Mtume Paulo hakuingia katika mahusiano kwa maisha yake yote.

Mtume Paulo hakuingia katika mahusiano kwa maisha yake yote.

Hoja yako ipo nje na mada...

Unadhani mtume Paulo hakufa?

Hatuzungumzii kifo chake ila alikufa, kule kung'ang'ania upewe andiko ni wazi una utoto mwingi ndugu.
We si ndiyo unaulizia maandiko unataka kila kitu kiandikwe kwenye Biblia...

Kama alipata familia akiwa kwenye hicho kifungo cha chake cha ndani je? Maana hata kwenye hicho kifungo aliendelea kufundisha pia.,,
 
Kwani wapi tumesema Yesu anasema tusioe ?

Yesu mwenyewe alihudhuria harusi
1 Wakorintho 7:8,9 Lakini nawaambia wale wasiooa bado, na wajane, Ni heri wakae kama mimi nilivyo. Lakini ikiwa hawawezi kujizuia, na waoe; maana ni afadhali kuoa kuliko kuwaka tamaa.
 
We si ndiyo unaulizia maandiko unataka kila kitu kiandikwe kwenye Biblia...

Kama alipata familia akiwa kwenye hicho kifungo cha chake cha ndani je? Maana hata kwenye hicho kifungo aliendelea kufundisha pia.,,
Mtume Paulo hakuoa nimekupa na mistari ya kuthibitisha...

Ikiwa wataka uthibitisho wa kifo chake hapo umetoka nje ya mada...

Ni vyema ukianzisha uzi wa kuthibitisha kimaandiko kuhusu kifo cha mtume Paulo hakika wadau tutatiririka kwa huo uzi
 
Kaka , Ukristo huuko hivo, manuscript za biblia hazipo Roma tu, hata Jerusalem wanazo,

Septuaginta Unajua ipo kabla hata Roma ya kidini ?

Mkutano wa Nicea ulithibitisha jinsi ya kuelewa maandiko, si kuandika Biblia mpya au kuongeza aya mpya. Maneno ya Utatu ni maelezo ya tafsiri ya imani, yaliyochukuliwa rasmi ili Kanisa lote lipate mwongozo wa pamoja.
Za jerusalem si ndio hizo mnapinga? Ambazo wenyeji wanakuambia yesu alikua ni mwanamazingaombwe na alikufa na hakufufuka na alikua na wazazi wake , na hakuna cha utatu mtakatifu?
 
1 Wakorintho 7:8,9 Lakini nawaambia wale wasiooa bado, na wajane, Ni heri wakae kama mimi nilivyo. Lakini ikiwa hawawezi kujizuia, na waoe; maana ni afadhali kuoa kuliko kuwaka tamaa.
Sasa hapo imezuiwa kuoa?

Weka hoja wazi ,hoja yako ipi
 
Za jerusalem si ndio hizo mnapinga? Ambazo wenyeji wanakuambia yesu alikua ni mwanamazingaombwe na alikufa na hakufufuka na alikua na wazazi wake , na hakuna cha utatu mtakatifu?
Kuna Biblia ya Jerusalem inasema hivo?
 
Ila muhamad Aliyekuwa anapaka WANJA ,anavaa nguo za aisha ni mtume
Wanja walipaka waarabu kabla mtume Muhammad (saw) halafu jikite kwenye mada utume Paulo alipewa na nani ikiwa Yesu sio Mungu?

Halafu uje Kwa step mm sio size yako halafu jibu Kwa summary acha kuniandikia magazeti kama tabia Yako ilivyo
 
Wewe unachanganya na mafundisho au mapokeo ya waroman mapadri wao kutooa ,hayo ni mapokeo Yao sio maandiko

Unajumuisha wakristo wote na waroman
Ndiyo mlete sababu nyengine sasa na hapo umekubali wana mambo waliyo jiongezea alafu baadae mnakataa
 
Ushajaa munkari tayari ,ushapandwa majini
Huko ndipo unapo kimbilia siku zote akili yako imejaa ujinga wa mashindano ya waswahili [ Ukristo vs Uislamu] huamini hata jamii yako inaweza kupinga ujinga wako unao sambaza humu idiot
 
Back
Top Bottom