Imekua ni hali ya kawaida sana. Kwenu kusema Uongo. Kwakua kharul makireena a.k.a the Despot.amewaamrisha hivyo. Kama Pepo ya Brothel ni nzuri hivyo, kwanini kulazimishana na kurubuniana?. We can smell Something evil is lurking in the dark..!.
Mlikuja na stori za injili ya barnabas. Imeshakua debunk, hamkomi bado mnapika na zingine.. Kama unataka histori ya Church. Uliza. Sio unatengeneza stori zako...
"...Sema umeyaamini yale yote tuliyoteremshiwa sisi Wakristo."- By allah.
R. Eisenman na M. Wise wakieleza habari za Waebioni katika kitabu chao The Dead Sea Scrolls Uncovered (1992) wanasema ya kwamba James (Zaddik au Zadok, maana yake mwema, mkweli) alikuwa kiongozi wa Kanisa la Jerusalemu katikati ya karne ya kwanza (40- 60 AD takriban).
Tawi hilo kwa kuangalia mambo ya nyuma likaitwa Ukristo wa Kiyahudi katika Palestino.
Waebioni wakazalika kutokana na tawi hilo. ( SOMA : 'The Dead Scrolls Uncovered', R. Eisenman na M. Wise, uk 186 (Element Books, 1992)
Jumuiya iliyomfuata James ilijulikana kwa jina 'Masikini' (Wagalatia 2:10, Waraka wa Yakobo 2:3-5), cheo cha heshima kilichoelezwa katika Hotuba ya Mlimani na katika Dead Sea Scrolls.
Kwa jiha nyingi Eisenman anafikiri ya kwamba Waebioni walifanana na waandishi wa Dead Sea Scrolls. Hao walimuheshimu Yakobo Mwema na walimwamini Yesu kuwa Masiha wao mwenye kufa, ilhali Paulo akawa Mkufuru kwa Sheria.
Waliishika sheria na Sabato kwa jazba kubwa. Walimheshimu sana sana Yakobo lakini walimhesabu Paulo kuwa 'Adui' (Mathayo 13:25-40) ( SOMA :'The dead sea Scrolls Uncoverd', kilichotajwa nyuma, uk 233 -34)
Sawa na maoni ya Baigent, Leigh na Lincoln katika 'The Messianic Legacy', chanzo cha mafundisho ya asili ya Waebioni, Wagnosi, Wamaniki, Wasabi, Wamandai, Wanestori na Waelkasi ndicho falsafa ya Kinazareti.
Hao wanaieleza fikara ya Kinazareti kuwa:
Kuelekea kwa Yesu na Mafundisho yake yaliyochukuliwa kutoka kwenye hali ya asili ya Nazareti yalivyoelezwa wazi wazi na Yesu
mwenyewe, kisha yakaenezwa na Yakobo, Jude au Judas Thomas na wafuasi wao wa mwanzoni'. Itikadi zao zilikuwa hizi:
1. Kushikamana sana na sheria ya Musa.
2. Kumtambua Yesu kuwa Masihi.
3. Kuamini kuzaliwa kwa Yesu kwa njia ya kawaida ya kibinadamu.
4. Ukinzani kwa maoni ya Paulo.
Kuna miswada mingi ya Kiarabu iliyowekwa katika maktaba ya Istanbul ambayo ndani yake kuna maneno yaliyonakiliwa kutoka katika matini ya karne ya 5 au 6, yalionasibishwa kwa 'al-nasara'.
Miswada hiyo imeandikwa katika lugha ya kishamu na ilipatikana katika nyumba ya Watawa huko Khuzistan katika kusini- magharibi ya Iran karibu na mpaka wa Iraq.
Hiyo inaeleza jamii ya mapadre wa Nazareti kutorokea Jerusalem baada ya maangamio ya mwaka 66 AD. Hiyo miswada inamtaja Yesu kuwa binadamu na inakazania sheria ya Kiyahudi kufuatwa.
Wafuasi wa Paulo waliachana na dini ya Kristo na wakaelekea kwenye itikadi za kidini za Warumi'.( SOMA: The Messianic Legacy', M. Baigent, R. Leigh, H. L:incoln, k 135 - 138 (Corgi Books)
Miongoni mwa itikadi mbali mbali zilizojitokeza katika kipindi ambamo Ukristo ulikuwa unafanyika, itikadi za wale tu zinaweza
kuthaminiwa walioamini falsafa ya Kinazareti.
Wakristo hao wa kale walifundishwa Ukristo na Yesu mwenyewe.