Bi zandile
JF-Expert Member
- Sep 12, 2024
- 459
- 1,155
- Thread starter
- #21
Umeua mkuu...Kwani wapi tumesema Yesu anasema tusioe ?
Yesu mwenyewe alihudhuria harusi
Akikujibu nitag.
Umeua mkuu...Kwani wapi tumesema Yesu anasema tusioe ?
Yesu mwenyewe alihudhuria harusi
We mwenye kusoma Biblia tupe andiko la "kifo" cha Paulo..Huwa unasoma Biblia?
Mitume wote walikufa tena kwa kuuawa, mtume Paulo aliwekwa gerezani na alikufa pia maana aliandikiwa hukumu ya kifo.
Yapo maandiko mengi tu ni mkono wa waroma , mfano andiko la utatu mtakatifu , na yana asili ya miungu mitatu ya roma ya kaleWewe unachanganya na mafundisho au mapokeo ya waroman mapadri wao kutooa ,hayo ni mapokeo Yao sio maandiko
Unajumuisha wakristo wote na waroman
Leta ushahidi ndugu ,taja hayo maandiko tupeane elimu,Yapo maandiko mengi tu ni mkono wa waroma , mfano andiko la utatu mtakatifu , na yana asili ya miungu mitatu ya roma ya kale
Kwahiyo hayo mafundisho ya kutokuoa siyo Sahihi ?Wewe unachanganya na mafundisho au mapokeo ya waroman mapadri wao kutooa ,hayo ni mapokeo Yao sio maandiko
Unajumuisha wakristo wote na waroman
WWeka hoja za hao wanaodai kwamba kuna mistari inaonyesha Paulo alioa , isije kuwa unajitekenya na kucheka mwenyewe 🤔
Unafahamu kuwa kwenye mkutano wa nikaea 320AD utatu mtakatifu ulipigiwa kura?Leta ushahidi ndugu ,taja hayo maandiko tupeane elimu,
,binafsi sio muumini wa utatu ,ila hakuna maandiko ya utatu yaliwekwa ni either hayakuwepo kwenye matin nyingine ,
Kwani Paulo amekataza kuoa ?Kwahiyo hayo mafundisho ya kutokuoa siyo Sahihi ?
Al-mukheef njoo na Jagina kwa watumishi wa nataka kijibu madai kuhusu Paulo
Siwezi kusema kitu ni uwongo bila kufuatiliaNa wewe umeanza kufuatilia maandiko matakatifu ?
W
Nafahamu sana vzr huo mkutano ,lakini sio unavyodai maandiko yalibadilishwaUnafahamu kuwa kwenye mkutano wa nikaea 320AD utatu mtakatifu ulipigiwa kura?
YapiKwahiyo hayo mafundisho ya kutokuoa siyo Sahihi ?
Al-mukheef njoo na Jagina kwa watumishi wa nataka kijibu madai kuhusu Paulo
Utatu ni fundisho la Roma ndio, halafu Trinity ni fundisho ambalo wengi hawalijui kabisaUnafahamu kuwa kwenye mkutano wa nikaea 320AD utatu mtakatifu ulipigiwa kura?
Hawachelewi kusema alikua Shoga hawa watu wapenda Ndoa huwaita hivyo ndugu zao wa Kataa NdoaKuna wazushi fulani huzusha kwamba mtume Paulo alikuwana mke ila walitengana
Ujadili kitu ambacho maelfu ya miaka roma walikua wanakitunza na walikua na mamlaka ya kufanya chochote juu yake kwa maslahi yao?Nafahamu sana vzr huo mkutano ,lakini sio unavyodai maandiko yalibadilishwa
Yalete hapa tujadili,simple tu
Mimi nakuonyesha tu jinsi ambavyo ni ngumu kwaepuka roma kama unatumia biblia .Utatu ni fundisho la Roma ndio, halafu Trinity ni fundisho ambalo wengi hawalijui kabisa
Na kila kanisa wanalifundisha wanavyojua wao
Kaka , Ukristo huuko hivo, manuscript za biblia hazipo Roma tu, hata Jerusalem wanazo,Ujadili kitu ambacho maelfu ya miaka roma walikua wanakitunza na walikua na mamlaka ya kufanya chochote juu yake kwa maslahi yao?
Bible ziko za Trinitarians na Unitarians.. we mwenyewe ndo utachagua ipi ya kusoma..Leta ushahidi ndugu ,taja hayo maandiko tupeane elimu,
,binafsi sio muumini wa utatu ,ila hakuna maandiko ya utatu yaliwekwa ni either hayakuwepo kwenye matin nyingine ,
100%Kaka , Ukristo huuko hivo, manuscript za biblia hazipo Roma tu, hata Jerusalem wanazo,
Septuaginta Unajua ipo kabla hata Roma ya kidini ?
Mkutano wa Nicea ulithibitisha jinsi ya kuelewa maandiko, si kuandika Biblia mpya au kuongeza aya mpya. Maneno ya Utatu ni maelezo ya tafsiri ya imani, yaliyochukuliwa rasmi ili Kanisa lote lipate mwongozo wa pamoja.
Ngumu kivipi, ? Biblia inamuita mama wa makahaba na inatoa muongozo wakujitenga naeMimi nakuonyesha tu jinsi ambavyo ni ngumu kwaepuka roma kama unatumia biblia .
Hoja yako ipo nje na mada...We mwenye kusoma Biblia tupe andiko la "kifo" cha Paulo..
Mtume pekee unayesoma kifo chake kwenye Biblia ni Yakobo ( Mwana wa Zebedayo).. kasome Matendo 12:2