GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #101
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wala uspanic kwani mijadala kama hii huwa inakufungua akili na kujua mengi,mtu mpka anauliza kitu kama hicho ujue kuna reason behind ambayo yeye kama yeye huenda ameigundua au itafahamika kupitia weng
No nne nimecheeeeka huyo mkubwa wao mwenyewe msaniiJe,...
1. Ni kwanini Waumini wako wakitoka Ibadani huwa wanaishiwa Nauli na wanatusumbua Watu Mabarabarani kwa Kutuomba?
2. Ni kwanini Waumini wako wengi Uwezo wao wa Kujenga Hoja ni Mdogo na wakiona unawazidi wanasema una Pepo?
3. Ni kwanini Waumini wako wengi (siyo wote) wa Kike ni wepesi mno Kudanganyika, Kutongozeka na Kulalwa / Kungonoliwa?
4. Ni kwanini Waumini wako wengi wakiwa Kanisani wao muda wao wote Shingo zao zinaangalia nje kama DalaDala zinawaacha?
5. Ni kwanini Waumini wako wengi wanatumia Nguvu nyingi sana Kwetu Kutuaminisha kuwa Wewe ni bora na mahiri kuliko wote?
6. Ni kwanini 95% ya Muda wako uwapo Madhabahubi unahimiza tu Michango ya Sadaka ila Neno (Injili) huwa huipi sana nafasi?
7. Ni kwanini pamoja na Kupata Sadaka nyingi mno lakini huwazi kuhama Tanganyika Packers ambako Miundombinu yake ni mibovu?
Nayasubiri kwa hamu sana Majibu yako tafadhali.
hiyo kukujua au kutokukujua ni swala la maamuzi tu, tungependa kujua why mkitoka kule huwa wepesi mno. ili tuweze kuunganisha doti,pia huenda wengi wanaokwenda kule ni watu walokata tamaa ya maisha,mahusiano,matatizo nk.so lengo la mleta mada ni how tunasolve hayo matatizo katika jamii zetu, maana katika nchi zilizoendelea kama uk na US,dini na siasa ni vitu ambayo wananchi wake hawavipi kipaumbele kama tunavyoaminishwa sisi hasa kuhusu dini na siasa kuwa ndo vitaleta maendeleo
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mleta hoja, acha mwamposa awalambe hawa manyumbu!
wanakwenda wenyewe! hata utapeli wa huyu mtu wameshindwa kuujua kwa kuwa akili zao hazina akili!
Labda wapate msaada wa 'matibabu ya akili' watashtuka tofauti na hapo acha waliwe hadi washike adabu!
Halafu bulldoza huwala wanakondoo Kama gwajima, mkewe alishamkimbia kitamboHalafu utawakutwa wakinamama na Wadada wazuri wako huko wanasubiri miujiza ya kuolewa wakati hawafanyi chochote juma lote wako kwa Mwamposa! Mwamposa yeye anaingiza sadaka wewe unarudi nyumbani hata maji ya kunwa huna. What for? Watu wajitambue makanisa yamekua njia za kilaghai siku hizi.
Kuchafuana sio kuzuri
Hyo number 6 ndo huwa anahubiri mda wote, hafu anadanganya watu wanunue maji na mafuta umaskini uwatoke, badala awaambie wafanye kazi kwa bidii. Injili ya Hawa manabii Ni utapeli mtupu hawafundishi neno wao Ni miujiza fake tu.
Halafu bulldoza huwala wanakondoo Kama gwajima, mkewe alishamkimbia kitambo
Wanaloga waumini wao sijuti kusali kanisa langu la asili, maana wanaandaa watu wakutoa shuhuda fake ili kukamata nyumbu wengi imagine mtu eti alikanyaga mafuta Mara kapata kazi bila ku apply kitu ambacho Ni impossibleMkuu nilikita Kambi hapo hasa kufanya 'Utafiti' wangu binafsi wa haya Makanisa ya Kiroho na Wachungaji wao niliyokutana nayo Mola ndiye ajuae.
Bora waumini wakimbie maana Moshi aliua raia wasio na hatiaHilo la Yeye kutokuwa na Mke namuwekea 'Kiporo' hapa, kwani kwa 'Nyeti' nilizozipata 'nikizianika' hapa Mwamposa 'Waumini' wote watamkimbia.
Hatimaye muumini wakwanza kajitokezaUna umange kimambi ndani yako sio bure.
Kama unahitaji contact zake sema upatiwe then muulize straight, acha nidhamu ya uoga kijana.
Wanaloga waumini wao sijuti kusali kanisa langu la asili, maana wanaandaa watu wakutoa shuhuda fake ili kukamata nyumbu wengi imagine mtu eti alikanyaga mafuta Mara kapata kazi bila ku apply kitu ambacho Ni impossible
Hongera sana!Sasa kama kuna Siku nimekutana na Mwanamke katoka Kupaka Mafuta na hapo hapo 'Nikamtongoza' na kwenda 'Kumlamba' hapo kuna nini tena?
Wakusanya sadakaNa wa Pili ni huyu Phoenix Mkuu.
Hongera sana!
Safi kabisa.Na leo baada ya 'Ibada' yenu 'Maalum' kwa Wanawake nina uhakika tena wa 100% kuwa 'nitamng'oa' Muumini mwingine na kwenda 'Kumla' tena.