mgen
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 23,169
- 9,054
Ndivyo Yesu alivyofundisha hivyo ???
Ulikuwa Hujui eeh [emoji351] [emoji15] rejea kisa cha Petro alipo msembua kafir sikio [emoji351] [emoji4] Yesu alimwambia rejesha jambia lako kwenye ala kisha akaokota sikio akamrudishia [emoji106] jiulize sasa mbona hakumwambia TUPA hilo jambia [emoji351] [emoji4] jibu unalo [emoji4] Unakumbuka kisa cha Yesu kubidua meza za makafir kule hekaluni [emoji15] [emoji4] kama inafaa Hakuna shida kwangu kusembua kafir shingo Yesu akarudisha au kubidua meza za makafir [emoji117]
Sent using Jamii Forums mobile app