Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.

Ulikuwepo wewe pangoni na zawadi uliyopata ni hii kwa kuwepo pangoni

HALI AU JIHA MBALI MBALI ZA NAFSI MOJA:

Kuhusu jambo la kwanza linalowezekana miongoni mwa hayo manne hapo juu hakuna haja ya kulijadili zaidi, kwani hamna siku hizi Mkristo yeyote ambaye angemwamini Yesu kuwa hali ama jiha moja ya Mungu kuliko kuwa nafsi moja maalum.

Wanaouamini utatu wanasisitiza kuwepo kwa nafsi tatu tofauti zilizounganika na zikawa moja.

Pindi mtu anapokubali habari hiyo ya nafsi moja yenye hali mbali mbali zikidhihirika wakati mmoja, papo hapo itikadi ya Utatu, yaani miungu watatu katika mmoja, inatokomea, pasipo kubakia utatu wowote kabisa.

Basi atakayebakia ni Mungu Baba ambaye kwa kuona huruma atakufa kwa ajili ya madhambi ya watu.

Na hiyo itakuwa ni hali ya kupita ya nafsi hiyohiyo. Hali mbalimbali siyo nafsi, wala jiha mbalimbali hazimaanishi dhati tofauti. Mtu yeyote anaweza kupitia hali mbalimbali bila ya kugawanyika katika wawili, watatu ama watu wengi.

Hivyo, kama Mungu akiamua kufa kwa ajili ya watu wenye dhambi, basi ni Mungu mwenyewe atakayekufa siyo hali zake fulani tu zitakazokufa.

Basi kuhusu habari tunayozungumzia, ile hali ya Mungu ambayo ilifanya kazi kubwa sana ya kutoa dhabihu yake kwa ajili ya watu wenye dhambi inaweza kufahamika kuwa kazi ya sifa moja tu yake. Hivyo, kama huruma ya Mungu peke yake ikihesabiwa kuwa 'nafsi' na nafsi hiyo ikapewa jina Yesu Kristo, hapo kile kilichokufa ni 'huruma' ya Mungu.

Upingamizi mkubwa ulioje huu ya kwamba huruma ya Mungu ikiwahurumia watu wenye dhambi inajiua. Hiyo inamaanisha ya kwamba Mungu hakubakiwa na huruma kwa siku tatu mchana na usiku.

Kumbukeni kwamba hapo Yesu hakuhesabiwa nafsi tofauti ya kujitegemea, bali ni sifa ama hali ya huruma ya Mungu ambayo
huruma hiyo ikadhihirika kwa sura ya mtu. Na mtu huyo kwa vyovyote ndiye Mungu mmoja asiyeweza kugawanyika. Basi
kama chochote kilikufa katika kisa hicho, hicho ni Mungu Mwenyewe ama ni sifa yake ya Huruma iliyofanya kazi kubwa
sana katika tukio hilo.

Basi hatuna hiari yoyote isipokuwa kuamini kwamba Huruma ya Mungu ilikufa ama Mungu Mwenye Huruma Mwenyewe Alikufa.

Matatizo mengi yatazuka kutokana na madai ya kwamba hali au sifa fulani inaweza kufutika kwa muda ama kwa kudumu. Habari
hiyo inaweza kueleweka vizuri ikilinganishwa na majaribu ya binadamu. Mtu anaweza kupoteza nguvu yake ya kuona au kusikia
kwa muda au daima, lakini mtu huyo bado atabaki kuwa yule yule mtu aliye hai.

Kifo cha nguvu moja ya mtu kwa hakika ni nusu kifo cha mtu huyo.

Hatimaye mwenye kupata hasara ama kusumbuka anakuwa mtu yuleyule
 
Makosa ya kiuchapaji hayaondoi mantiki ya swali langu. Nimerekebisha makosa. Sasa naomba ujibu swali la msingi.

Ulikuwepo wewe pangoni na zawadi uliyopata ni hii kwa kuwepo pangoni

HALI AU JIHA MBALI MBALI ZA NAFSI MOJA:

Kuhusu jambo la kwanza linalowezekana miongoni mwa hayo manne hapo juu hakuna haja ya kulijadili zaidi, kwani hamna siku hizi Mkristo yeyote ambaye angemwamini Yesu kuwa hali ama jiha moja ya Mungu kuliko kuwa nafsi moja maalum.

Wanaouamini utatu wanasisitiza kuwepo kwa nafsi tatu tofauti zilizounganika na zikawa moja.

Pindi mtu anapokubali habari hiyo ya nafsi moja yenye hali mbali mbali zikidhihirika wakati mmoja, papo hapo itikadi ya Utatu, yaani miungu watatu katika mmoja, inatokomea, pasipo kubakia utatu wowote kabisa.

Basi atakayebakia ni Mungu Baba ambaye kwa kuona huruma atakufa kwa ajili ya madhambi ya watu.

Na hiyo itakuwa ni hali ya kupita ya nafsi hiyohiyo. Hali mbalimbali siyo nafsi, wala jiha mbalimbali hazimaanishi dhati tofauti. Mtu
yeyote anaweza kupitia hali mbalimbali bila ya kugawanyika katika wawili, watatu ama watu wengi.

Hivyo, kama Mungu akiamua kufa kwa ajili ya watu wenye dhambi, basi ni Mungu mwenyewe atakayekufa siyo hali zake fulani tu zitakazokufa.

Basi kuhusu habari tunayozungumzia, ile hali ya Mungu ambayo ilifanya kazi kubwa sana ya kutoa dhabihu yake kwa ajili ya watu
wenye dhambi inaweza kufahamika kuwa kazi ya sifa moja tu yake. Hivyo, kama huruma ya Mungu peke yake ikihesabiwa kuwa 'nafsi' na nafsi hiyo ikapewa jina Yesu Kristo, hapo kile kilichokufa ni 'huruma' ya Mungu.

Upingamizi mkubwa ulioje huu ya kwamba huruma ya Mungu ikiwahurumia watu wenye dhambi inajiua. Hiyo inamaanisha ya kwamba Mungu hakubakiwa na huruma kwa siku tatu mchana na usiku.

Kumbukeni kwamba hapo Yesu hakuhesabiwa nafsi tofauti ya kujitegemea, bali ni sifa ama hali ya huruma ya Mungu ambayo
huruma hiyo ikadhihirika kwa sura ya mtu. Na mtu huyo kwa vyovyote ndiye Mungu mmoja asiyeweza kugawanyika. Basi
kama chochote kilikufa katika kisa hicho, hicho ni Mungu Mwenyewe ama ni sifa yake ya Huruma iliyofanya kazi kubwa
sana katika tukio hilo.

Basi hatuna hiari yoyote isipokuwa kuamini kwamba Huruma ya Mungu ilikufa ama Mungu Mwenye Huruma Mwenyewe Alikufa.

Matatizo mengi yatazuka kutokana na madai ya kwamba hali au sifa fulani inaweza kufutika kwa muda ama kwa kudumu. Habari
hiyo inaweza kueleweka vizuri ikilinganishwa na majaribu ya binadamu. Mtu anaweza kupoteza nguvu yake ya kuona au kusikia
kwa muda au daima, lakini mtu huyo bado atabaki kuwa yule yule mtu aliye hai.

Kifo cha nguvu moja ya mtu kwa hakika ni nusu kifo cha mtu huyo.

Hatimaye mwenye kupata hasara ama kusumbuka anakuwa mtu yuleyule
 
[emoji117] View attachment 877122 na hata Muhammad karejea Kuhusu nyinyi msio na ilimu mnaopotosha Maandiko kwa uongo na dhana [emoji117] View attachment 877130 nisomapo hayo Maandiko Napata Upako Rohoni [emoji123] [emoji106] kwa sababu Yametimia...makafir mtajiju na kusindikizana jehannam kama alivyo sema Muhammad [emoji117] View attachment 877134View attachment 877139 mnapata hata usingizi kwa kauli hizo [emoji15] [emoji53] kweli ashki majunun [emoji15] [emoji38] [emoji38]
Hayo maandiko hayasemi kwamba Paulo sio mwalimu wa kufuru , unapata tabu bure kufuru huyu zipo kwenye damu yake ahahahaahahahaaahaahaha pokea hiyo
MATENDO YA MITUME 26:11
"Na mara nyingi katika masinagogi yote naliwaadhibu , nikawashurutisha KUKUFURU ; nikawaonea hasira kama mwenye wazimu ,nikawaudhi hata katika miji ya ugenini"

Kuhusu wasomi Yesu mwenyewe aliwaacha wanafunzi wake wakiwa elimu hawana lakini mliwaelewa ahahahahahahaajaajajja mbona uwatangazii WAKRISTO wenzako kuwa hata Yohana alikuwa hana elimu pokea kichapo
MATENDO YA MITUME 4:13
"; Basi walipoona ujasiri wa petro na Yohana,na kuwajua ya kuwa ni watu wasio na ELIMU, wasio na MAARIFA ,wakastaajabu , wakawatambua ya kwamba walikuwa pamoja na Yesu;

Yesu ni mtu kama wewe usijitoe akili ahahahahahaaaaaaahaaahhahah , tena ametumwa tu na Mungu(big boss) siku zote mbeba bahasha awezi kuwa sawa na muandishi wa kilichomo ndani ya bahasha
YOHANA 8:40
",lakini sasa mnatafuta kuniua mimi,mtu ambaye nimewaambia iliyo kweli , niliyoisikia kwa Mungu, Ibrahim hakufanya hivyo
 
Yesu alikwisha Tufundisha pale msemapo Manabii woooote tunawaami hiyo ni domoni tu [emoji117] View attachment 877105 hivyo Andiko LIMETIMIA na KUIMARISHA IMANI YANGU [emoji117] HAKUNA MUNGU APASWAYE KUABUDIWA KWA HAQI ILAHA YESU NA PROF PAULO NI RASUL WA YESU [emoji123] [emoji106] Habari ndio hiyo anae kataa anywe sumu ya panya au ajidunge ndoba asepe [emoji53]
Ahahahahahaahaha hatuwezi kunywa sumu kwasababu ya upunguani wako ila tutaendelea kukupa dawa mpaka kichaa kikutoke
YOHANA 17:3
"; Na uzima wa milele ndio huu, wakujue wewe, Mungu wa PEKEE wa kweli,na Yesu kristo ULIEMTUMA";

Ahahahahahahaha mwenye macho na aone Yesu anathibitisha kwa kinywa chake kuwa ametumwa na Mungu wa pekee ,sasa wewe endelea kujitoa akili kumsemea Yesu mambo ambayo katu ajawai kukufundisha popote , zaidi unamzushia umbeya tu ahahahahaahhha
 
Huyo Wa Uganda na Tito wana tofauti gani na baba fatûû [emoji47] sisi Yesu katufundisha namna ya KUTAMBUA Mitume na manabii Wa UONGO [emoji117] View attachment 877047 masudi unatambuaje/VIGEZO gani unatumia ili kwamba kufahamu huyu ni nabii/mtume Wa kweli na huyu wa uongo [emoji47] [emoji4]
Ahahaahahaaaaahaaaaah kwenye uislamu hakuna nabii baada ya mohammad unataka tutambue nabii gani? ahahahahahhaa wakina nabii mwamposa na nabii Tito au Mwingira ahahaha hatari sana hayo ni matatizo yenu , yatamitafuna sana huo upuuzi kwenye uislamu hakuna maarufuku
 
Hata mjinga anajisifia ujinga [emoji38] kama huoni Fundisho hapo ni Dalili ya mahaba ya kisukule [emoji12]
Ahahahahaahaaahahaha unaleta mapicha humu sio studio ahahahahahhaa leta maandiko sio mapicha mgalatia wewe ahahaaahaaaaahhahaa mapicha peleka huko instagram
 
Endelea kumchapa bakora za makalio mtoto Wa abd allah baada ya kumvua kanzu [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji106] eti unamshitakia masudi [emoji12] nakushangaa unavyo dhihirisha Uwepo wako kwa masudi [emoji12] mwanaume Mzima unalegeza SAUTI kwa mtoro wa mushahara [emoji15] [emoji12] nina shaka na weye hau [emoji15] [emoji4] masudi ni nani kwangu ni nani [emoji53] [emoji12] Mimi namuona ni msukule tu kama ulivyo wewe [emoji53] [emoji12]
Mbona unamwaga povu kubwa kiasi hicho?umeyataka mwenyewe kuchokoza waliokuzidi sasa tulia bakoraa zikushukie kama mvua ahaahhaaaahaahaahaha humu ni nondo tu ugalatia wako peleka huko kanisani kwenu
 
Ahahaahahaaaaahaaaaah kwenye uislamu hakuna nabii baada ya mohammad unataka tutambue nabii gani? ahahahahahhaa wakina nabii mwamposa na nabii Tito au Mwingira ahahaha hatari sana hayo ni matatizo yenu , yatamitafuna sana huo upuuzi kwenye uislamu hakuna maarufuku

Kwani ukisema kumjua huyu ni Mtume na huyu ni Nabii huna TBS ilaha nafuata mahaba hakuna atakaye kuzomea dogo [emoji4] kwa sababu mtu mwenye majibu kama haya [emoji117]
IMG_20180926_211117_264.jpg
IMG_20180927_065420_292.jpg
lmwenye profile kama hii [emoji117]
The%20life%20of%20muhammad.jpg
ni akili ya maiti inayo weza kuamini katumwa na Mwenyezi [emoji53] [emoji12]
 
Ahahahahaahaaahahaha unaleta mapicha humu sio studio ahahahahahhaa leta maandiko sio mapicha mgalatia wewe ahahaaahaaaaahhahaa mapicha peleka huko instagram

Hiyo nyingine [emoji117]
pmm-magic.jpg
mpaka akili ikukae sawa badala ya kuangalia PICHA TU usome UJUMBE WA PICHA [emoji4]
 
Mbona unamwaga povu kubwa kiasi hicho?umeyataka mwenyewe kuchokoza waliokuzidi sasa tulia bakoraa zikushukie kama mvua ahaahhaaaahaahaahaha humu ni nondo tu ugalatia wako peleka huko kanisani kwenu

Hakuna povu hapo ni qulu haqi wainkana mura [emoji53] na ndio sababu hamja nijibu swali langu nini fatwa baina Yenu wewe na gavana Kuhusu
IMG_20180923_153029_381.jpg
utamsaidiaje ili awe na Uzima, akili na asalimike [emoji47] [emoji38]
 
Ahahahahhhaahhahahahhaajahahhaha mapicha peleka instagram huko ahahahaahaahahahaha umeshikwa pabaya utatuma mpaka picha za majani mwaka huu
Hujasomeshwa atajua kweli aliye shikwa pabaya [emoji47] [emoji47] [emoji47] [emoji38] ndio sababu ili muradi unaandika tu [emoji4] hapo ndio ktk jihadi ya kuwaita watu ktk deen [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ongeza jihadi ya kutusaidia kumpuuza muham mad [emoji106]
 
Nikiangalia uzi ulipoanzia na ulipo kwa Sasa ni vitu tofauti kaabisaa [emoji1][emoji1]! Na mwenye uzi anachuunguliaaa tuuu [emoji2957]
 
Ahahahahahaahaha hatuwezi kunywa sumu kwasababu ya upunguani wako ila tutaendelea kukupa dawa mpaka kichaa kikutoke
YOHANA 17:3
"; Na uzima wa milele ndio huu, wakujue wewe, Mungu wa PEKEE wa kweli,na Yesu kristo ULIEMTUMA";

Ahahahahahahaha mwenye macho na aone Yesu anathibitisha kwa kinywa chake kuwa ametumwa na Mungu wa pekee ,sasa wewe endelea kujitoa akili kumsemea Yesu mambo ambayo katu ajawai kukufundisha popote , zaidi unamzushia umbeya tu ahahahahaahhha

Hata huoni wala hujui unavyo kula hashua za
IMG_20180831_135641_309.jpg
na farja ya kiti moto [emoji117]
IMG_20180902_132054_387.jpg
huku unashusha glasi ya kohozi[emoji117]
IMG_20180910_205007_541.jpg
eeh?! Umenogewa hadi umebaki hanywi mtu sumu [emoji23] [emoji23] [emoji23] tutakukufurisha mpaka ukishtuka ujione tayari uko jehannam [emoji106] [emoji106]
 
UHUSIANO WA NAFSI TATU ZENYEWE KWA ZENYEWE:

Mtu anapotaka kutambua namna zinavyohusiana nafsi hizo tatu zenyewe kwa zenyewe ndizo hizi zifuatazo:

a. Hizo ndizo jiha mbalimbali za dhati moja.

b. Hizo ni dhati tatu mbalimbali zinazoshirikiana kwa usawa daima milele.

c. Hizo ni dhati tatu ambazo kila moja katika hizo ina baadhi ya sifa za pekee ambamo nyingine hazishirikiani nazo kikamilifu.

d. Hizo ni dhati tatu katika moja, na kila moja inazo sifa zilezile na nguvu zilezile, na zote hizo zimeunganika pamoja, na kazi zao pia ni zilezile pasipo tofauti yoyote ile iwayo.

______________________
Nilifikiri unajibu sababu ya kumdhalilisha muhammad kumbe unamuongezea dose ya kumuaibisha zaidi baba kasimu [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106] [emoji736]
 
Hata huoni wala hujui unavyo kula hashua za View attachment 879039 na farja ya kiti moto [emoji117] View attachment 879040 huku unashusha glasi ya kohozi[emoji117] View attachment 879041 eeh?! Umenogewa hadi umebaki hanywi mtu sumu [emoji23] [emoji23] [emoji23] tutakukufurisha mpaka ukishtuka ujione tayari uko jehannam [emoji106] [emoji106]
Ahahhaahaaaahahahhahahahaah unafanya matangazo ya nyama ?ahahahaahahahahahahaaha ,hilo tangazo ulipie basi ahahahhahahahahahahahahahaha
 
Hujasomeshwa atajua kweli aliye shikwa pabaya [emoji47] [emoji47] [emoji47] [emoji38] ndio sababu ili muradi unaandika tu [emoji4] hapo ndio ktk jihadi ya kuwaita watu ktk deen [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ongeza jihadi ya kutusaidia kumpuuza muham mad [emoji106]
Ahahaahahaaahahahahahahahahah sisi tumeshakutoa kwenye ujinga wa kumuita binadamu mwenzio (Yesu kuwa Mungu ) ni wewe tu na moyo wako sikiliza msumali huo haya ndio mafunzo ya Yesu sio kumsemea umbeya wenu
YOHANA 20:17
"; Yesu akamwambia , usinishike ;kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba , ila enenda kwa ndugu zangu ukawaambie, ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu";

aaahahhahhahhahah mwenye macho na aone Yesu amemaliza kazi kwa ulimi wake amefundisha hivyo, wewe endelea na mafundisho yako ya uchochoroni
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom