Tetesi: Mtume Mwamposa anakusanya zaidi ya Jumla Million 50 kwa ibada zote kwenye wiki 1

 

Attachments

  • IMG-20230505-WA0001.jpg
    59.4 KB · Views: 8
Hizo ni income,
Expenses anazo incur ni kiasi gani? Mfano
Umeme,
Wasaidizi wake,
Ukumbi wa kanisa,
Wale waigizaji wanaojifanya kupona,
Watengeneza maji ya upako,
Watengeneza Lesso za Upako,
Watengeneza mafuta ya upako,
Etc.

Anyway, still he is earning a lot. Hizo expenses hapo juu won't account even 20% of what is earning.
 
Kwa million 50 bado pesa nyingi anapata
 
pamoja na kwamba anauza mafuta na maji, na haina kodi wala nini, inaenda mfukoni mwake.
 

MUOMBE NDUGU YAKO ATULETEE MATUMIZI YA KI-IBADA YA WIKI NZIMA Ikiwa ni pamoja na
~Bills za maji, umeme, taka kavu na maji taka
~Support au Matumizi ya wasaidizi wake kwa wiki
~Gharama za kuendesha media ikiwa ni pamoja na mishahara
~Gharama ya vifaa vya kuendeshea ibada
~Kodi ya pango ya eneo la ibada
~Gharama za usafiri
~Gharama kurusha matangazo kule tcra na kwingine
~Kodi au malipo ya serikali n.k.
 
Ni muda wake!

Muacheni apige pesa maana huu utume nadhani hua unaendana na nyota. Ikizimika atakuja mwingine nae atapiga ela kwa style nyingine.

Kuna yule ka-tortoise hasikiki kabisa siku hizi.
 

Wewe ni zombie wake tu
 

na haifiki even 30% ya hiyo hela.

The guy is earning more than 3 billion a year

Kwahyo mazombie yanapigwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…