Asante kututhibitishia kuwa ALLAH ni MUHAMMAD.mwenyewe na ndio maana akidhihakiwa mnaua mtu, kisa mungu wenu katajwa.
Nikuulize Jambo moja - Kwanini Mud ana majina sawa na Allah ? wote wana majina 99, WHY????
Unatoa mifano na inakuumbua, mwenyewe unaona umepatia. Donkey is always a Donkey not the other way!!
Umajiuliza/Umemuuliza aliyekupa andiko hili (YOHANA 8:48-49) kwanini walimwita Msamaria na ana Pepo?
Kamuulize tena.
Yesu katuhumiwa kuwa na pepo na majibu ametoa mwenyewe.Sasa Mtumwa wa Shetani anatuhumiwa mwizi wa CHUPI( naamini ilikuwa G-String), anatetewa na ALLAH? Why? halafu unajiita mbobezi.
Hakuna niliposema nataka jina. Swali ni kwanini ALLAH hakuwaonyesha aliyeiba KIPWINTO cha Velvet?
Haya angalia umbweha wako. Kumbe ni quran ndio imeandika. Sasa mbna andiko lako halisemi kuwa ni mtoto wa zinaa?
Kwa akili zako zote ulizotumia kujibu, neno AJABU ni sawa na ZINAA? ndio ilmu ya msikitini hiyo?
Rudi tena kwa aliyekukaririsha ukamwambie tena, kwanini amekupa maandiko ya bibilia yanayokudhalilisha?
Tembea nayo hii tuonane Jumatatu tukubatize.
Ahahahahaahahaahaha Mohammed ni mtume tu aya zipo nyingi , maswali mengine ni kuonyesha umekosa la kuuliza,
1. Mohammed ameitwa mwizi na watu, Mungu kaingilia kati , kawakataza wasimuhusishe Mohamadi na tabia za wizi, baada ya hapo hakuna aliethubutu kumuita Mohamadi mwizi , wewe unalazimisha Mungu awataje majina , nimekujibu Quran haina ulazima wa kutaja majina kwasababu ni amri ya watu wote, hilo katazo limekuja kukataza watu wote sio hao tu walimuita kwa kipinde kile, hata watakaokuja badae wajue hivyo Mohamadi ametakasika na sifa za wizi
2.Nimekutolea mfano wayahudi wanamuita Yesu ana mapepo , unitajie majina umeruka Ahahhahahaahaaahah
YOHANA 8:48-49
48;" Wayahudi wakajibu wakamwambia , je sisi hatusemi vema ya kwamba wewe U msamaria , Nawe una pepo?
49", Yesu akajibu , mimi sina pepo; lakini mimi namuheshimu Baba yangu, nanyi mwanivunjia heshima";
Ahahahahaahahaahaha Yesu analalamika anavunjiwa heshima kwanini Mungu asiingilie kat Yesu anavunjiwa heshima?
akaendelea kujitetea lakini wayahudi walimuelewa ?.
HAPANA , Yesu kila akizidi kuongea wayahudi wanaona huyu kweli amejaa mapepo
YOHANA 8:52
"; Basi wayahudi wakamwambia , sasa TUMENG'AMUA ya kuwa una PEPO. Ibrahim amekufa , na manabii wamekufa ; nawe wasema ,mtu akilishika neno langu, hataonja mauti milele.
Ahahahahaahahaahaha kwanini Mungu akuingilia wayahudi wana uhakika sasa Yesu ana mapepo Ahahahahhaah
BASI wayahudi awakumuelewa Yesu wala Mungu akuingilia , mwisho wakaamua wampige MAWE
YOHANA 8:59
"; Basi wakaokota mawe ili wamtupie; lakini Yesu akajificha akatoka hekaluni
SUMMARY
1.Mohammed kaitwa mwizi , Mungu kaingilia hawajamuita tena
2.Yesu kaambiwa ana mapepo,Mungu ajaingilia ameishia kutaka kupigwa mawe akajificha akakimbia
Ahahahahaahahaahaha Mungu akiingilia jambo uzushi upotea ahahhaahhaahahahah Ahahhahahaahaaahah