Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,585
- 15,468
Tunakanyaga kila siku.!!mnakanyaga lini mafuta?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunakanyaga kila siku.!!mnakanyaga lini mafuta?
hallelujahTunakanyaga kila siku.!!
Eeh sana visigino laini mno!hallelujah
hope mtakuwa na visigino laini mno.
hongereni
unapima mpaka akili za watu?Eeh sana visigino laini mno!
Hivi kumbe na wewe akili yako ndogo hivi??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hallelujah
hope mtakuwa na visigino laini mno.
hongereni
wala uspanic kwani mijadala kama hii huwa inakufungua akili na kujua mengi,mtu mpka anauliza kitu kama hicho ujue kuna reason behind ambayo yeye kama yeye huenda ameigundua au itafahamika kupitia wengEeh nimepanick.
Usilazimishe kuwa nimepaniki kama vile unanijuwa sana!Kila swali ulilouliza nimekujibu bila tusi wala lugha ya kukera lakini bado unalazimisha kuwa nimepaniki!wala uspanic kwani mijadala kama hii huwa inakufungua akili na kujua mengi,mtu mpka anauliza kitu kama hicho ujue kuna reason behind ambayo yeye kama yeye huenda ameigundua au itafahamika kupitia weng
Wanawake wanakua rahis kutongozeka maana wanaamini upako umeachiliwa
Wewe jamaa unapenda sana kujisifia ujinga,eti unawavuna kirahisi so hapo unajiona bonge la mjanja nawewe
hiyo kukujua au kutokukujua ni swala la maamuzi tu, tungependa kujua why mkitoka kule huwa wepesi mno. ili tuweze kuunganisha doti,pia huenda wengi wanaokwenda kule ni watu walokata tamaa ya maisha,mahusiano,matatizo nk.so lengo la mleta mada ni how tunasolve hayo matatizo katika jamii zetu, maana katika nchi zilizoendelea kama uk na US,dini na siasa ni vitu ambayo wananchi wake hawavipi kipaumbele kama tunavyoaminishwa sisi hasa kuhusu dini na siasa kuwa ndo vitaleta maendeleoUsilazimishe kuwa nimepaniki kama vile unanijuwa sana!Kila swali ulilouliza nimekujibu bila tusi wala lugha ya kukera lakini bado unalazimisha kuwa nimepaniki!
Unashangaza sana!!
Siku ukianza kumind ur own business ndo siku utakapoacha kuandika huu utopolo, my view kila mtu ana imani yake ,hamuwezi kufanana kama anawaibia waumini wake its non of ur business wewe pambana na hali yako as long as havunji sheria mwacheni tu, muda ndo huwa unaongea kila kitu ipo siku utajua mtama ni upi na makapi ni yapi but issue ya kuongelea mtu ambaye anapiga pesa zake kupitia wanakondoo hell no its not great thinkers way of living. Na wewe kama unaona anafaidi fungua kanisa lako utapata wa kukupa sadaka ili mradi ufuate sheria zote za nchi
kugongeka kabisa unashka tu mkono kama una gari unamfungulia tu mlango akiamini mume kutoka kwa bwana amemshukia baada ya maombi
Hakuna lolote,ni dharau tu mlizonazo.Ukimuuliza mtowa mada ametongoza wangapi na kawala wangapi wa hilo kanisa utakuta unajibiwa matusi tu.
Hata kutongoza ovyo hakukufanyi kuwa mwanamme rijali.Msemeni huyo Mwamposa ila sio lazima kudhalilisha wanawake.
ukisoma vizuri post ya mleta mada hakuwa na nia ya kumdhalilisha mtu bali ameuliza tu why this happen nami nkaweka mkazo kuwa anachokiongea ni kweli kwani nami nishajiulizaga hilo na ni kweli kabisa
Nasali hapo eeh,pia sababu anafundisha hivyo.Alafu kwa sababu tunawashwa sana,malaya sana sana.
Happy now?
mbona unaanza kupanik hali ya kuwa tumekubaliana kufanya mjadala wa kirafiki na uwazi mbona kuwashwa ni kawaida swali ni je mbona kuwashwa kunazidi mkiwa mnatoka sehemu hyo
Umepanick
mnakanyaga lini mafuta?