Mtume Paulo hakuingia katika mahusiano kwa maisha yake yote.

Kwani alivaa gauni au ihram leta hiyo hadithi tuiyone na Nisunna Kutumia wanja kabla ya kulala kupaka mara tatu tatu kulia na kushoto

Mtume Muhammadi (s.a.w) alisema "Tumia ithmid kwa sababu inaimarisha Macho na lina fanya kope zikue". imepokewa na Abuu Daudi na Tirmidhi

Sasa katafute hiyo ithmid nini na leta katazo la kupaka huo wanja
 
Nishasema sana humu ,dini ni project

Nina jamaa yangu Leo anajiita Nabii chamungu anapiga sana pesa
Unaoneka ushazidiwa kwani Yesu si alisema kutakuwa na Manabii wa uwongo Mungu lazima awe na mfumo wake wa kuabudiwa na ndiyo Dini, na lazima lazima ufuate huo mfumo(Dini) ili ulipwe lazima ufuate vigezo na masharti.
 
Unajua maana ya neno dini

Unajua lilianza kutumika lini ?

Kwanini kabla ya Muhammad hakuna kitu kinaitwa dini?

Ukijua maana ya dini utaelewa,Dini ni UTAPELI
 
Mkuu unapenda kudanganya watu sana, haupo unajiona think tank
 
Neno dini lilitumika kabla hata ya uslam sema lilikua maarufu na maana Pana zaidi kipindi Cha Muhammad (saw) vingnevyo utakua maamuma mropokaj
Ukweli ni kwamba neno "dīn" (دين) kabla ya Uislamu halikutumika moja kwa moja kumaanisha dini ya Kikristo au Kiyahudi kwa maana tunayoijua leo.

Kabla ya Uislamu (kipindi cha Jahiliyya)

Waarabu walilitumia dīn kwa maana ya desturi, mfumo wa maisha, sheria za kabila au hukumu.

Mfano,katika mashairi ya kabla ya Uislamu, waliposema “dīn al-malik” walimaanisha mfumo wa sheria ya mfalme/hukumu yake.

Kwa hiyo haikuwa ikimaanisha dini hizi Ukristo,Uyahudi n.k

Qur’an ilipoanza kushuka, neno dīn lilipanuliwa maana yake kufikia dini za kimbingu (Ukristo, Uyahudi, Uislamu).

Mfano: “Inna dīna ʿinda Allāhi al-Islām” (Qur’an 3:19) – Yaani: Hakika dini sahihi mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu.

Pia Qur’an inawatambua Mayahudi na Wakristo kuwa na dīn zao, ndiyo maana ikaelezwa: “Lakum dīnukum wa liya dīn” (109:6).

Baada ya Uislamu kusambaa,Ndipo dīn likaanza kutumika waziwazi kurejea dini zote Uyahudi, Ukristo, Uislamu na hata ushirikina.

Kwa Waarabu na Waislamu wa mwanzo, “dīn” haikumaanisha tu “imani ya mtu binafsi” bali mfumo mzima wa maisha, sheria na ibada.
 
Sasa hapo umejibu nn? mbona unajifunga palepale nilipoandika mm kuwa neno dini lilikuwepo tangu zamani alipokuja mtume Muhammad( saw) ndo maana ikawa Pana zaidi

Halafu jifunze kusummarize nishakuambia mara nyingi kuandika MANENO mengi sio kuwa na hoja nzuri
 
Najifunga wapi ,nilikwambia dini kurejea Ukristo na Uyahudi,n.k imekuja na Mudy, before hakuna mtu Aliyekuwa anaziita dini hizi Ukristo, Uyahudi n.k elewa hivo

Dini ni project za watu ,ni utapeli ,ndipo hapo tunakuta baada ya muhamad anaziita dini na kulipa umaarufu hilo neno
 
Back
Top Bottom