Mtume Mwamposa 'Buludoza' popote pale ulipo, tafadhali nijibu haya maswali yangu muhimu sana kwako

wala uspanic kwani mijadala kama hii huwa inakufungua akili na kujua mengi,mtu mpka anauliza kitu kama hicho ujue kuna reason behind ambayo yeye kama yeye huenda ameigundua au itafahamika kupitia weng

Na mwambie ukiniona hadi GENTAMYCINE " Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer " kahoji hivi jua kuna Tatizo Kubwa.
 
No nne nimecheeeeka huyo mkubwa wao mwenyewe msanii
 
Hyo number 6 ndo huwa anahubiri mda wote, hafu anadanganya watu wanunue maji na mafuta umaskini uwatoke, badala awaambie wafanye kazi kwa bidii. Injili ya Hawa manabii Ni utapeli mtupu hawafundishi neno wao Ni miujiza fake tu.
 
Hivi Mkuu mapema sana niliposema kuwa 99.99% ya Waumini wake hawajui Kujenga Hoja na hata tu 'IQ's' zao ni ndogo hukuniamini? Umekiona?
 
Mleta hoja, acha mwamposa awalambe hawa manyumbu!
wanakwenda wenyewe! hata utapeli wa huyu mtu wameshindwa kuujua kwa kuwa akili zao hazina akili!
Labda wapate msaada wa 'matibabu ya akili' watashtuka tofauti na hapo acha waliwe hadi washike adabu!

Mkuu haiwezakani kabisa Mwanamke anakesha Kanisani hadi Usiku kisha akitoka tu nje akikutana na akina GENTAMYCINE akitongozwa analiwa tu.
 
Halafu bulldoza huwala wanakondoo Kama gwajima, mkewe alishamkimbia kitambo
 
Hyo number 6 ndo huwa anahubiri mda wote, hafu anadanganya watu wanunue maji na mafuta umaskini uwatoke, badala awaambie wafanye kazi kwa bidii. Injili ya Hawa manabii Ni utapeli mtupu hawafundishi neno wao Ni miujiza fake tu.

Mkuu nilikita Kambi hapo hasa kufanya 'Utafiti' wangu binafsi wa haya Makanisa ya Kiroho na Wachungaji wao niliyokutana nayo Mola ndiye ajuae.
 
Halafu bulldoza huwala wanakondoo Kama gwajima, mkewe alishamkimbia kitambo

Hilo la Yeye kutokuwa na Mke namuwekea 'Kiporo' hapa, kwani kwa 'Nyeti' nilizozipata 'nikizianika' hapa Mwamposa 'Waumini' wote watamkimbia.
 
Mkuu nilikita Kambi hapo hasa kufanya 'Utafiti' wangu binafsi wa haya Makanisa ya Kiroho na Wachungaji wao niliyokutana nayo Mola ndiye ajuae.
Wanaloga waumini wao sijuti kusali kanisa langu la asili, maana wanaandaa watu wakutoa shuhuda fake ili kukamata nyumbu wengi imagine mtu eti alikanyaga mafuta Mara kapata kazi bila ku apply kitu ambacho Ni impossible
 
Nimezaliwa Mkatoliki, nimekuwa kama Mkatoliki, nina 'Dogmas' zote za Kikatoliki, nalipenda sana Kanisa langu la Katoliki na nitakufa Kikatoliki pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…