shehe afundishwe kutenganisha mambo ya ki imani na ya ki sayansi, mwanaume mzima unaamini Mtume Muhhamad alienda mbinguni kwa kupaa na farasi mwenye mabawa anayeitwa BURAQ
umewai kuona wapi farasi ana mabawa anapaa?
IMAGINE HUYU FARASI KWENYE PICHA NDIE ALIMBEBA MTUME KUMPELEKA MWEZINI
View attachment 3197347
Soma haya kwa kutaka kuelewa (iwapo unataka) ila usisome kwa lengo la kutaka kubishana na haina haja ya kukashifiana.
Miaka 1400 iliyopita, Mtume Muhammad saw alikuwa anawalingania dini watu ambao hawajahi hata kuwaza kama kutakuja kitu kinaitwa simu au pikipiki wachilia mbali spaceship za Nasa tunazozijua mimi na wewe.
Hivi unadhani angewaambia watu wa kipindi kile amekwenda kwenye space kwa kutumia rocket wangemuelewa? Ilibidi utumike mfano wa usafiri ambao akili zao zingeweza kucomprehend.
Mitume wote walipewa nguvu ya kuwa na miujiza. Tumeona yesu alikuwa akifufua watu, Mussa alitenganisha bahari kwa kutumia fimbo. Sasa na katika miujiza ya Muhammad mmojawapo ni kupelekwa mbinguni na Mungu. Elewa maana ya kupelekwa, sio aliamua tu kwenda akaenda.
Hiyo picha ya huyo Farasi iliyowekwa ni imagination tu za watu. Maana swali rahisi za kujiuliza kama waliweza kupata picha ya farasi aliyemtumia mbona picha ya mtume mwenyewe hakuna aliyeweza kuichora?
Na hao wanaodai mtume alikuwa anapenda watoto wadogo waombe kuelimishwa kwanza. Mke wa kwanza wa mtume alikuwa na miaka takriban 40. na hakuoa tena mpaka alivyofariki.
Hizi hapa chini ni baadhi ya aya katika Quran ambazo mtume alishushiwa miaka 1400 iliyopita na hatimaye science yetu ya mzungu tunayoiamini imekuja kuthibitisha miaka 500 hadi 600 baadae.
1. “Have those who disbelieved not considered that the heavens and the earth were a joined entity, and We separated them” (Quran, 21:30) - Hapa tunaongelea big bang theory
2. “And We made the sky a protected ceiling, but they, from its signs, are turning away” (Quran 21:32). It is a scientific fact that the sky, with all of its gasses, protects the earth and life that is present on it from the harmful rays of the sun and solar wind.
3 "We sent down Iron with its great inherent strength and its many benefits for humankind” (Quran 57:25). According to M. E. Walrath, iron is not natural to the earth. Scientists state that billions of years ago, the earth was struck by meteorites.
4. “And it is He who created the night and the day and the sun and the moon; all [heavenly bodies] in an orbit are swimming” (Quran, 21:33). Although it was only a widespread belief in the 20th century amongst the astronomers, today it is a well-established fact that the Sun, the Moon, and all the other bodies in the Universe are moving in an orbit and constantly moving.
5. “And the heaven We constructed with strength, and indeed, We are [its] expander” (Quran, 51:47). According to the prominent physicist Stephen Hawking in his book ‘A Brief History of Time’, “The discovery that the universe is expanding was one of the great intellectual revolutions of the 20th century
Nisikuchoshe kwa ujumbe mrefu ila sisi kama waislamu ni LAZIMA tumeamrishwa Kumuamini Yesu na Injili ni katika vitabu vya Mungu.
Peace