Mtume Paulo hakuingia katika mahusiano kwa maisha yake yote.

Mtume Paulo hakuingia katika mahusiano kwa maisha yake yote.

Ukweli ni hakika, unajisikiaje ukisema alioa au hakuoa? Hapo ndipo kwenye hints....imeandikwa au haikuandikwa ni saw na kujitafuta nje yako, hakuna mmiliki wa ukweli.
..............
Maandiko yaliyo wewe yana sauti kubwa kuliko yaliyoandikwa. Nemo la Mungu lina nguvu na njia halisi na sahihi ya kulitumia ni nguvu yake. Hakika hata maneno yako bila kujali umeyasema kwa sauti au kimoyomoyo yana nguvu.
 
Hivi mkuu ushagundua tatizo lako?
Nilitegemea ajibu, ila umekuja wewe haya msaidie kujibu ,

Je Muhammad alikuwa anapaka WANJA ,je na nyie waumin mnaruhusiwa ,tuanze na wewe uliyejitokeza
 
Nilitegemea ajibu, ila umekuja wewe haya msaidie kujibu ,

Je Muhammad alikuwa anapaka WANJA ,je na nyie waumin mnaruhusiwa ,tuanze na wewe uliyejitokeza
Muhammad na yesu wote washamba tu ,nitafute siku nyingine nikiwa sijanywa pombe tafadhali 🙌
 
Hahaha mimi sio mtata kiasili ila nikishalewa nakua tofauti kidogo , hili nilishatolea ufafanuzi humu😅
Pamoja sana, ila kati ya watu wapo calm humu ni wewe ,labda ukiwa na hangover ,

Watu wa dini wengi panga lipo mkononi🤣
 
hamis77 akili yangu ipo huru kujadili chochote bila kujitia kwenye box fulani 🤔
 
Back
Top Bottom