Mtume Paulo hakuingia katika mahusiano kwa maisha yake yote.

Mtume Paulo hakuingia katika mahusiano kwa maisha yake yote.

Yenu waislamu?😂😂

ilikuwa wapi sema tu
Nimerekebisha , kabla ya yesu ,Hadith za mwanamke bikra kuzaa mtoto ambae ni kristo zipo tangu misri ,India na ugiriki yake , unafahamu hilo?
 
Paulo ni mjanja mmoja muongo toka mwanzo hana utakatifu wowote hana utofauti na mwamposa na kapola
 
..: Je Mtume Paulo alioa??


ChatGPT: Hapana, Mtume Paulo hakuoa.

Katika maandiko ya Biblia, hasa 1 Wakorintho 7:7-8, Paulo mwenyewe anasema wazi kuwa alikuwa hajaoa na hata alitamani watu wengine wangeweza kuishi bila ndoa kama yeye, ili wamtumikie Mungu bila vikwazo.

Andiko (1 Wakorintho 7:8):
"Nasema hivi kwa wale wasiooa na kwa wajane: Ni heri wakae kama mimi."

Hii inaonyesha alikuwa hajaoa na aliona maisha ya useja kuwa na nafasi zaidi ya kumtumikia Mungu pasipo bughudha ya majukumu ya kifamilia.

Hitimisho:
Mtume Paulo hakuwa na mke, na hakuwahi kutaja kuwa alikuwa ameoa kabla. Alijitolea maisha yake yote kwa huduma ya Injili.
 
Kuna mambo mawili hapa ya kuthibitisha kuwa mtume hakuwahi kuwa katika mahusiano:

#1. Paulo alisema wazi kabisa kuwa alikuwa mseja (1Kor. 7:7-8).

Aliandika mafundisho mengi kuhusu ndoa mara nyingi sana - lakini kamwe hakuwahi kuandika kuhusu yeye mwenyewe kuwa katika ndoa.

Katika maandishi yake, alitofautisha kati ya waseja, wajane, na waliotalikiana. Alijitambulisha wazi kuwa yeye ni mtu pekee yaani aliyeamua kuishi kiseja.

#2. Biblia haisemi kuhusu mke au mtoto yeyote wa mtume paulo. Inataja wake za Petro na mitume wengine (1 Kor. 9:5) lakini kamwe haitaji mke wa Paulo.

Paulo aliwataja watu wengi kwa majina lakini hakutaja hata mara moja kuhusu mke wake au watoto wake, hakufanya hivyo kwa sababu hakuwahi kuwa katika mahusiano ya ndoa.



Ukimya wa Maandiko unazungumza kwa sauti kubwa - Paulo alitumikia katika utumishi bila kuoa , na alitumika vyema kabisa(1 Kor. 7:32-35).

Kuna wazushi fulani huzusha kwamba mtume Paulo alikuwa na mke ila walitengana - and ikiwa wewe ni miongoni mwao basi leta hapa uthibitisho wa ndoa ya mtume Paulo ukiambatanisha na maandiko.
Bado kuna vitu umeaacha
 
[.: Ni kwanini SASA Mtume Paulo hakuoa??


ChatGPT:

Mtume Paulo hakuoa kwa sababu aliweka kazi ya Bwana mbele ya mahitaji ya binafsi. Aliona kuwa maisha ya useja ni njia bora kwake ya kumtumikia Mungu kwa ufanisi, kwa kuwa hakutaka chochote kimtoe kwenye lengo lake kuu — kueneza Injili kwa mataifa.
[20/08, 12:53] ChatGPT: Mtume Paulo hakuoa kwa sababu kuu kadhaa, kulingana na maandiko na muktadha wa maisha yake:

1. Alijitenga kwa ajili ya huduma ya Mungu
Paulo aliona kuwa maisha ya useja yanampa nafasi zaidi ya kumtumikia Mungu bila kuvurugwa na majukumu ya familia.

1 Wakorintho 7:32-33:
“Ningependa msiwe na mashaka. Asiwaye mke hujishughulisha na mambo ya Bwana, jinsi atakavyompendeza Bwana. Bali aliyeoa hujishughulisha na mambo ya dunia, jinsi atakavyompendeza mkewe.”

2. Aliona useja ni karama (gift) kutoka kwa Mungu
Aliamini kuwa si kila mtu anaweza kuishi bila ndoa, lakini kwa wale waliobarikiwa kuwa na hiyo karama, ni bora kwa kazi ya Mungu.

1 Wakorintho 7:7:
"Ningependa watu wote wawe kama mimi; lakini kila mtu ana karama yake mwenyewe kwa Mungu..."

3. Mazoea ya maisha yake na hatari za huduma
  • Paulo alikuwa akihubiri na kusafiri mara kwa mara, mara nyingine akipigwa, kufungwa, au kukumbwa na mateso.
  • Aliona kuwa kumwambia mwanamke amfuate kwenye maisha hayo ya mateso kungekuwa mzigo kwake na kwake pia.

4. Alitaka kutoa mfano wa kujinyima
Kama kiongozi wa kiroho, aliweka maisha yake kuwa mfano wa kujikana kwa ajili ya Injili.

Hitimisho:
 
Kuna mambo mawili hapa ya kuthibitisha kuwa mtume hakuwahi kuwa katika mahusiano:

#1. Paulo alisema wazi kabisa kuwa alikuwa mseja (1Kor. 7:7-8).

Aliandika mafundisho mengi kuhusu ndoa mara nyingi sana - lakini kamwe hakuwahi kuandika kuhusu yeye mwenyewe kuwa katika ndoa.

Katika maandishi yake, alitofautisha kati ya waseja, wajane, na waliotalikiana. Alijitambulisha wazi kuwa yeye ni mtu pekee yaani aliyeamua kuishi kiseja.

#2. Biblia haisemi kuhusu mke au mtoto yeyote wa mtume paulo. Inataja wake za Petro na mitume wengine (1 Kor. 9:5) lakini kamwe haitaji mke wa Paulo.

Paulo aliwataja watu wengi kwa majina lakini hakutaja hata mara moja kuhusu mke wake au watoto wake, hakufanya hivyo kwa sababu hakuwahi kuwa katika mahusiano ya ndoa.



Ukimya wa Maandiko unazungumza kwa sauti kubwa - Paulo alitumikia katika utumishi bila kuoa , na alitumika vyema kabisa(1 Kor. 7:32-35).

Kuna wazushi fulani huzusha kwamba mtume Paulo alikuwa na mke ila walitengana - and ikiwa wewe ni miongoni mwao basi leta hapa uthibitisho wa ndoa ya mtume Paulo ukiambatanisha na maandiko.
Paulo alikuwa na akili sana...alijua tuu kuwa ndoa ni ubatili
 
Tuseme hajawahi kupiga mzigo? Kwa kuwa hisia ziliwekwa na Mungu, basi alipuuza mambo ya Mungu. Alikinyanyasa kiungo fulani kwenye mwili.
 
mtume Paulo hakuoa.
Kwa mujibu wa maandiko ya Biblia na historia ya Kanisa la mwanzo, Paulo aliishi maisha ya useja. Katika barua zake mwenyewe, hasa kwenye 1 Wakorintho 7:7–8, Paulo anasema:

“Nataka watu wote wawe kama mimi nilivyo. Lakini kila mtu ana kipawa chake toka kwa Mungu, mmoja hivi, mwingine vile. Lakini nawaambia wale wasiooa na wajane, ni heri wakae kama mimi.”



Hapa anaeleza wazi kuwa yeye hakuwa ameoa, na alihimiza useja kwa ajili ya kumtumikia Mungu bila mizigo ya familia, ingawa pia alikiri ndoa si dhambi.

🔹 Kuna baadhi ya mafundisho ya Wayahudi kwamba Paulo, kabla ya kuwa Mkristo, huenda aliwahi kuoa kwa sababu Wayahudi wa daraja lake (Mfarisayo na mwanasheria) mara nyingi walihimizwa kuoa. Lakini hakuna ushahidi wowote katika Biblia wala maandiko ya kanisa la kwanza unaothibitisha jambo hilo.

Kwa hivyo msimamo ulio wazi zaidi ni kwamba mtume Paulo aliishi bila mke maisha yake yote ya utumishi wa kikristo.

🤖 ChatGPT
 
Ukiona watu wanapingana kuhusu MUNGU na ni wakristo ujue hawajamjua BADO...

Dini bila kujua Mungu, haina tofauti na neno linasema watu wangu wanahangamia kwa kukosa maarifa...

NB: Mambo ya Mwilini na Rohoni yanahitaji ELIMU
 
Nimerekebisha , kabla ya yesu ,Hadith za mwanamke bikra kuzaa mtoto ambae ni kristo zipo tangu misri ,India na ugiriki yake , unafahamu hilo?
Zipi hizo ,ninazojua Mimi ni hizi ,👇👇

Misri ya kale: Hadithi za Horus, mwana wa Osiris na Isis. Lakini Isis hakuwa bikira; alihusiana na Osiris.

India: Kuna simulizi za Krishna, lakini mama yake Devaki hakuwa bikira – alikuwa ameolewa na Vasudeva.

Ugiriki: Hadithi za Perseo na wengineo mara nyingi zinahusiana na miungu kama Zeus kufanya ngono na wanawake. Hizo hazikuwa mimba safi wala bikra, bali ngano za miungu kuzini na binadamu.


👉hakuna hata moja kati ya hizi mytholojia inayofanana na unabii wa Biblia wa bikira kuzaa. Zote zina mchanganyiko wa ngono za miungu, uchawi, au tafsiri za kishirikina.

Weka hoja yako vizuri
 
Wanja walipaka waarabu kabla mtume Muhammad (saw) halafu jikite kwenye mada utume Paulo alipewa na nani ikiwa Yesu sio Mungu?

Halafu uje Kwa step mm sio size yako halafu jibu Kwa summary acha kuniandikia magazeti kama tabia Yako ilivyo
Unanitusha?

Je unapaka WANJA kama Sunna ya mudy?

Unavaa nguo za mkeo kama mudy?
 
Zipi hizo ,ninazojua Mimi ni hizi ,👇👇

Misri ya kale: Hadithi za Horus, mwana wa Osiris na Isis. Lakini Isis hakuwa bikira; alihusiana na Osiris.

India: Kuna simulizi za Krishna, lakini mama yake Devaki hakuwa bikira – alikuwa ameolewa na Vasudeva.

Ugiriki: Hadithi za Perseo na wengineo mara nyingi zinahusiana na miungu kama Zeus kufanya ngono na wanawake. Hizo hazikuwa mimba safi wala bikra, bali ngano za miungu kuzini na binadamu.


👉hakuna hata moja kati ya hizi mytholojia inayofanana na unabii wa Biblia wa bikira kuzaa. Zote zina mchanganyiko wa ngono za miungu, uchawi, au tafsiri za kishirikina.

Weka hoja yako vizuri
Kumbe wewe ni kiazi unaropoka uongo wa chatgpt, unikumbushe nikutafutie vitabu usome
 
Kumbe wewe ni kiazi unaropoka uongo wa chatgpt, unikumbushe nikutafutie vitabu usome
Dah hapa ndio unapofeli ,

Nilikwambia leta reference hukuleta ,nimekupa unasema ni CHATGPT 🤣

Basi leta reference zako ,usitumie hasira
 
Back
Top Bottom