kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
inahudumia masikini ?Kwani hotel inatoa msaada??
Huoni kwamba shule inaweza somesha masikini Bure na kuisaidia jamii kwanamna Moja ama nyingine ,hata kama ada italipwa lakini kwakiwango fulani nafuu ,unaonaje
Chukulia ,kama sant Alfa pale nanenane na kihonda kule azimio au tosamaganga and nk