Alama ya Mwezi na Nyota ya kazi gani misikitini?.
Make sure you're Smart.

4. Kulingana na ibada za Mungu Baali( Hubaal) za waquraish alikua na alama hiyo ya Mwezi.
Eleza mwenyewe tofauti ya allah na huyu Allah baali.

Be brief. Tafadhali.

NB: Sitaki povu wala gazeti.

Ubatizo

Hii pia ni ibada kuu na ya msingi katika dini ya Kikristo ambayo hata watoto wachanga nao huusishwa nayo pia!

Kwa ujumla wake, ibada hii (ya ubatizo) imeshamiri sana katika Ukristo.

Hata hivyo, pamoja na kuwemo katika orodha ya ibada za Kikristo, lakini kwa mujibu wa maelezo ya Biblia tukufu, asili ya ibada hiyo (ya ubatizo) imetokana na dini ya kipagani.

Uthibitisho wa hayo tunaupata katika maelezo ya Biblia yafuatayo:

"Ibada ya (ubatizo) kutosa mwili majini ni mfano wa utakaso au wakujitengeneza upya. Ibada kama hiyo ilijulikana na kutendeka katika dini za kale za kipagani na dini ya Kiyahudi pia (kama ubatizo wa waongofu Mdo 2:10; Waesseni)'. (Tazama Biblia ya Wakatoliki, Imprimatur M. Mihayo Archbishop of Tabora, February, 1967, kwenye maelezo ya Mathayo 3:6 uk. 879)
.

Maelezo hayo ya Biblia hapo juu yanathibitisha wazi kwamba ibada hiyo ya ubatizo inatokana na dini za kale za kipagani na kamwe haitokani na dini ya Yehova.

Nasema ibada hiyo (ya ubatizo ya kipagani) katu haitokani na Yehova, kwa sababu tangu mapema Yehova alikwishawakataza na kuwaonya wanadamu kutenda ibada yoyote (kama hiyo ya ubatizo) ya watu wa mataifa (yaani wapagani) kama asemavyo (Yehova) katika maandiko yafuatayo:

"Utakapokwisha kuingia katika nchi akupayo BWANA, Mungu wako, usijifunze kutenda kwa mfano wa machukizo ya mataifa yale". (Kumbukumbu la Torati 18:19).

BWANA, Mungu wako, atakapoyakatalia mbali hayo mataifa mbele yako, huko uingiako kuyamiliki, nawe ukawatwaa, na kuketi katika nchi yao, ujiangalie, usije ukanaswa ukawafuata, wakiisha kuangamizwa mbele yako, wala usije ukauliza habari za miungu yao, ukasema, mataifa haya waitumikiaje miungu yao? Nami nifanye vivyo". (Kumbukumbu la Torati 12:29-30)

Kulingana na maandiko hayo juu, hapo Yehova kwa ujumla anawataka wanadamu wajiepushe mbali kabisa na ibada ya watu wa mataifa au wapagani.

Na kwa kuwa Biblia tukufu inakiri kwamba ibada ya ubatizo ni ya kipagani, ni dhahiri kuwa ibada hiyo nayo i miongoni mwa machukizo kwa Yehova ambayo hataki wanadamu kuyatenda.

Pamoja na makemeo hayo ya Yehova dhidi ya yeyote anayetenda ibada za watu wa mataifa au wapagani (kama hiyo ya ubatizo), lakini muasisi wa Ukristo, Bwana Paulo kwa kuwa tangu mapema alidhamiria na hatimaye kuamua kufuata mia kwa mia dini ya kipagani, alisema kama ifuatavyo kuhusu ibada hiyo ya ubatizo:

"Hamfahamu ya kuwa sisi sote tuliobatizwa katika Kristo Yesu tulibatizwa katika mauti yake? Basi tulizikwa pamoja naye kwa njia ya ubatizo katika mauti yake, kusudi kama Kristo alivyofufuka katika wafu kwa njia ya utukufu wa Baba, vivyo hivyo na sisi tuenende katika upya wa uzima". (Warumi 6:3-4).

"Kwa maana katika Roho mmoja sisi sote tulibatizwa kuwa mwili mmoja, kwamba tu Wayahudi, au kwamba tu Wayunani; ikiwa tu watumwa au ikiwa tu huru, nasi sote tulinyweshwa Roho mmoja". (1Wakoritho 12:13).

Kwa uchache, anachokiri Bwana Paulo katika maelezo yake hayo juu ni kwamba, yeye binafsi pamoja na wafuasi wake wote (Wakristo) huifanya ibada hiyo (ya ubatizo). Kwa lugha nyingine anakiri kwamba ibada hiyo imo katika orodha ya taratibu za dini yake ya Kikristo.

Miaka 36 mpaka 45 baada ya Paulo kuifundisha ibada hiyo (ya ubatizo), waandishi wa Agano Jipya nao katika kuuandikia Ukristo wa 'mwalimu wao' (Paulo), walisherehesha mafundisho yake hayo (ya ubatizo) ambayo wamethubutu hata kutunga katika Injili zao kuwa Bwana Yesu naye eti aliwahi kutenda ibada hiyo ya kipagani kwa kubatizwa na Yohana katika mto wa Yordani! (Tazama Mathayo 3:13-17; Marko 1:9-11; Luka 3:21-22; Yohana 1:31-34).

Nasema waandishi hao (Wainjilisti) wametunga kwa kuwa kama tulivyoona Biblia tukufu ielezeavyo kwamba ibada ya ubatizo imetokana na dini za kale za kipagani, ni dhahiri kuwa Nabii Yesu na Nabii Yohana kamwe hawawezi kutenda ibada potofu za wapagani (kama hiyo ya ubatizo) ambazo zimekemewa vikali na Yehova aliyewatuma (rejea Kumbukumbu la Torati 18:9).

Na hata ukiyasoma masimulizi ya waandishi hao juu ya nadharia hiyo ya Yesu na Yohana kubatizana, licha ya maelezo yao kutofautiana na hivyo kutojua ni mwandishi gani anayeelezea kiusahihi, bado utaona kuna utata mkubwa na wa kimsingi wa kutendeka kwa tukio hilo.

Kwa mfano, waandishi hao wamesimulia kuwa ubatizo wa Nabii Yohana (a.s.) waliouelezea kuwa ni wa maji, ulikuwa ni kwa ajili ya utakaso wa kumwondolea mtu dhambi (tazama Marko 1:4-5).

Kwa shuhuda hiyo, waandishi hao wasingeonekana kuwa wanasherehesha ibada ya Paulo (ya ubatizo) iwapo wangetusimulia katika Injili zao kuwa Nabii Yohana (a.s.) alipombatiza Yesu (a.s.) Yehova alisahau kumjulisha kuwa ubatizo wake haukumstahili Yesu kwa kuwa (Yesu) hakuwa na dhambi (tazama Yohana 8:45-46).

Aidha, kauli inayosimuliwa na waandishi hao kutolewa na Nabii Yohana (a.s.) akimshangaa Yesu (a.s.) alipomjia hapo katika mto wa Yordani ili ambatize kwa kumwambia: " Mimi nahitaji kubatizwa na wewe, nawe waja kwangu?", Kisha Yesu (a.s.) eti akamjibu Yohana (a.s.) na kumwambia: "Kubali hivi sasa, kwa kuwa ndivyo itupasavyo kuitimiza haki yote" (Mathayo 3:13-14), inaonyesha Yesu hapa akipinga wazi maelekezo ya Nabii Yohana (a.s.) jambo ambalo kamwe haliwezi kufanywa na Yesu (a.s.) kwani Yesu (a.s.) anajua wazi kuwa Nabii yoyote wa kweli (kama Yohana) hasemi neno ila ni wahyi (ufunuo). (Tazama 2 Petro 1:21).

Aidha, kumpinga Nabii kama Yohana (a.s.), Bwana Yesu (a.s.) anajua pia kuwa ni kukiuka ile ahadi yake kwamba: "Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua Torati wala Manabii..." Tazama Mathayo 5:17-19)

Kwa upande mwingine wa masimulizi ya waandishi hao, yaonyesha kwamba, kumshangaa kwake kule Yesu (a.s.), Nabii Yohana (a.s.) hakujua alitendalo hata ikabidi Yesu amkosoe kwa kupinga maelekezo yake (Yohana) yale! Jambo ambalo siyo kweli. Kwani Nabii kama Yohana kamwe hawezi akathubutu kutoa maelekezo ya uongo kama hayo anayodaiwa (katika masimulizi ya waandishi hao) kuwa eti alisema kwamba "alitakiwa Yesu ndiye ambatize yeye (Yohana) na kukosolewa kwa kupingwa vikali na Yesu!

Kwa uchache, huo ndio utata wa kimsingi unaotia shaka kuwepo (kutendeka) kwa tukio la kubatizana Yesu na Yohana (a.s.) katika mto wa Yordani kama isimuliwavyo na waandishi wa Agano Jipya katika Injili zao.

Tukiachilia mbali utata huo, jambo la kuzingatia ni kwamba ibada hiyo (ya ubatizo) kama Biblia ielezavyo imetokana na wapagani.

Kwa shuhuda hiyo ni dhahiri kuwa Bwana Yesu (a.s.) na Nabii Yohana (a.s.) kamwe hawawezi kutenda ibada hiyo kwa kuwa ni ibada ya kipagani ambapo Yehova aliyewatuma amewakataza wanadamu kutenda ibada zote za wapagani.

Na ni wazi kuwa Wakristo kutenda ibada hiyo ni uthibitisho kuwa hawamwabudu Yehova, Mungu wa Nabii Ibrahimu, Ismaili, Isaka, Yakobo, Muhammad na Manabii wengine wote.
 
Labda unahitaji dosi nyengine,

Nashukuru hakuna nililokosea na huna hoja , nakuletea tena dosi

Kuabudu Sanamu

Hii pia ni ibada ya msingi katika dini ya Kikristo ambapo sala za waumini wake (Wakristo) huwa hazitimii bila ya kuomba na kuabudu sanamu. Masanamu yanayohusishwa zaidi katika ibada hizo ni pamoja na sanamu la mungu-mtu Yesu wa Kikristo akiwa amebebwa na mama yake na kwenye sanamu lingine akiwa amekufa msalabani, sanamu la "Bikira Maria", sanamu la malaika na masanamu mengine mengi ya watakatifu wa Kikristo waliokufa!

Kama maandiko ya Biblia tukufu yafundishavyo, ibada hii (ya sanamu) ifanywayo na Wakristo, kiasili imetokana na watu wa mataifa (wapagani). Uthibitisho wa hilo tunaupata katika maandiko yafuatayo:

"Bali walijichanganya na mataifa, wakajifunza matendo yao. Wakazitumikia sanamu zao, Nazo zikawa mtego kwao". (Zaburi 106:35-36).

Kwa uchache, maandiko hayo juu yanathibitisha wazi kuwa waasisi na wahusika wakuu wa ibada hiyo (ya sanamu) ni watu wa mataifa, yaani wapagani.

Sambamba na ukweli huo, Biblia haikuacha pia kubainisha jinsi Yehova alivyowakemea wanadamu tangu mapema kujaribu kuchonga (kufanya) na kuabudu sanamu, kama ifuatavyo:

"Usijifanyie sanamu ya kuchonga, mfano wa kitu chochote kilicho juu mbinguni, au kilicho chini duniani. Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi BWANA, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu, nawapatiliza wana uovu wa baba zao; hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao". (Kumbukumbu la Torati 5:8-9).

Katika maandiko hayo juu, tunaona wazi jinsi Yehova anavyowakataza wanadamu kuchonga na kuabudu sanamu ya aina yoyote. Makemeo hayo juu ya Yehova ndio yanayosimamisha amri yake kuu ya pili kati ya amri zake zile kuu kumi ndani ya Biblia tukufu alizowapa wanadamu.

Ingawa alidhamiria kumhubiri Mungu mtu wa dini yake ya Kikristo mwenye desturi na sifa za miungu-watu ya wapagani, lakini Bwana Paulo hakuikubali ibada ya sanamu (tazama Wagalatia 5:19).

Hata hivyo, kwa kule kuwawekea Wakristo msingi wa kuzipenda na kuzifuata kwa moyo mkunjufu, imani na ibada za kipagani kamwe hawezi kukwepa dhima kutokana na leo ibada hiyo (ya sanamu) kujaa tele na kujizika mizizi katika dini yake ya Kikristo.

Kwa ujumla, ibada hiyo (sanamu) iliyomo katika dini ya Kikristo ni ibada inayotokana na dini ya kipagani ambayo (kama tulivyoona hapo awali) Yehova amewakataza vikali wanadamu kuitenda.

Kwa hali hiyo, ni dhahiri kuwa Wakristo kutenda ibada hiyo ni uthibitisho wa wazi kwamba hawamwabudu Yehova, Mungu wa Nabii Ibrahimu, Ismaili, Isaka, Yakobo, Musa, Yesu, Muhammad na Mitume na Manabii wake wengine wote aliowatuma duniani (a.s.), kwa kuwa ibada hiyo haitokani na yeye (Yehova).

Kwa hiyo endelea kukubaliana na Mimi kwamba kisla kisla hujakosea umepatia dogo [emoji12] ila ikilia nyau nyau usiogope ni hatua ya kupatia [emoji4]
 
Kwa hiyo endelea kukubaliana na Mimi kwamba kisla kisla hujakosea umepatia dogo [emoji12] ila ikilia nyau nyau usiogope ni hatua ya kupatia [emoji4]

Hujalazimishwa kuandika , kama huna hoja mezea tu si vibaya . Padri ndio hali, au nakuharibia tonge ya ugali kanisani ??

riziki hutoa Mungu sio yesu wala popu francis
 
Hujalazimishwa kuandika , kama huna hoja mezea tu si vibaya . Padri ndio hali, au nakuharibia tonge ya ugali kanisani ??

riziki hutoa Mungu sio yesu wala popu francis

Ndiko aliko c&p baba fatuma akawatupia mle denda [emoji38] [emoji38] imekula kwenu [emoji12] Omary aligoma kula denda, kutokana na utemi wa baba kasim ikabidi omary ampe za chembe
IMG_20180912_213156_271.jpg
[emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Hujalazimishwa kuandika , kama huna hoja mezea tu si vibaya . Padri ndio hali, au nakuharibia tonge ya ugali kanisani ??

riziki hutoa Mungu sio yesu wala popu francis
Anasikia kilinge chako Hali sio nzuri imefikia wateja badala ya kuwaagiza mbuzi na kuku sasa wanaleta dagaa [emoji38] [emoji38]
 
Anasikia kilinge chako Hali sio nzuri imefikia wateja badala ya kuwaagiza mbuzi na kuku sasa wanaleta dagaa [emoji38] [emoji38]

Msimamo wa Yehova kuhusu ibada za watu wa mataifa (wapagani)

Kulingana na mafundisho ya Biblia tukufu, msimamo wa Yehova au Allah (s.w.) kuhusu ibada za watu wa mataifa au wapagani, ni "ubatili", ni "chukizo" na ni "najisi" tupu. Msimamo wake huu unathibitishwa na maandiko yafuatayo ya Biblia tukufu kama yalivyomkariri Yeye mwenyewe (Yehova au Allah s.w.) akisema:

"BWANA anasema hivi, Msijifunze njia ya mataifa, wala msishangae kwa sababu ya ishara za mbinguni, maana mataifa hushangaa kwa sababu ya ishara hizo. Maana desturi za watu hao ni ubatili; maana mtu mmoja hukata mti mwituni, kazi ya mikono ya fundi na shoka". (Yeremia 10:2-3).

"Msijitie unajisi katika mambo hayo hata mojawapo, kwa maana hizo taifa nitakazozitoa mbele zenu zimekuwa najisi kwa mambo hayo yote; na hiyo nchi imekuwa najisi, kwa ajili ya hayo naipatiliza uovu wake juu yake, na hiyo nchi yatapika wenyeji wake na kuwatoa. Kwa hiyo mtazishika amri zangu na hukumu zangu, wala msifanye machukizo hayo mojawapo; yeye aliye mzalia, wala mgeni aketiye kati yenu; kwa kuwa hao watu wa nchi wameyafanya machukizo haya yote, hao waliotangulia mbele zenu, na hiyo nchi imekuwa najisi... kwani mtu awaye yote atakayefanya machukizo hayo mojawapo, nafsi hizo zitakazofanya zitakatiliwa mbali na watu wao. Kwa ajili ya hayo yashikeni mausia yangu, ili kwamba msifanye kabisa desturi hizi zichukizazo mojawapo zilizotangulia kufanywa mbele zenu, wala msijitie unajisi katika mambo hayo, mimi ndimi BWANA, Mungu wenu". (Mambo ya Walawi 18:24-30 ).

"Na wa mataifa BWANA aiwaambia wana wa Israeili, msiingie kwao, wala wasiingie kwenu; kwa kuwa hakika wataigeuza mioyo yenu kuifuata miungu yao..." (1 Wafalme 11:3)

"Msiwape mbwa kilicho kitakatifu, wala msitupe lulu zenu mbele ya nguruwe, wasije wakazikanyaga chini ya miguu yao, wakageuka na kuwararua". (Mathayo 7:6).

Kwa uchache, huu ndio msimamo halisi wa Yehova kuhusu ibada za watu wa mataifa au wapagani; kwamba ni chukizo, najisi na ni ubatili mtupu kwake (Yehova).
 
Ndiko aliko c&p baba fatuma akawatupia mle denda [emoji38] [emoji38] imekula kwenu [emoji12] Omary aligoma kula denda, kutokana na utemi wa baba kasim ikabidi omary ampe za chembe View attachment 864515 [emoji38] [emoji38] [emoji38]

The Stone is not be worshipped or regarded as anything but a marker.
 
Msimamo wa Yehova kuhusu ibada za watu wa mataifa (wapagani)

Kulingana na mafundisho ya Biblia tukufu, msimamo wa Yehova au Allah (s.w.) kuhusu ibada za watu wa mataifa au wapagani, ni "ubatili", ni "chukizo" na ni "najisi" tupu. Msimamo wake huu unathibitishwa na maandiko yafuatayo ya Biblia tukufu kama yalivyomkariri Yeye mwenyewe (Yehova au Allah s.w.) akisema:

"BWANA anasema hivi, Msijifunze njia ya mataifa, wala msishangae kwa sababu ya ishara za mbinguni, maana mataifa hushangaa kwa sababu ya ishara hizo. Maana desturi za watu hao ni ubatili; maana mtu mmoja hukata mti mwituni, kazi ya mikono ya fundi na shoka". (Yeremia 10:2-3).

"Msijitie unajisi katika mambo hayo hata mojawapo, kwa maana hizo taifa nitakazozitoa mbele zenu zimekuwa najisi kwa mambo hayo yote; na hiyo nchi imekuwa najisi, kwa ajili ya hayo naipatiliza uovu wake juu yake, na hiyo nchi yatapika wenyeji wake na kuwatoa. Kwa hiyo mtazishika amri zangu na hukumu zangu, wala msifanye machukizo hayo mojawapo; yeye aliye mzalia, wala mgeni aketiye kati yenu; kwa kuwa hao watu wa nchi wameyafanya machukizo haya yote, hao waliotangulia mbele zenu, na hiyo nchi imekuwa najisi... kwani mtu awaye yote atakayefanya machukizo hayo mojawapo, nafsi hizo zitakazofanya zitakatiliwa mbali na watu wao. Kwa ajili ya hayo yashikeni mausia yangu, ili kwamba msifanye kabisa desturi hizi zichukizazo mojawapo zilizotangulia kufanywa mbele zenu, wala msijitie unajisi katika mambo hayo, mimi ndimi BWANA, Mungu wenu". (Mambo ya Walawi 18:24-30 ).

"Na wa mataifa BWANA aiwaambia wana wa Israeili, msiingie kwao, wala wasiingie kwenu; kwa kuwa hakika wataigeuza mioyo yenu kuifuata miungu yao..." (1 Wafalme 11:3)

"Msiwape mbwa kilicho kitakatifu, wala msitupe lulu zenu mbele ya nguruwe, wasije wakazikanyaga chini ya miguu yao, wakageuka na kuwararua". (Mathayo 7:6).

Kwa uchache, huu ndio msimamo halisi wa Yehova kuhusu ibada za watu wa mataifa au wapagani; kwamba ni chukizo, najisi na ni ubatili mtupu kwake (Yehova).
Kalale ukue dogo [emoji12]
 
Umeishiwa majibu [emoji12] unachotetea hapo sikioni wakati baba yake kassim ameyafanya hayo yoote kwa hiyari yake mwenyewe na raha zake[emoji15] na yeye amefanyiziwa acha avune alicho kipanda [emoji4] View attachment 863760 [emoji117] View attachment 863762 [emoji53] [emoji4]
hicho ndio ulichobakinacho mapicha lakini hoja zako za msingi nimezimaliza kweupeee, mimi huwa siangaiki na mapicha maana najua mapicha mara nyingi unakuwa ni umbeya al maarufuu udaku
 
Kama hutaki nirudie rudie na wewe kuanzia Leo usirudie rudie kuelekeza uso wako kibla ila badilisha elekeza makalio yako kibla [emoji12] kitu ya ushoga, kumuingilia maiti, View attachment 863731na aisha kushughulikiwa na Swafan iko wazi [emoji117] View attachment 863743View attachment 863721View attachment 863723 hadith hii ya muhammad amejichanganya dhidi ya ili wapatikane Mashahidi.4 kuthibitisha uzinzi [emoji117] View attachment 863733 nakuongeza na hii kwamba alikuwa mtukanaji sanaà kwa wale walio kuwa wanampinga [emoji117] View attachment 863742
Ahahahahahahahahahahhahahahah unarudia yaleyale wewe kweli kuku , hapo hakuna hoja mpya unabaki kulialia swafan kalala na aisha , nimekwambia uislamu unataratibu zake , ili mtu awe na hatia lazima mashahidi wapatikane , nje ya hapo ni uzushi mtupu, swali ni rahisI unaweza thibitisha hao mashahidi wanne ? kama uwezi tutakupuuza ww kwa kuwa ni mdaku, swala la mtume kulala na maiti tumelimaliza ulichobaki ni kutapatapa,kuhusu wakiwa mwanamke na mwanaume wakiwa wawili, watatu ni shetwan hii hata mtoto wa chekechea anaelewa kuwa hadith hii inahusu watu ambao ni halali kuoana hivyo ushawishi wa shetani kuwafanya hawa kutenda ufuska ni mkubwa wakiwa wawili sasa hata hili tukufundishe alaaaaaaaa,mengine ulioyaleta sijaona hoja ya msingi maana ni mambo ambayo hata binti wangu wa darasa la 1 a naweza kukujibu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom