Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Asante kututhibitishia kuwa ALLAH ni MUHAMMAD.mwenyewe na ndio maana akidhihakiwa mnaua mtu, kisa mungu wenu katajwa.
Nikuulize Jambo moja - Kwanini Mud ana majina sawa na Allah ? wote wana majina 99, WHY????

Unatoa mifano na inakuumbua, mwenyewe unaona umepatia. Donkey is always a Donkey not the other way!!
Umajiuliza/Umemuuliza aliyekupa andiko hili (YOHANA 8:48-49) kwanini walimwita Msamaria na ana Pepo?
Kamuulize tena.
Yesu katuhumiwa kuwa na pepo na majibu ametoa mwenyewe.Sasa Mtumwa wa Shetani anatuhumiwa mwizi wa CHUPI( naamini ilikuwa G-String), anatetewa na ALLAH? Why? halafu unajiita mbobezi.
Hakuna niliposema nataka jina. Swali ni kwanini ALLAH hakuwaonyesha aliyeiba KIPWINTO cha Velvet?

Haya angalia umbweha wako. Kumbe ni quran ndio imeandika. Sasa mbna andiko lako halisemi kuwa ni mtoto wa zinaa?
Kwa akili zako zote ulizotumia kujibu, neno AJABU ni sawa na ZINAA? ndio ilmu ya msikitini hiyo?

Rudi tena kwa aliyekukaririsha ukamwambie tena, kwanini amekupa maandiko ya bibilia yanayokudhalilisha?
Tembea nayo hii tuonane Jumatatu tukubatize.

Usifanye jaziba kama unanyweshwa Kojo la punda wa Ezekiel 23; 20 .Unachanganya topic Mia Kwa post moja , umechanganyikiwa hata hujui unachokisema
 
Bwana Paulo ndiye aliyekuwa mtu wa kwanza katika agano jipya kuandika nyaraka zake kabla ya waandishi wengine wa agano jipya kuandika Injili zao na nyaraka zao.

Aidha, Biblia inaeleza pia kuwa Bwana Paulo alipokuwa akiandika nyaraka zake hizo alikuwa akiandikia dini yake ya Ukristo (ya mungu-mtu huyo na ibada zake).

Waandishi hao wa agano jipya ambao imeripotiwa kuwa nao pia waliuandikia Ukristo ambapo walianza rasmi kuandika Injili zao na nyaraka zao kuanzia miaka ya 36 hadi 45 baada ya Paulo kuandika na kusambaza nyaraka zake hizo (rejea Biblia ya Wakatoliki Imprimatur, Mihayo, 1967 Tabora, kwenye maelezo juu ya nyaraka za Paulo na kwenye maelezo ya Injili mbalimbali).

Kwa shuhuda hiyo, ni wazi kuwa waandishi hao nao pia walikuwa wakiiandikia dini ya Kikristo ya Paulo.

Kwa hali hiyo, imedhihirika kuwa baada ya Bwana Paulo kuzichukua imani na ibada za watu wa mataifa (au wapagani) na kuziandika kwenye nyaraka zake na kudai kuwa zinamhusu Yesu (a.s.) kazi ya pekee iliyofanywa na waandishi hao ni kusherehesha maneno hayo ya Paulo kama yalivyo kwenye nyaraka zake.

Kwa maantiki hiyo, sifa kuu mojawapo ya miungu-Zeu na Herme ya wapagani kwamba ni kufa, Bwana Paulo naye alifundisha kuwa mungu wake huyo (mungu-mtu) aliyemhubiri kuwa na desturi moja na miungu hiyo (ya wapagani) na kumwita "Yesu" kwamba naye vile vile anayo sifa hiyo (ya kufa), kwa kusema:

"Bali Mungu aonyesha pendo lake yeye mwenyewe kwetu sisi, kwa kuwa Kristo alikufa kwa ajili yetu, tulipokuwa tungali kwenye dhambi". (Warumi 5:8)

Hapa Bwana Paulo anafundisha wazi kuwa mungu wake huyo aliyemwita "Yesu" (Kristo) alikufa! Sambamba na mafundisho yake hayo, ili kuthibitisha kwamba waandishi wa Injili na nyaraka wa agano jipya kwamba mara nyingi walikuwa wakisherehesha nyaraka za Paulo, sifa hiyo (ya kufa) aliyonayo mungu huyo wa Paulo baadae nao waliishabikia ajabu, kwa kuandika kwa mapana na marefu; ambapo kila mwandishi aliandika kwa staili ya aina yake katika juhudi za kumpambia mungu wao huyo sifa yake hiyo (ya kufa), hali iliyoibua mgongano mkubwa kimasimulizi na kuwaacha wasomaji wasijue nani mkweli. (Tazama Injili ya Mathayo, Marko, Luka,Yohana na nyaraka za Petro, Yohana, Yakobo, Yuda na Ufunuo wa Yohana n.k.)

Na ndivyo hivyo hivyo waandishi hao walivyosheresha kwa unazi sifa ya kufufuka (ya miungu- Zeu na Herme) miaka michache baada ya 'mwalimu wao', Bwana Paulo kuandika katika nyaraka zake kwamba mungu wake huyo aliyemwita "Yesu" naye vile vile anayo sifa hiyo (ya kufufuka), kwa kusema:

"Mkumbukeni Yesu Kristo aliyefufuka katika wafu, wa uzao wa Daudi kama inenavyo Injili yangu". (2 Timotheo 2:8)

Kwa ufupi, haya ndio mafundisho ya Bwana Paulo yaliyo katika Injili yake yakiithibitisha sifa kuu nyingine ya kufufuka aliyonayo mungu wake huyo aliyemwita "Yesu", ambapo baadae waandishi wa agano jipya waliisherehesha kwa mapana na marefu. (Rejea Injili na nyaraka zao).

Sifa Kuu nyingine za Mungu huyo wa Paulo na Ukristo mwenye asili na desturi za miungu-watu ya wapagani, kwa uchache waandishi hao walizisherehesha katika Injili zao kama ifuatavyo:

Kuzaliwa na mwanamke (Tazama Luka 2:4-7)

Kuvikwa nguo ( Luka 2:6)

Kuona kiu (Yohana 19:28)

Kula na kunywa (Mathayo 11:19 na Yohana 4:7)

Kuvuliwa nguo (Mathayo 27:27-28)

Kupigwa (Mathayo 27:27-30)

Kulia machozi (Yohana 11:35)

Kuchoka (Yohana 4:6)

Kulala usingizi (Mathayo 8:23-24)

Kutokujua mambo yote (Mathayo 24:36)

Kuwa na ukoo (Mathayo 1:1)

Kwa uchache, hizi ndizo sifa kuu za mungu wa Paulo aliyemwita "Yesu" mwenye desturi ya kujigeuza kuwa mwanadamu sawa na miungu-Zeu na Herme inayoaminiwa na wapagani.

Prof Paulo kawashika mgongo wa ngisi hasa baada ya kuwapasha kisha kuachana na uislamu [emoji117]
IMG_20181103_173652_594.jpg
YAANI yale mambo ya kugonga kichwa ardhi, kata tatu, kukamuana ngama, kugoma kula mchana, eti kungonoka peponi, ku-update dhakari isisinyae, kupaka wanja na kutembea na baby care..........kayaona kama mavi [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] hata baba kasimu amempa poó Prof Paulo
IMG_20181030_125142_732.jpg
[emoji117]
IMG_20181103_174916_728.jpg
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji106] [emoji106]
 
Asante kututhibitishia kuwa ALLAH ni MUHAMMAD.mwenyewe na ndio maana akidhihakiwa mnaua mtu, kisa mungu wenu katajwa.
Nikuulize Jambo moja - Kwanini Mud ana majina sawa na Allah ? wote wana majina 99, WHY????

Unatoa mifano na inakuumbua, mwenyewe unaona umepatia. Donkey is always a Donkey not the other way!!
Umajiuliza/Umemuuliza aliyekupa andiko hili (YOHANA 8:48-49) kwanini walimwita Msamaria na ana Pepo?
Kamuulize tena.
Yesu katuhumiwa kuwa na pepo na majibu ametoa mwenyewe.Sasa Mtumwa wa Shetani anatuhumiwa mwizi wa CHUPI( naamini ilikuwa G-String), anatetewa na ALLAH? Why? halafu unajiita mbobezi.
Hakuna niliposema nataka jina. Swali ni kwanini ALLAH hakuwaonyesha aliyeiba KIPWINTO cha Velvet?

Haya angalia umbweha wako. Kumbe ni quran ndio imeandika. Sasa mbna andiko lako halisemi kuwa ni mtoto wa zinaa?
Kwa akili zako zote ulizotumia kujibu, neno AJABU ni sawa na ZINAA? ndio ilmu ya msikitini hiyo?

Rudi tena kwa aliyekukaririsha ukamwambie tena, kwanini amekupa maandiko ya bibilia yanayokudhalilisha?
Tembea nayo hii tuonane Jumatatu tukubatize.

Hii nimeidaka Thanks Mtumishi! Kumbe baba kasimu NDIE allah?! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Usifanye jaziba kama unanyweshwa Kojo la punda wa Ezekiel 23; 20 .Unachanganya topic Mia Kwa post moja , umechanganyikiwa hata hujui unachokisema

IMG_20181103_191536_448.jpg
fly-wings-camel-urine.jpg
[emoji33] [emoji33] [emoji33]
 
Bwana Paulo ndiye aliyekuwa mtu wa kwanza katika agano jipya kuandika nyaraka zake kabla ya waandishi wengine wa agano jipya kuandika Injili zao na nyaraka zao.

Aidha, Biblia inaeleza pia kuwa Bwana Paulo alipokuwa akiandika nyaraka zake hizo alikuwa akiandikia dini yake ya Ukristo (ya mungu-mtu huyo na ibada zake).

Waandishi hao wa agano jipya ambao imeripotiwa kuwa nao pia waliuandikia Ukristo ambapo walianza rasmi kuandika Injili zao na nyaraka zao kuanzia miaka ya 36 hadi 45 baada ya Paulo kuandika na kusambaza nyaraka zake hizo (rejea Biblia ya Wakatoliki Imprimatur, Mihayo, 1967 Tabora, kwenye maelezo juu ya nyaraka za Paulo na kwenye maelezo ya Injili mbalimbali).

Kwa shuhuda hiyo, ni wazi kuwa waandishi hao nao pia walikuwa wakiiandikia dini ya Kikristo ya Paulo.

Kwa hali hiyo, imedhihirika kuwa baada ya Bwana Paulo kuzichukua imani na ibada za watu wa mataifa (au wapagani) na kuziandika kwenye nyaraka zake na kudai kuwa zinamhusu Yesu (a.s.) kazi ya pekee iliyofanywa na waandishi hao ni kusherehesha maneno hayo ya Paulo kama yalivyo kwenye nyaraka zake.

Kwa maantiki hiyo, sifa kuu mojawapo ya miungu-Zeu na Herme ya wapagani kwamba ni kufa, Bwana Paulo naye alifundisha kuwa mungu wake huyo (mungu-mtu) aliyemhubiri kuwa na desturi moja na miungu hiyo (ya wapagani) na kumwita "Yesu" kwamba naye vile vile anayo sifa hiyo (ya kufa), kwa kusema:

"Bali Mungu aonyesha pendo lake yeye mwenyewe kwetu sisi, kwa kuwa Kristo alikufa kwa ajili yetu, tulipokuwa tungali kwenye dhambi". (Warumi 5:8)

Hapa Bwana Paulo anafundisha wazi kuwa mungu wake huyo aliyemwita "Yesu" (Kristo) alikufa! Sambamba na mafundisho yake hayo, ili kuthibitisha kwamba waandishi wa Injili na nyaraka wa agano jipya kwamba mara nyingi walikuwa wakisherehesha nyaraka za Paulo, sifa hiyo (ya kufa) aliyonayo mungu huyo wa Paulo baadae nao waliishabikia ajabu, kwa kuandika kwa mapana na marefu; ambapo kila mwandishi aliandika kwa staili ya aina yake katika juhudi za kumpambia mungu wao huyo sifa yake hiyo (ya kufa), hali iliyoibua mgongano mkubwa kimasimulizi na kuwaacha wasomaji wasijue nani mkweli. (Tazama Injili ya Mathayo, Marko, Luka,Yohana na nyaraka za Petro, Yohana, Yakobo, Yuda na Ufunuo wa Yohana n.k.)

Na ndivyo hivyo hivyo waandishi hao walivyosheresha kwa unazi sifa ya kufufuka (ya miungu- Zeu na Herme) miaka michache baada ya 'mwalimu wao', Bwana Paulo kuandika katika nyaraka zake kwamba mungu wake huyo aliyemwita "Yesu" naye vile vile anayo sifa hiyo (ya kufufuka), kwa kusema:

"Mkumbukeni Yesu Kristo aliyefufuka katika wafu, wa uzao wa Daudi kama inenavyo Injili yangu". (2 Timotheo 2:8)

Kwa ufupi, haya ndio mafundisho ya Bwana Paulo yaliyo katika Injili yake yakiithibitisha sifa kuu nyingine ya kufufuka aliyonayo mungu wake huyo aliyemwita "Yesu", ambapo baadae waandishi wa agano jipya waliisherehesha kwa mapana na marefu. (Rejea Injili na nyaraka zao).

Sifa Kuu nyingine za Mungu huyo wa Paulo na Ukristo mwenye asili na desturi za miungu-watu ya wapagani, kwa uchache waandishi hao walizisherehesha katika Injili zao kama ifuatavyo:

Kuzaliwa na mwanamke (Tazama Luka 2:4-7)

Kuvikwa nguo ( Luka 2:6)

Kuona kiu (Yohana 19:28)

Kula na kunywa (Mathayo 11:19 na Yohana 4:7)

Kuvuliwa nguo (Mathayo 27:27-28)

Kupigwa (Mathayo 27:27-30)

Kulia machozi (Yohana 11:35)

Kuchoka (Yohana 4:6)

Kulala usingizi (Mathayo 8:23-24)

Kutokujua mambo yote (Mathayo 24:36)

Kuwa na ukoo (Mathayo 1:1)

Kwa uchache, hizi ndizo sifa kuu za mungu wa Paulo aliyemwita "Yesu" mwenye desturi ya kujigeuza kuwa mwanadamu sawa na miungu-Zeu na Herme inayoaminiwa na wapagani.
Yohana 1:1
...Naff said

Philippians 1:19-26
Maana najua ya kuwa haya yatanigeukia kuwa WOKOVU WANGU, kwa sababu ya kuomba kwenu, na kuruzukiwa Roho wa Yesu Kristo;
kama vile nilivyotazamia sana, na kutumaini, kwamba sitaaibika kamwe, bali kwa uthabiti wote, kama sikuzote na sasa vivyo hivyo Kristo ataadhimishwa katika mwili wangu; ikiwa kwa maisha yangu, au ikiwa kwa mauti yangu. Kwa maana kwangu mimi KUISHI NI KRISTO , na KUFA NI FAIDA. Ila ikiwa kuishi katika mwili, kwangu mimi ni matunda ya kazi; basi nitakalolichagua silitambui. Ninasongwa katikati ya mambo mawili; ninatamani kwenda zangu nikae na Kristo maana ni vizuri zaidi sana; bali kudumu katika mwili kwahitajiwa zaidi kwa ajili yenu. Nami nikitumaini hayo, najua ya kuwa nitakaa na kudumu pamoja nanyi, ili mpate kuendelea na kufurahi katika imani; hata mzidi kuona fahari katika Kristo Yesu juu yangu kwa sababu ya kuwapo kwangu pamoja nanyi tena.
 
Assuming the translation is correct (which its not, the capital G should be small g, it should read the word was a god, satan is also called god in the Bible yet they give him a small g, but for Jesus a capital!) then what we have here is Jesus who is the word is called God, wow I guess Jesus is God then right?! No.

You see, my first question to the Christian is this, is this Jesus speaking?

The answer is no, this is NOT Jesus speaking!

This is supposedly the disciple John writing this here not Jesus!

So what we have is an interpretation of what one man thought!

Why cant Christians get us Jesus saying in the beginning the word was with God and the word was God, why didn’t Jesus ever say this?!

So Christians now want us to believe Jesus is God because of what a man said?

A man’s interpretation!

The Bible itself testifies that the disciples often miss-understood Jesus and didn’t understand him!

So John 1:1 does not prove anything, it is not Jesus speaking, and the Gospel of John itself shows Jesus is not God from the very words of Jesus himself!
 
Fichaga majinga jinga yako dogo [emoji12] nimewahi kukuuliza kwamba huyu anae APIA kwa aliye UMBA [emoji117]
IMG_20181030_112543_258.jpg
NANI [emoji350] [emoji344] nyumbani yako ya vioo unaanzisha mchezo WA kurushiana mawe [emoji15] [emoji33] [emoji33]
 
Fichaga majinga jinga yako dogo [emoji12] nimewahi kukuuliza kwamba huyu anae APIA kwa aliye UMBA [emoji117] View attachment 920741 NANI [emoji350] [emoji344] nyumbani yako ya vioo unaanzisha mchezo WA kurushiana mawe [emoji15] [emoji33] [emoji33]

MAJINGA JINGA YANGU NIKIYAFICHA NDIO YATAJIBU HII HOJA ???😛😛😛😛

JOHN 1:1

Assuming the translation is correct (which its not, the capital G should be small g, it should read the word was a god, satan is also called god in the Bible yet they give him a small g, but for Jesus a capital!) then what we have here is Jesus who is the word is called God, wow I guess Jesus is God then right?! No.

You see, my first question to the Christian is this, is this Jesus speaking?

The answer is no, this is NOT Jesus speaking!

This is supposedly the disciple John writing this here not Jesus!

So what we have is an interpretation of what one man thought!

Why cant Christians get us Jesus saying in the beginning the word was with God and the word was God, why didn’t Jesus ever say this?!

So Christians now want us to believe Jesus is God because of what a man said?

A man’s interpretation!

The Bible itself testifies that the disciples often miss-understood Jesus and didn’t understand him!

So John 1:1 does not prove anything, it is not Jesus speaking, and the Gospel of John itself shows Jesus is not God from the very words of Jesus himself!
 
(Read 1 Samuel 13:8-14)

Sauli alivunja maagizo aliyopewa na Nabii Samuel, see 1 Samuel 10:8.
Sauli akataka kutolea sadaka madhabahuni angali akitambua yeye sio Nabii wala kuhani anayestahili kufanya haya.
Hata anapoelezwa kosa lake. Bado anajenga sababu za kujisafisha. Bila kutubia kosa lake.

Sauli alikua autocratic kind of leader. Alitaka kua na mamlaka ya kiroho na kimwili wakati alikua ni mfalme tu.
Alifanya makosa mengi hasa kipindi cha mwaka wake wa pili.
Nabii Samuel akamnenea unabii kua Mungu ameufanya ufalme wake kua mfupi. Basi Samuel akamnenea unabii wa kuuondoa ufalme.
1Samuel 13:11-14

Sodoma na Gomorrha mungu alifutilia mbali uzao wa kiShetani katika uso wa dunia.
Samuel(1) 10:8 hapo hata ufalme Sauli hajapewa , unavuliwaje ufalme hata kupewa hajapewa?
(Read 1 Samuel 13:8-14)

Sauli alivunja maagizo aliyopewa na Nabii Samuel, see 1 Samuel 10:8.
Sauli akataka kutolea sadaka madhabahuni angali akitambua yeye sio Nabii wala kuhani anayestahili kufanya haya.
Hata anapoelezwa kosa lake. Bado anajenga sababu za kujisafisha. Bila kutubia kosa lake.

Sauli alikua autocratic kind of leader. Alitaka kua na mamlaka ya kiroho na kimwili wakati alikua ni mfalme tu.
Alifanya makosa mengi hasa kipindi cha mwaka wake wa pili.
Nabii Samuel akamnenea unabii kua Mungu ameufanya ufalme wake kua mfupi. Basi Samuel akamnenea unabii wa kuuondoa ufalme.
1Samuel 13:11-14

Sodoma na Gomorrha mungu alifutilia mbali uzao wa kiShetani katika uso wa dunia.
1 SAMUEL 10:8 hata ufalme SAUL hajapewa , 1 SAMUEL 13:11-14 ni kweli SAUL alitenda Upumbavu lakini HAKUVULIWA ufalme ila haliambiwa tu kuwa ufalme HAUTADUMU , swali liko pale pale wapi na kwakosa gani SAULI alivuliwa ufalme? nataka ulete vifungu humu usinipe kazi mara mbili ahahahajajaajajajajaj
 
Yohana 1:1
...Naff said

Philippians 1:19-26
Maana najua ya kuwa haya yatanigeukia kuwa WOKOVU WANGU, kwa sababu ya kuomba kwenu, na kuruzukiwa Roho wa Yesu Kristo;
kama vile nilivyotazamia sana, na kutumaini, kwamba sitaaibika kamwe, bali kwa uthabiti wote, kama sikuzote na sasa vivyo hivyo Kristo ataadhimishwa katika mwili wangu; ikiwa kwa maisha yangu, au ikiwa kwa mauti yangu. Kwa maana kwangu mimi KUISHI NI KRISTO , na KUFA NI FAIDA. Ila ikiwa kuishi katika mwili, kwangu mimi ni matunda ya kazi; basi nitakalolichagua silitambui. Ninasongwa katikati ya mambo mawili; ninatamani kwenda zangu nikae na Kristo maana ni vizuri zaidi sana; bali kudumu katika mwili kwahitajiwa zaidi kwa ajili yenu. Nami nikitumaini hayo, najua ya kuwa nitakaa na kudumu pamoja nanyi, ili mpate kuendelea na kufurahi katika imani; hata mzidi kuona fahari katika Kristo Yesu juu yangu kwa sababu ya kuwapo kwangu pamoja nanyi tena.

UMEKIMBIA HUKU ???

Paul here is admitting that he lied or that he might resort to lying for the sake of spreading GOD Almighty's Truth.

This is demonstrated in the following verses from Paul:

Philippians 1:15-18

15 It is true that some preach Christ out of envy and rivalry, but others out of goodwill.

16 The latter do so in love, knowing that I am put here for the defense of the gospel.

17 The former preach Christ out of selfish ambition, not sincerely, supposing that they can stir up trouble for me while I am in chains.

18 But what does it matter? The important thing is that in every way, whether from false motives or true, Christ is preached. And because of this I rejoice.

So if one practices sodomy in California, USA, and offers his rear end for sexual sale to be politically correct to the society that he is in, or one does illegal sex with the girls in town and goes to the bars and get drunk with the people, to get the attention of those people that he is living among so that he can preach to them whatever he wants to preach, then according to Paul, these "false motives" are still justified!

To Paul, the end literally justifies the means!
 
Yohana 1:1
...Naff said

Philippians 1:19-26
Maana najua ya kuwa haya yatanigeukia kuwa WOKOVU WANGU, kwa sababu ya kuomba kwenu, na kuruzukiwa Roho wa Yesu Kristo;
kama vile nilivyotazamia sana, na kutumaini, kwamba sitaaibika kamwe, bali kwa uthabiti wote, kama sikuzote na sasa vivyo hivyo Kristo ataadhimishwa katika mwili wangu; ikiwa kwa maisha yangu, au ikiwa kwa mauti yangu. Kwa maana kwangu mimi KUISHI NI KRISTO , na KUFA NI FAIDA. Ila ikiwa kuishi katika mwili, kwangu mimi ni matunda ya kazi; basi nitakalolichagua silitambui. Ninasongwa katikati ya mambo mawili; ninatamani kwenda zangu nikae na Kristo maana ni vizuri zaidi sana; bali kudumu katika mwili kwahitajiwa zaidi kwa ajili yenu. Nami nikitumaini hayo, najua ya kuwa nitakaa na kudumu pamoja nanyi, ili mpate kuendelea na kufurahi katika imani; hata mzidi kuona fahari katika Kristo Yesu juu yangu kwa sababu ya kuwapo kwangu pamoja nanyi tena.

USISAHAU NA HII, MTUME WENU PAULO HUYO HAKUJIFICHA ANASEMA

Warumi 3:7 Romans 3:7

Lakini, ikiwa kweli ya Mungu imezidi kudhihirisha utukufu wake kwa sababu ya uongo wangu, mbona mimi ningali nahukumiwa kuwa ni mwenye dhambi?
 
Nimekutaka utupe uelewa wako kwenye uandishi wa sentesi hiyo hiyo, hujaibu. umeng'ang'ani Paul alikufuru. Alikufuru wakati gani? Kwanini alilazimisha wafanye kufuru, na kina nani aliwalazimisha wakufuru sawa na yeye?

Swali wewe na Mudy(muislam wa kwanza kuslim akifuatiwa na Mkewe Khadija na kundi la ndugu zenu wa MAJINN) nani anajua zaidi kuhusu uislam??

Sasa tupe majibu, acha ubishani wa kulazimisha upumbavu wako hapa. Wasomaji wanataka kuona majibu ya kisomi.
Islam is a stupid Religion for Stupid Believers of it!!
Ahahahahaahahaahaha acha kutia huruma mdogo wangu
MSHTAKI ni Wayahudi
MSHTAKIWA ni Paulo
HAKIMU ni AGRIPA (mfalme)
MAHALI ni Yerusalem
baada ya Paulo kukamatwa na wayahudi walimpeleka kwa mfalme Agripa ili hukumu itoke, kama kawaida mfalme akataka kusikia utetezi wa PAULO
MATENDO YA MITUME 26:1
"Agripa akamwambia Paulo,una ruhusa kusema maneno yako. Ndipo Paulo akanyosha mkono wake AKAJITETEA";

Ahahahahaahahaahaha sasa Paulo alijitetea kitu gani alianza hivi bila kushurutishwa
MATENDO YA MITUME 26:9
"Kweli mimi mwenyewe naliona ndani ya nafsi yangu , kwamba yampasa kutenda mambo mengi YALIYOPINGANA na jina lake Yesu Mnazareti";

Ahahahahaahahaahaha mambo gani hayo yalikuwa yanapingana na Yesu , huyu mtakatifu wa kichina aliyafanya
MATENDO YA MITUME 26:11
Na mara nyingi katika masinagogi yote NALIWAADHIBU, nikawashurutisha KUKUFURU ; nikawaonea hasira kama mwenye wazimu , nikawaudhi hata katika miji ya ugenini";

Ahahahahaahahaahaha hivi ndivyo paulo alivyojitetea mbele ya mfalme Agripa kwamba ni mtu aliekufurisha watu sana , leo anajitangazia utume Ahahahahaahahaahaha ,na aliongea ukweli kwasababu wayahudi wanamjua ushenzi wake
MATENDO YA MITUME 16:4
"Kwa Maana wayahudi wote wanajua, maisha yangu tangu ujana , yaliyokuwa tangu mwanzo katika taifa langu huko Yerusalem ";

Ahahahahaahahaahaha watu wanamjua kuwa huyu ni mshenzi kitambo wewe unakataa nini? Ahahahahhaah
 
Asante kututhibitishia kuwa ALLAH ni MUHAMMAD.mwenyewe na ndio maana akidhihakiwa mnaua mtu, kisa mungu wenu katajwa.
Nikuulize Jambo moja - Kwanini Mud ana majina sawa na Allah ? wote wana majina 99, WHY????

Unatoa mifano na inakuumbua, mwenyewe unaona umepatia. Donkey is always a Donkey not the other way!!
Umajiuliza/Umemuuliza aliyekupa andiko hili (YOHANA 8:48-49) kwanini walimwita Msamaria na ana Pepo?
Kamuulize tena.
Yesu katuhumiwa kuwa na pepo na majibu ametoa mwenyewe.Sasa Mtumwa wa Shetani anatuhumiwa mwizi wa CHUPI( naamini ilikuwa G-String), anatetewa na ALLAH? Why? halafu unajiita mbobezi.
Hakuna niliposema nataka jina. Swali ni kwanini ALLAH hakuwaonyesha aliyeiba KIPWINTO cha Velvet?

Haya angalia umbweha wako. Kumbe ni quran ndio imeandika. Sasa mbna andiko lako halisemi kuwa ni mtoto wa zinaa?
Kwa akili zako zote ulizotumia kujibu, neno AJABU ni sawa na ZINAA? ndio ilmu ya msikitini hiyo?

Rudi tena kwa aliyekukaririsha ukamwambie tena, kwanini amekupa maandiko ya bibilia yanayokudhalilisha?
Tembea nayo hii tuonane Jumatatu tukubatize.

Ahahahahaahahaahaha Mohammed ni mtume tu aya zipo nyingi , maswali mengine ni kuonyesha umekosa la kuuliza,
1. Mohammed ameitwa mwizi na watu, Mungu kaingilia kati , kawakataza wasimuhusishe Mohamadi na tabia za wizi, baada ya hapo hakuna aliethubutu kumuita Mohamadi mwizi , wewe unalazimisha Mungu awataje majina , nimekujibu Quran haina ulazima wa kutaja majina kwasababu ni amri ya watu wote, hilo katazo limekuja kukataza watu wote sio hao tu walimuita kwa kipinde kile, hata watakaokuja badae wajue hivyo Mohamadi ametakasika na sifa za wizi

2.Nimekutolea mfano wayahudi wanamuita Yesu ana mapepo , unitajie majina umeruka Ahahhahahaahaaahah
YOHANA 8:48-49
48;" Wayahudi wakajibu wakamwambia , je sisi hatusemi vema ya kwamba wewe U msamaria , Nawe una pepo?
49", Yesu akajibu , mimi sina pepo; lakini mimi namuheshimu Baba yangu, nanyi mwanivunjia heshima";

Ahahahahaahahaahaha Yesu analalamika anavunjiwa heshima kwanini Mungu asiingilie kat Yesu anavunjiwa heshima?
akaendelea kujitetea lakini wayahudi walimuelewa ?.
HAPANA , Yesu kila akizidi kuongea wayahudi wanaona huyu kweli amejaa mapepo
YOHANA 8:52
"; Basi wayahudi wakamwambia , sasa TUMENG'AMUA ya kuwa una PEPO. Ibrahim amekufa , na manabii wamekufa ; nawe wasema ,mtu akilishika neno langu, hataonja mauti milele.
Ahahahahaahahaahaha kwanini Mungu akuingilia wayahudi wana uhakika sasa Yesu ana mapepo Ahahahahhaah
BASI wayahudi awakumuelewa Yesu wala Mungu akuingilia , mwisho wakaamua wampige MAWE
YOHANA 8:59
"; Basi wakaokota mawe ili wamtupie; lakini Yesu akajificha akatoka hekaluni

SUMMARY
1.Mohammed kaitwa mwizi , Mungu kaingilia hawajamuita tena
2.Yesu kaambiwa ana mapepo,Mungu ajaingilia ameishia kutaka kupigwa mawe akajificha akakimbia

Ahahahahaahahaahaha Mungu akiingilia jambo uzushi upotea ahahhaahhaahahahah Ahahhahahaahaaahah
 
Original copy na Photo copy ni sawa [emoji350] [emoji344] Ujuzi wangu wa kujua jema na baya ni mdogo sanaà, KULIKO UJUZI WA MUNGU WA KUJUA UBAYA MABAYA NA MEMA...[emoji106] Una bahati sana kukufundisha kuhusu Mungu Wangu..laa sivyo hiyo sisi ni Mfano WA MUNGU ningeishia kwenye Andiko bila mjadala kama hutaki shauri yako [emoji12]
Ahahahahaahahaahaha huna ubavu wa kujibu maswali una ruka ruka kama maharage ahahhaahhaahahahah Ahahhahahaahaaahah sasa hilo ndio jibu ahahahahahahhahajajjjajjajaja
 
Ukweli uko bayana [emoji117] View attachment 919958 dalili gani uanze kuhangaika kuitafuta [emoji350] [emoji344]
Ahahahahaahahaahaha sasa hii ni AYA au SUNA au nyaraka za WAKORINTHO ahahahahahhah ahahhaahhaahahahah bwana ukija hapa ujifunge kibwebwe , tupo humu watu tuliobobea, yaani hiyo takataka ndio ushahidi !!. bureeee kabisa wewe
 
USISAHAU NA HII, MTUME WENU PAULO HUYO HAKUJIFICHA ANASEMA

Warumi 3:7 Romans 3:7

Lakini, ikiwa kweli ya Mungu imezidi kudhihirisha utukufu wake kwa sababu ya uongo wangu, mbona mimi ningali nahukumiwa kuwa ni mwenye dhambi?
Out of context as usual. Huna jipya.
 
Hao walio kufuru na kufanya KEJELI na kuinajisi Maskani ya MUNGU MWENYEZI eti kuna kulana mivutu na mito ya gongo kisha walevi lazima wakojolee Maskani ya MUNGU MWENYEZI [emoji15] [emoji12] ona aliye wadanganya HADI mmeenda harjojo anavyo tamba Sasa [emoji117] View attachment 919950 [emoji15] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Ahahahahaahahaahaha hiyo aya mbona iko wazi au kiingereza ndio ujui? Ahahahahhaah ndio shetani ni mwenye haadi za uongo , lakini Allah ndio mwenye Ahadi za kweli. Na hii ni onyo kwenu wote ambao mnatenda uovu kisha mnasema ni shetani katupitia , mtaadhibiwa kwasababu shetani Mwenyewe mkosaji , vip umsikilize muovu ?, siku hiyo ni Allah tu ndio atakae unguruma
QURAN 22:56
"Ufalme wote siku hiyo utakuwa wa Mwenyezi Mungu . Atahukumu baina yao. Basi WALIOAMINI na WAKATENDA mema watakuwa katika Bustani zenye NEEMA";

Siku hiyo shetani na genge lake watakuwa huku
QURAN 22:57
"Na waliokufuru na kuzikanusha ishara zetu, basi hao watapata ADHABU ya kufedhehesha"

Ahahahahaahahaahaha kazi kwako mkimbie shetani ahahhaahhaahahahah
 
Damu ya Yesu ni Fundisho la Kiroho kama mbishi Tuambie humu Yesu alikuwa na damu kiasi gani ya kuwatosheleza kunywa Wafuasi wake toka zama hizo hadi Leo [emoji350] [emoji344] [emoji106] tunawashangaa nyinyi ktk ku-c&p Fundisho la kunywa damu ya Yesu, baba kesy akaja kimwili mwili kky na Kojo la ngamia [emoji15] [emoji12] sasa mkojo wa ngamia haugusi ardhi waislamu wanaukinga na kojo linauzwa kwa ml kwa kutibu mishipa na chango la ryahi...[emoji38] [emoji38] [emoji38]
Ahahahahaahahaahaha si ndio mmefundishwa kiroho mnywe dhabibu za dodoma , kuwa ndio mbadala wa damu ya Yesu, ahhhhhhhhhhhh sasa unashangaa kunywa damu ya Yesu mbona mnatangazia watu kwa damu ya Yesu dhambi zimefutwa Ahahahhaahahaahaha kwani dhambi ziko kiasi gani? mpuuzi wewe utabeba uzinzi wako mwenyewe ahhahahhahahahh
 
Out of context as usual. Huna jipya.

PAUL EXPOSED

Paul, the founder of Christianity, rejected the message of Jesus (and everything he stood for) while replacing the Gospel with his own distorted version.

The message of Jesus was pure and simple, the complete submission and surrender to God alone. He preached the religion of Islam; he fasted and prayed in the manner taught by the Prophets before him. He abstained from eating pork and drinking wine.

Paul rejected these laws and concocted his own religion, claiming “salvation comes through faith only” (sound familiar?) and not physical action or bodily prayer.
Hi
The Bible teaches the exact opposite, the stories of the Prophets teach us that salvation is attained through fasting, physical prayer, and righteous deeds, not just having faith, which is merely an article required in any organized religion.

Even so faith, if it hath not works, is dead,being alone. (James 2:17)

Was not Abraham our father justified by works, when he had offered Isaac his son upon the altar? Seest thou how faith wrought with his works, and by works was faith made perfect? (James 2:21-22)

Ye see then how that by works a man is justified, and not by faith only (2:24)

For as the body without the spirit is dead, so faith without works is dead also. (2:26)
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom