masoud mshahara
JF-Expert Member
- Mar 31, 2018
- 4,712
- 2,010
Wewe mbona unarudia rudia jambo lile lile ahahahaahahahqh umepagawaUmejitahiidi mwenyewe kuwa umejibu.
Kwanini alitaka kujiua? mbona hili hukujibu?
Are you sure, Waraqa alikuwa NEPHEW tu?
Are you sure, Muhammad alishapokea revelations kabla? Maana tunaona anakiri mwenyewe kuwa hakuwahi kupokea revelation mpaka alipoanza kuvaa nguo za kike!!
1. Kwanini alitaka kujiua
JIBU; hakuna sababu ya kutoa sababu kwa sababu tendo la kutaka kujiua alimuondolei mtu unabii , sasa kwanini tujadili kitu ambacho hakina madhara kwenye unabii wa Mohamadi huo ni upuuzi, labda uje unithibitishie kimaandiko kutoka kwenye biblia yako kuwa mtu akitamani kujiua unabii unakuwa umemtoka?
2. Are sure waraqa alikuwa Nephew
Jibu; wewe ni tatizo hadithi umezitoa mwenyewe na maelezo yako wazi halafu unaniuliza ujinga kabisa, kama umeishiwa maswali kakojoe ukalale dogo ahahahahahaahha au unatoa hadithi halafu usomi kabisa buree wewe
3.hiyo hadithi ya nguo za kike ni tafsiri zako tu , hilo ni tatizo lako mdogo wangu kama ulikuwa ujui mtume mpaka anakwenda kwa waraqa alikuwa ashaanza kupokea wahayi alipoambiwa SOMA hiyo tayari ni AYA , mpaka anakwenda kwa waraqa alikuwa ashaanza kupokea wahyi mpaka waraqa anakufa akaendelea kupokea wahyi, wewe uje utuambie waraqa alipokufa mkristo gani aliendelea kumfundisha mtume kama mnavyoambukizana ujinga huko makanisani kwenu Ahahhaahhahahahahahahha
