Mtume Muhammad ndio mwana sayansi wa mwanzo kwenda katika mwezi, Na sio Nail Armstrong kama watu wanavyosema , Wazungu ni waongo

Mtume Muhammad ndio mwana sayansi wa mwanzo kwenda katika mwezi, Na sio Nail Armstrong kama watu wanavyosema , Wazungu ni waongo

shehe afundishwe kutenganisha mambo ya ki imani na ya ki sayansi, mwanaume mzima unaamini Mtume Muhhamad alienda mbinguni kwa kupaa na farasi mwenye mabawa anayeitwa BURAQ

umewai kuona wapi farasi ana mabawa anapaa?

IMAGINE HUYU FARASI KWENYE PICHA NDIE ALIMBEBA MTUME KUMPELEKA MWEZINI

View attachment 3197347

Umeshatuambia imagine , ku imagine unaweza hata ku imagine umekuwa multi billionaire au ku imagine mtu anayekunya kama wewe na kutawazishwa mavi anakuwa mungu wako , zote hizo ni imaginations tu
😛😛😛
 
Soma haya kwa kutaka kuelewa (iwapo unataka) ila usisome kwa lengo la kutaka kubishana na haina haja ya kukashifiana.

Miaka 1400 iliyopita, Mtume Muhammad saw alikuwa anawalingania dini watu ambao hawajahi hata kuwaza kama kutakuja kitu kinaitwa simu au pikipiki wachilia mbali spaceship za Nasa tunazozijua mimi na wewe.

Hivi unadhani angewaambia watu wa kipindi kile amekwenda kwenye space kwa kutumia rocket wangemuelewa? Ilibidi utumike mfano wa usafiri ambao akili zao zingeweza kucomprehend.

Mitume wote walipewa nguvu ya kuwa na miujiza. Tumeona yesu alikuwa akifufua watu, Mussa alitenganisha bahari kwa kutumia fimbo. Sasa na katika miujiza ya Muhammad mmojawapo ni kupelekwa mbinguni na Mungu. Elewa maana ya kupelekwa, sio aliamua tu kwenda akaenda.

Hiyo picha ya huyo Farasi iliyowekwa ni imagination tu za watu. Maana swali rahisi za kujiuliza kama waliweza kupata picha ya farasi aliyemtumia mbona picha ya mtume mwenyewe hakuna aliyeweza kuichora?

Na hao wanaodai mtume alikuwa anapenda watoto wadogo waombe kuelimishwa kwanza. Mke wa kwanza wa mtume alikuwa na miaka takriban 40. na hakuoa tena mpaka alivyofariki.

Hizi hapa chini ni baadhi ya aya katika Quran ambazo mtume alishushiwa miaka 1400 iliyopita na hatimaye science yetu ya mzungu tunayoiamini imekuja kuthibitisha miaka 500 hadi 600 baadae.

1. “Have those who disbelieved not considered that the heavens and the earth were a joined entity, and We separated them” (Quran, 21:30) - Hapa tunaongelea big bang theory

2. “And We made the sky a protected ceiling, but they, from its signs, are turning away” (Quran 21:32). It is a scientific fact that the sky, with all of its gasses, protects the earth and life that is present on it from the harmful rays of the sun and solar wind.

3 "We sent down Iron with its great inherent strength and its many benefits for humankind” (Quran 57:25). According to M. E. Walrath, iron is not natural to the earth. Scientists state that billions of years ago, the earth was struck by meteorites.

4. “And it is He who created the night and the day and the sun and the moon; all [heavenly bodies] in an orbit are swimming” (Quran, 21:33). Although it was only a widespread belief in the 20th century amongst the astronomers, today it is a well-established fact that the Sun, the Moon, and all the other bodies in the Universe are moving in an orbit and constantly moving.

5. “And the heaven We constructed with strength, and indeed, We are [its] expander” (Quran, 51:47). According to the prominent physicist Stephen Hawking in his book ‘A Brief History of Time’, “The discovery that the universe is expanding was one of the great intellectual revolutions of the 20th century

Nisikuchoshe kwa ujumbe mrefu ila sisi kama waislamu ni LAZIMA tumeamrishwa Kumuamini Yesu na Injili ni katika vitabu vya Mungu.

Peace
Muhammad usimuweke kundi moja na mitume wakiyahudi ni tofauti kabisa

Muhammad ana mafundisho tofauti kabisa

Ni utovu wa nidhamu kumuweka Muhammad kundi moja na mitume na manabii wakutoka Israel

Ni uhaini kumuweka kundi moja na Yesu kristo
 
shehe afundishwe kutenganisha mambo ya ki imani na ya ki sayansi, mwanaume mzima unaamini Mtume Muhhamad alienda mbinguni kwa kupaa na farasi mwenye mabawa anayeitwa BURAQ

umewai kuona wapi farasi ana mabawa anapaa?

IMAGINE HUYU FARASI KWENYE PICHA NDIE ALIMBEBA MTUME KUMPELEKA MWEZINI

View attachment 3197347
Hii ni picha ya jitihada ya kufikirika. Kiuhakika hayupo hivyo!

Mtume alipelekwa na mnyama anayeitwa Buraq kama jina liliandikwa juu ya hiyo picha kwa huyo mnyama.

Buraq limetokana na Barqu.

Barqu ni ule umeme unaopiga siku ya mvua nyingi pamoja na radi.

Kwenue Qur'an inasema: "wa raadu wabarqun......."

Yaani radi na barqu(umeme unaopiga na kuwaka pamoja na radi).

Ile kasi ya umeme inavypiga na ule mwanga unavyosafiri kwa ile kasi hususani usiku unaonekana vizuri, ile ndiyo inaitwa Barqu.

Yule mnyama anaitwa Buraq kutokana na kasi yake anayokimbia ni kama kasi ya umeme wa radi unavyochapa siku mvua ikinyesha (usiku huwa unaonekana vizuri sana).

Na hujakosea ni masuala ya kiimani. Na alikuwa na mabawa.
 
Mtume Muhammad ndio mwana sayansi wa mwanzo kwenda katika mwezi na akaenda mpaka mbingu ya mwisho katika safari yake ya israa na miraj.​

View attachment 3197332

TAZAMA VIDEO SHEHE ANAFUNDISHA MSIKITINI KWAMBA MTUME MUHHAMAD NDIE MWANASAYANSI WA KWANZA AMBAYE ALIANZA KUFIKA MWEZINI KABLA YA NAIL AMSTRONG

View attachment 3197342
Naskia kwenye Moja ya hadithi zake aliwahi kusema ikifika jion jua linazama matopeni
 
Elia pia alipaa na farasi eti anaenda mbinguni 😁😁
Hii safari inaitwa Israa wal Miiraji.

Mtume Muhammad s.a.w hakupaa na huyu mnyama kwenda naye mbinguni.

Bali alitumia Miiraji.
Kuna njia unatumia unafupisha masafa. Kww mujibu wa uislam: Hizi sayari zote na galaxies zake ambazo tunazijua na tusizozijua zipo chini ya wingu wa kwanza ambao ni ulimwengu mwengine wenye kanuni na nidhamu tofauti na ulimwengu wetu.

Mtume Muhammad s.a.w anasema baina ya umbali ama masafa yalipo kati ya wingu wa kwanza na huu ulimwengu wetu mpaka kufikia sayari yetu ya dunia ni miaka takribani 500.

Mtume alitumia Miiraji ambayo inafupisha masafa baina ya ulimwengu wetu na ulimwengu mwengine mpaka wingu ya kwanza.

Yaani ni kama movie zile za star wars. Kuna mahali unapita unafupisha masafa kutoka galaxy moja kwenda galaxy nyengine.

Buraq alitumika kutoka masjidil haram ilal masjdil aqsa! Yaani kutoka Makka mpaka Jerusalem kwenye msikiti wa Al aqsa na buraq akaishia hapo.

Baada ya hapo ndipo akautumia Miiraj.
 
Hii safari inaitwa Misraa wal Miiraji.

Kiimani upo sawa mkuu wangu.
 
Alienda ku negotiate na Mungu kwamba idadi ya sala za waislamu ziwe sala tano kwa siku, maana mwanzo Mungu alitaka waislamu wasali sala 50 kwa siku
Katika uislamu mitume ambayo ilipewa mialiko kuelekea mbinguni ni wawili.

Wa kwanza ni Idris A.S maarufu kama Enoch.

Nabii Enoch alipatiwa siri nyingi na Mungu.

Mwengine ni Mtume Muhammad s.a.w. alipatiwa mwaliko na Mola wake, kuna hafla maalumu imeandaliwa kwa hiyo twende ukatembee huko.

Hafla ilihusiana na mambo mengi. Ila zawadi aliyopatiwa ni sala.

Sala ni kitu kikubwa katika dini ya kiislamu. Ni mazungumzo baina ya mja na Mola wake. Hivyo ukitaka kuzungumza na Mola wako zungumza naye kwenye sala.

Kwa imani ya kiislamu unaposali kana kwamba Mungu yupo mbele yako. Na unaposujudu Mungu yupo nawe karibu zaidi.

Awali walikuwa wanamfuata Mtume awaombee changamoto zao. Baada ya sala kupatiwa kwa Mtume hivyo ikawa ni fursa kwa waislamu kuzungumza na Mungu wao.

Na ndiyo maana katika sala za sunna ya haja ukiwa na shida na mazonge wakati wa kusujudu sijda ya mwisho zungumza na Mungu kwa lugha yoyote mwambie shida zako. Mungu anakuwa yupo karibu zaidi ya sana na mja wake kwenye sala.

Kwa muhtasari utukufu wa sala upo kwa namna hii kwa uislamu.
 
Mtume Muhammad ndio mwana sayansi wa mwanzo kwenda katika mwezi na akaenda mpaka mbingu ya mwisho katika safari yake ya israa na miraj.​

View attachment 3197332

TAZAMA VIDEO SHEHE ANAFUNDISHA MSIKITINI KWAMBA MTUME MUHHAMAD NDIE MWANASAYANSI WA KWANZA AMBAYE ALIANZA KUFIKA MWEZINI KABLA YA NAIL AMSTRONG

View attachment 3197342
We umejuaje kama ni kweli?
 
Classified information.
Haya bhana!
-----------
Najua hupendi malumbano ya kidini binafsi pia sipendi.

Napendelea zaidi kusoma, naamini ukiwa mwingi wa kusoma kuna mengi utajifunza.

Mingine huwa nayaacha kwa kuwa ni kutofautiana kifikra. Na kama mtu akiendelea kushika msimamo wake ambao si sahihi naamini muda ni mwalimu mzuri hivyo utarekebisha.

Huwa nalazimika kwenye mambo ya dini kwa sababu ni ya kiimani. Nahofia uelewa ambao si sahihi unaweza ukabebwa na pengine unaweza ikawa ni mojawapo ya sababu ya kuchochea chuki katika jamii.

Napenda jamii tuishi pamoja kwa amani, furaha na upendo. Na kuweza kustahamiliana kwamba hizi dini utofauti wetu usitufanye tuchukiane. Tunaweza tukawa tofauti na bado tukapendana. Mke na mume wanaweza wakawa wapo tofauti kwenye baadhi ya mambo na bado wakapendana.
 
Umenena vyema sana japo mimi sio muumini wa dini yoyote .
 
Umenena vyema sana japo mimi sio muumini wa dini yoyote .
Tuendelee kuifurahia Jf.

Na shukrani kubwa zimwendee aliyeanzisha huu mtandao kwa kutusaidia sis kama jamii kuweza kubadilishana mawazo.

Majukumu mema kiongozi.
 
Alienda ku negotiate na Mungu kwamba idadi ya sala za waislamu ziwe sala tano kwa siku, maana mwanzo Mungu alitaka waislamu wasali sala 50 kwa siku
Au alienda ku-comfirm kama kweli zile 72 zipo isiwe kasa.
 
Back
Top Bottom