Almendezz
Senior Member
- Aug 17, 2020
- 160
- 405
Hii ni fatwa au mtazamo wako kaka?Muhammad usimuweke kundi moja na mitume wakiyahudi ni tofauti kabisa
Muhammad ana mafundisho tofauti kabisa
Ni utovu wa nidhamu kumuweka Muhammad kundi moja na mitume na manabii wakutoka Israel
Ni uhaini kumuweka kundi moja na Yesu kristo
Mitume wote wapo kundi moja na wote wamepewa ujumbe mmoja unaosema kujisalimisha kwa mungu (uislamu) walichopishana ni kuzidiana kwa darja.
Hata katika mitume 5 watukufu zaidi kuliko wenzao (ulul azm) Yupo Yesu (Issa a.s)na Musa a.s na wote haya walitumwa kwa mayahudi.
Mungu atuongoze mimi na wewe.