Mtume Paulo hakuingia katika mahusiano kwa maisha yake yote.

Mtume Paulo hakuingia katika mahusiano kwa maisha yake yote.

Ukiambiwa unatumia "Chatgpt" unakataa, sasa imekuumbua hapo imekufumdisha na bado hujaelewa Kwahiyo ulitaka kusema Mungu hakuwa na (Dini/Njia) mfumo wa kuabudiwa.
Wapi imeniumbua ? Nilichoeleza hapo ndio uhalisia ,tatizo waislamu hamna elimu
 
Nimewaza tu hajawahi kupata hisia hata au kwa kuwa alijitoa sadaka kwa yale mabaya aliyoyafanya
 
Swali la msingi je unaweza kuishi kama mtume Paulo baada ya kumrudia kristo?

Kwenye jamii hii ya sasa ni ngumu kumkuta mtu ambaye yupo single kwa asilimia zote, sababu access ya ngono imekuwa rahisi mnoo,kuna kulana kimasihala,ukija kwenye pesa ndio imerahisisha mno, unaweza nunua,wanawake siku hizi wana presha za kujitakia za michezo, vikoba na mikopo isiyo elewekank. Yaani wengi wao ambao wapo Single wanapiga ndondo na kulana kimasihala huku wakisubiri/kutafuta usajili wa udumu (ndoa).
 
Back
Top Bottom