Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Acha upumbavu.Mtume Muhammad ndio mwana sayansi wa mwanzo kwenda katika mwezi na akaenda mpaka mbingu ya mwisho katika safari yake ya israa na miraj.
View attachment 3197332
SHEHE ANAFUNDISHA MSIKITINI KWAMBA MTUME MUHHAMAD NDIE ALIANZA KUFIKA MWEZINI KABLA YA NAIL AMSTRONG
View attachment 3197342
Mjinga ww unaeamin mafuta ya mwaposaMashehe wanakuwaga na ujinga sana
shehe afundishwe kutenganisha mambo ya ki imani na ya ki sayansi, mwanaume mzima unaamini Mtume Muhhamad alienda mbinguni kwa kupaa na farasi mwenye mabawa anayeitwa BURAQ
umewai kuona wapi farasi ana mabawa anapaa?
IMAGINE HUYU FARASI KWENYE PICHA NDIE ALIMBEBA MTUME KUMPELEKA MWEZINI
View attachment 3197347
Muhammad usimuweke kundi moja na mitume wakiyahudi ni tofauti kabisaSoma haya kwa kutaka kuelewa (iwapo unataka) ila usisome kwa lengo la kutaka kubishana na haina haja ya kukashifiana.
Miaka 1400 iliyopita, Mtume Muhammad saw alikuwa anawalingania dini watu ambao hawajahi hata kuwaza kama kutakuja kitu kinaitwa simu au pikipiki wachilia mbali spaceship za Nasa tunazozijua mimi na wewe.
Hivi unadhani angewaambia watu wa kipindi kile amekwenda kwenye space kwa kutumia rocket wangemuelewa? Ilibidi utumike mfano wa usafiri ambao akili zao zingeweza kucomprehend.
Mitume wote walipewa nguvu ya kuwa na miujiza. Tumeona yesu alikuwa akifufua watu, Mussa alitenganisha bahari kwa kutumia fimbo. Sasa na katika miujiza ya Muhammad mmojawapo ni kupelekwa mbinguni na Mungu. Elewa maana ya kupelekwa, sio aliamua tu kwenda akaenda.
Hiyo picha ya huyo Farasi iliyowekwa ni imagination tu za watu. Maana swali rahisi za kujiuliza kama waliweza kupata picha ya farasi aliyemtumia mbona picha ya mtume mwenyewe hakuna aliyeweza kuichora?
Na hao wanaodai mtume alikuwa anapenda watoto wadogo waombe kuelimishwa kwanza. Mke wa kwanza wa mtume alikuwa na miaka takriban 40. na hakuoa tena mpaka alivyofariki.
Hizi hapa chini ni baadhi ya aya katika Quran ambazo mtume alishushiwa miaka 1400 iliyopita na hatimaye science yetu ya mzungu tunayoiamini imekuja kuthibitisha miaka 500 hadi 600 baadae.
1. “Have those who disbelieved not considered that the heavens and the earth were a joined entity, and We separated them” (Quran, 21:30) - Hapa tunaongelea big bang theory
2. “And We made the sky a protected ceiling, but they, from its signs, are turning away” (Quran 21:32). It is a scientific fact that the sky, with all of its gasses, protects the earth and life that is present on it from the harmful rays of the sun and solar wind.
3 "We sent down Iron with its great inherent strength and its many benefits for humankind” (Quran 57:25). According to M. E. Walrath, iron is not natural to the earth. Scientists state that billions of years ago, the earth was struck by meteorites.
4. “And it is He who created the night and the day and the sun and the moon; all [heavenly bodies] in an orbit are swimming” (Quran, 21:33). Although it was only a widespread belief in the 20th century amongst the astronomers, today it is a well-established fact that the Sun, the Moon, and all the other bodies in the Universe are moving in an orbit and constantly moving.
5. “And the heaven We constructed with strength, and indeed, We are [its] expander” (Quran, 51:47). According to the prominent physicist Stephen Hawking in his book ‘A Brief History of Time’, “The discovery that the universe is expanding was one of the great intellectual revolutions of the 20th century
Nisikuchoshe kwa ujumbe mrefu ila sisi kama waislamu ni LAZIMA tumeamrishwa Kumuamini Yesu na Injili ni katika vitabu vya Mungu.
Peace
Hata masheikh wanauza mafuta siku hizi kama mwamposaMjinga ww unaeamin mafuta ya mwaposa
Hii ni picha ya jitihada ya kufikirika. Kiuhakika hayupo hivyo!shehe afundishwe kutenganisha mambo ya ki imani na ya ki sayansi, mwanaume mzima unaamini Mtume Muhhamad alienda mbinguni kwa kupaa na farasi mwenye mabawa anayeitwa BURAQ
umewai kuona wapi farasi ana mabawa anapaa?
IMAGINE HUYU FARASI KWENYE PICHA NDIE ALIMBEBA MTUME KUMPELEKA MWEZINI
View attachment 3197347
Naskia kwenye Moja ya hadithi zake aliwahi kusema ikifika jion jua linazama matopeniMtume Muhammad ndio mwana sayansi wa mwanzo kwenda katika mwezi na akaenda mpaka mbingu ya mwisho katika safari yake ya israa na miraj.
View attachment 3197332
TAZAMA VIDEO SHEHE ANAFUNDISHA MSIKITINI KWAMBA MTUME MUHHAMAD NDIE MWANASAYANSI WA KWANZA AMBAYE ALIANZA KUFIKA MWEZINI KABLA YA NAIL AMSTRONG
View attachment 3197342
Hii safari inaitwa Israa wal Miiraji.Elia pia alipaa na farasi eti anaenda mbinguni 😁😁
Kiimani upo sawa mkuu wangu.Hii safari inaitwa Misraa wal Miiraji.
Mtume Muhammad s.a.w hakupaa na huyu mnyama kwenda naye mbinguni.
Bali alitumia Miiraji.
Kuna njia unatumia unafupisha masafa. Kww mujibu wa uislam: Hizi sayari zote na galaxies zake ambazo tunazijua na tusizozijua zipo chini ya wingu wa kwanza ambao ni ulimwengu mwengine wenye kanuni na nidhamu tofauti na ulimwengu wetu.
Mtume Muhammad s.a.w anasema baina ya umbali ama masafa yalipo kati ya wingu wa kwanza na huu ulimwengu wetu mpaka kufikia sayari yetu ya dunia ni miaka takribani 500.
Mtume alitumia Miiraji ambayo inafupisha masafa baina ya ulimwengu wetu na ulimwengu mwengine mpaka wingu ya kwanza.
Yaani ni kama movie zile za star wars. Kuna mahali unapita unafupisha masafa kutoka galaxy moja kwenda galaxy nyengine.
Buraq alitumika kutoka masjidil haram ilal masjdil aqsa! Yaani kutoka Makka mpaka Jerusalem kwenye msikiti wa Al aqsa na buraq akaishia hapo.
Baada ya hapo ndipo akautumia Miiraj.
Katika uislamu mitume ambayo ilipewa mialiko kuelekea mbinguni ni wawili.Alienda ku negotiate na Mungu kwamba idadi ya sala za waislamu ziwe sala tano kwa siku, maana mwanzo Mungu alitaka waislamu wasali sala 50 kwa siku
We umejuaje kama ni kweli?Mtume Muhammad ndio mwana sayansi wa mwanzo kwenda katika mwezi na akaenda mpaka mbingu ya mwisho katika safari yake ya israa na miraj.
View attachment 3197332
TAZAMA VIDEO SHEHE ANAFUNDISHA MSIKITINI KWAMBA MTUME MUHHAMAD NDIE MWANASAYANSI WA KWANZA AMBAYE ALIANZA KUFIKA MWEZINI KABLA YA NAIL AMSTRONG
View attachment 3197342
Swali la kizushi!Kiimani upo sawa mkuu wangu.
Classified information.Swali la kizushi!
Upo likizo ama umestaafu? Ama unafanyaje?
Inawezekana vipi mtu akidondosha comment tu na hapo hapo unadondosha like?
Haya bhana!Classified information.
Umenena vyema sana japo mimi sio muumini wa dini yoyote .Haya bhana!
-----------
Najua hupendi malumbano ya kidini binafsi pia sipendi.
Napendelea zaidi kusoma, naamini ukiwa mwingi wa kusoma kuna mengi utajifunza.
Mingine huwa nayaacha kwa kuwa ni kutofautiana kifikra. Na kama mtu akiendelea kushika msimamo wake ambao si sahihi naamini muda ni mwalimu mzuri hivyo utarekebisha.
Huwa nalazimika kwenye mambo ya dini kwa sababu ni ya kiimani. Nahofia uelewa ambao si sahihi unaweza ukabebwa na pengine unaweza ikawa ni mojawapo ya sababu ya kuchochea chuki katika jamii.
Napenda jamii tuishi pamoja kwa amani, furaha na upendo. Na kuweza kustahamiliana kwamba hizi dini utofauti wetu usitufanye tuchukiane. Tunaweza tukawa tofauti na bado tukapendana. Mke na mume wanaweza wakawa wapo tofauti kwenye baadhi ya mambo na bado wakapendana.
Tuendelee kuifurahia Jf.Umenena vyema sana japo mimi sio muumini wa dini yoyote .
Au alienda ku-comfirm kama kweli zile 72 zipo isiwe kasa.Alienda ku negotiate na Mungu kwamba idadi ya sala za waislamu ziwe sala tano kwa siku, maana mwanzo Mungu alitaka waislamu wasali sala 50 kwa siku