Mtume Mwamposa 'Buludoza' popote pale ulipo, tafadhali nijibu haya maswali yangu muhimu sana kwako

Mtume Mwamposa 'Buludoza' popote pale ulipo, tafadhali nijibu haya maswali yangu muhimu sana kwako

Eeh nimepanick.
wala uspanic kwani mijadala kama hii huwa inakufungua akili na kujua mengi,mtu mpka anauliza kitu kama hicho ujue kuna reason behind ambayo yeye kama yeye huenda ameigundua au itafahamika kupitia weng
 
wala uspanic kwani mijadala kama hii huwa inakufungua akili na kujua mengi,mtu mpka anauliza kitu kama hicho ujue kuna reason behind ambayo yeye kama yeye huenda ameigundua au itafahamika kupitia weng
Usilazimishe kuwa nimepaniki kama vile unanijuwa sana!Kila swali ulilouliza nimekujibu bila tusi wala lugha ya kukera lakini bado unalazimisha kuwa nimepaniki!
Unashangaza sana!!
 
Wanawake wanakua rahis kutongozeka maana wanaamini upako umeachiliwa

Na 'niwatindua' kweli kweli kwani ni wepesi sana tu 'Kudanganyika' hasa na Wewe Mwanaume ukiwaingia kwa 'gia' hiyo hiyo ya 'Kiroho' waliyonayo.
 
Wewe jamaa unapenda sana kujisifia ujinga,eti unawavuna kirahisi so hapo unajiona bonge la mjanja nawewe

Sasa kama 'Nawadanganya' Kiurahisi sana huku tena wengi Wao wakiwa ni Wasomi na Watu wazima tu na 'Nawabandua' Kwako Mimi siyo Mjanja?
 
Usilazimishe kuwa nimepaniki kama vile unanijuwa sana!Kila swali ulilouliza nimekujibu bila tusi wala lugha ya kukera lakini bado unalazimisha kuwa nimepaniki!
Unashangaza sana!!
hiyo kukujua au kutokukujua ni swala la maamuzi tu, tungependa kujua why mkitoka kule huwa wepesi mno. ili tuweze kuunganisha doti,pia huenda wengi wanaokwenda kule ni watu walokata tamaa ya maisha,mahusiano,matatizo nk.so lengo la mleta mada ni how tunasolve hayo matatizo katika jamii zetu, maana katika nchi zilizoendelea kama uk na US,dini na siasa ni vitu ambayo wananchi wake hawavipi kipaumbele kama tunavyoaminishwa sisi hasa kuhusu dini na siasa kuwa ndo vitaleta maendeleo
 
Siku ukianza kumind ur own business ndo siku utakapoacha kuandika huu utopolo, my view kila mtu ana imani yake ,hamuwezi kufanana kama anawaibia waumini wake its non of ur business wewe pambana na hali yako as long as havunji sheria mwacheni tu, muda ndo huwa unaongea kila kitu ipo siku utajua mtama ni upi na makapi ni yapi but issue ya kuongelea mtu ambaye anapiga pesa zake kupitia wanakondoo hell no its not great thinkers way of living. Na wewe kama unaona anafaidi fungua kanisa lako utapata wa kukupa sadaka ili mradi ufuate sheria zote za nchi

Tena nyie 'Waumini' wake 'msinitibue' halafu 'Mizimu' yangu tu ikapanda na nikawatoleeni sasa 'Siri' zake za ndani na akose 'Waumini' hapo rasmi.
 
kugongeka kabisa unashka tu mkono kama una gari unamfungulia tu mlango akiamini mume kutoka kwa bwana amemshukia baada ya maombi

Uwepo wa Kanisa lake hapo Kawe umenisaidia sana kutopoteza muda kuwatafuta Wanawake wa mbali kwani wa hapo Kwake ni Kushika Mkono tu.
 
Hakuna lolote,ni dharau tu mlizonazo.Ukimuuliza mtowa mada ametongoza wangapi na kawala wangapi wa hilo kanisa utakuta unajibiwa matusi tu.
Hata kutongoza ovyo hakukufanyi kuwa mwanamme rijali.Msemeni huyo Mwamposa ila sio lazima kudhalilisha wanawake.

Mpaka Juzi tu nimefikisha idadi ya 72, na leo nina uhakika baada ya Ibada yake 'Maalum' kwa Wanawake wenye Shida ya Ndoa 'nitampata' wa 73.
 
ukisoma vizuri post ya mleta mada hakuwa na nia ya kumdhalilisha mtu bali ameuliza tu why this happen nami nkaweka mkazo kuwa anachokiongea ni kweli kwani nami nishajiulizaga hilo na ni kweli kabisa

Siku zote GENTAMYCINE 'nachukiwa' kwa Kusema 'Ukweli' na kutokuwa 'Mnafiki' na asichokijua hili 'Bandiko' litamsaidia mno 'Mtume' wao Kiimani.
 
Nasali hapo eeh,pia sababu anafundisha hivyo.Alafu kwa sababu tunawashwa sana,malaya sana sana.
Happy now?

Sasa kama kuna Siku nimekutana na Mwanamke katoka Kupaka Mafuta na hapo hapo 'Nikamtongoza' na kwenda 'Kumlamba' hapo kuna nini tena?
 
Mleta hoja, acha mwamposa awalambe hawa manyumbu!
wanakwenda wenyewe! hata utapeli wa huyu mtu wameshindwa kuujua kwa kuwa akili zao hazina akili!
Labda wapate msaada wa 'matibabu ya akili' watashtuka tofauti na hapo acha waliwe hadi washike adabu!
 
mbona unaanza kupanik hali ya kuwa tumekubaliana kufanya mjadala wa kirafiki na uwazi mbona kuwashwa ni kawaida swali ni je mbona kuwashwa kunazidi mkiwa mnatoka sehemu hyo

Mkuu ukiona 'ameshapaniki' hivyo tu jua ya kwamba tayari ile Sindano yenye Dawa Kali ya 'GENTAMYCINE' imeshawaingia hadi 'Mifupani' mwake.
 
Back
Top Bottom