Tetesi: Mtume Mwamposa anakusanya zaidi ya Jumla Million 50 kwa ibada zote kwenye wiki 1

Makanisa haya ya "upako"hushamili sana kwenye unmaskini na ufukara,
Ukikuta sehwmu wananchi ni maskini sana,hapo huwa chaka Zuri la kuibuka kwa makanisa haya ya uponyaji,
Huna elimu,kipato duni,maisha magumu,kitu pekee cha kukupa matumaini ni kwenda kanisani,na kutiwa moyo,kwamba ukitoa zaidi(ambacho huna),Mungu atakubariki zaidi,utakuwa bilionea kama bakheresa.
Hawa maskini wanaosali kwa mwmposa,ukitaka kujua hari zao kiuchumi na kimaisha,wakute ndio wametoka,ibadsni,wanatembea kwa miguu km kadhaa kutafuta usafiri,
Kitu wasichokijua,hata wakeshe saa 24,wiki nzima,kuomba tu,hakubadilishi hari zao za kiuchumi,
Pale kanisani kwao,kuna majengo apartment zinajengwa,sasa zikiisha,tuone hawa wanaoombewa kila siku kama wataweza hata kupanga flemu za bisshara,
Umaskini unavyokuwa mwingi,ndio makanisa yanazidi kushamili!!!
Wizi mtupu,Dubai,South Korea,China,hv kuna makanisa?je ukuaji wao umetokana na kukesha makanisani?kwanini haya Mazombi hayajifunzi?
 
Ukute wewe unapeleke MBUZI na Kuku kwa waganga wa kienyeji
 

Sawa ngoja nikache maana sijaelewa kitu
 
K
Kikubwa aanze kulipa kodi
 
Sahihi
 

Nawewe si utumie ujanja wako kupata pesa,acha wivuvwa kike. [emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…