Mtume Mwamposa 'Buludoza' popote pale ulipo, tafadhali nijibu haya maswali yangu muhimu sana kwako

Mtume Mwamposa 'Buludoza' popote pale ulipo, tafadhali nijibu haya maswali yangu muhimu sana kwako

wala uspanic kwani mijadala kama hii huwa inakufungua akili na kujua mengi,mtu mpka anauliza kitu kama hicho ujue kuna reason behind ambayo yeye kama yeye huenda ameigundua au itafahamika kupitia weng

Na mwambie ukiniona hadi GENTAMYCINE " Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer " kahoji hivi jua kuna Tatizo Kubwa.
 
Je,...

1. Ni kwanini Waumini wako wakitoka Ibadani huwa wanaishiwa Nauli na wanatusumbua Watu Mabarabarani kwa Kutuomba?

2. Ni kwanini Waumini wako wengi Uwezo wao wa Kujenga Hoja ni Mdogo na wakiona unawazidi wanasema una Pepo?

3. Ni kwanini Waumini wako wengi (siyo wote) wa Kike ni wepesi mno Kudanganyika, Kutongozeka na Kulalwa / Kungonoliwa?

4. Ni kwanini Waumini wako wengi wakiwa Kanisani wao muda wao wote Shingo zao zinaangalia nje kama DalaDala zinawaacha?

5. Ni kwanini Waumini wako wengi wanatumia Nguvu nyingi sana Kwetu Kutuaminisha kuwa Wewe ni bora na mahiri kuliko wote?

6. Ni kwanini 95% ya Muda wako uwapo Madhabahubi unahimiza tu Michango ya Sadaka ila Neno (Injili) huwa huipi sana nafasi?

7. Ni kwanini pamoja na Kupata Sadaka nyingi mno lakini huwazi kuhama Tanganyika Packers ambako Miundombinu yake ni mibovu?

Nayasubiri kwa hamu sana Majibu yako tafadhali.
No nne nimecheeeeka huyo mkubwa wao mwenyewe msanii
 
Hyo number 6 ndo huwa anahubiri mda wote, hafu anadanganya watu wanunue maji na mafuta umaskini uwatoke, badala awaambie wafanye kazi kwa bidii. Injili ya Hawa manabii Ni utapeli mtupu hawafundishi neno wao Ni miujiza fake tu.
 
hiyo kukujua au kutokukujua ni swala la maamuzi tu, tungependa kujua why mkitoka kule huwa wepesi mno. ili tuweze kuunganisha doti,pia huenda wengi wanaokwenda kule ni watu walokata tamaa ya maisha,mahusiano,matatizo nk.so lengo la mleta mada ni how tunasolve hayo matatizo katika jamii zetu, maana katika nchi zilizoendelea kama uk na US,dini na siasa ni vitu ambayo wananchi wake hawavipi kipaumbele kama tunavyoaminishwa sisi hasa kuhusu dini na siasa kuwa ndo vitaleta maendeleo

Hivi Mkuu mapema sana niliposema kuwa 99.99% ya Waumini wake hawajui Kujenga Hoja na hata tu 'IQ's' zao ni ndogo hukuniamini? Umekiona?
 
Mleta hoja, acha mwamposa awalambe hawa manyumbu!
wanakwenda wenyewe! hata utapeli wa huyu mtu wameshindwa kuujua kwa kuwa akili zao hazina akili!
Labda wapate msaada wa 'matibabu ya akili' watashtuka tofauti na hapo acha waliwe hadi washike adabu!

Mkuu haiwezakani kabisa Mwanamke anakesha Kanisani hadi Usiku kisha akitoka tu nje akikutana na akina GENTAMYCINE akitongozwa analiwa tu.
 
Halafu utawakutwa wakinamama na Wadada wazuri wako huko wanasubiri miujiza ya kuolewa wakati hawafanyi chochote juma lote wako kwa Mwamposa! Mwamposa yeye anaingiza sadaka wewe unarudi nyumbani hata maji ya kunwa huna. What for? Watu wajitambue makanisa yamekua njia za kilaghai siku hizi.
Halafu bulldoza huwala wanakondoo Kama gwajima, mkewe alishamkimbia kitambo
 
Hyo number 6 ndo huwa anahubiri mda wote, hafu anadanganya watu wanunue maji na mafuta umaskini uwatoke, badala awaambie wafanye kazi kwa bidii. Injili ya Hawa manabii Ni utapeli mtupu hawafundishi neno wao Ni miujiza fake tu.

Mkuu nilikita Kambi hapo hasa kufanya 'Utafiti' wangu binafsi wa haya Makanisa ya Kiroho na Wachungaji wao niliyokutana nayo Mola ndiye ajuae.
 
Halafu bulldoza huwala wanakondoo Kama gwajima, mkewe alishamkimbia kitambo

Hilo la Yeye kutokuwa na Mke namuwekea 'Kiporo' hapa, kwani kwa 'Nyeti' nilizozipata 'nikizianika' hapa Mwamposa 'Waumini' wote watamkimbia.
 
Mkuu nilikita Kambi hapo hasa kufanya 'Utafiti' wangu binafsi wa haya Makanisa ya Kiroho na Wachungaji wao niliyokutana nayo Mola ndiye ajuae.
Wanaloga waumini wao sijuti kusali kanisa langu la asili, maana wanaandaa watu wakutoa shuhuda fake ili kukamata nyumbu wengi imagine mtu eti alikanyaga mafuta Mara kapata kazi bila ku apply kitu ambacho Ni impossible
 
Nimezaliwa Mkatoliki, nimekuwa kama Mkatoliki, nina 'Dogmas' zote za Kikatoliki, nalipenda sana Kanisa langu la Katoliki na nitakufa Kikatoliki pia.
 
Back
Top Bottom