Sio kiislamu silamu huo ndio utaratibu wa Mungu kila mtu atapata stahiki yake kwa MATENDO yake,
[emoji116] [emoji116] [emoji115] [emoji116]
Sawa sijakubishia utavuna Ulicho panda! Ref; allah kwa kinywa cha baba fatuma anapo waagiza kina masudi [emoji117]
usipo tekeleza hilo agizo la Mauaji ya Kimbari UTAKUWA UMEFANYA UBAYA AU WEMA [emoji351] [emoji350] NIJIBU HAPO KWANZA HALAFU NIKUELIMISHE KWA UZURI
wewe badala ya kusoma vitu vya maana umekomaa na nyaraka za wagalatia ahahahaahaahahqhhqqjajaqjjjqj
YEREMIA 17:10
" Mimi , Bwana, nachunguza moyo, navijaribu viuno, hata kumpa kila mtu kiasi cha njia zake, kiasi cha matunda ya MATENDO yake ";
ahahahahahhahahhaha sasa wewe kaa hapo Yesu kanikomboa bureeee kabisa wewe