Mtume Paulo hakuingia katika mahusiano kwa maisha yake yote.

Mtume Paulo hakuingia katika mahusiano kwa maisha yake yote.

Najifunga wapi ,nilikwambia dini kurejea Ukristo na Uyahudi,n.k imekuja na Mudy, before hakuna mtu Aliyekuwa anaziita dini hizi Ukristo, Uyahudi n.k elewa hivo


Dini ni project za watu ,ni utapeli ,ndipo hapo tunakuta baada ya muhamad anaziita dini na kulipa umaarufu hilo neno
Kwahyo Muhammad ndo alisema ukristo, uyahudi nk ni dini? Mbona unaongea kama umekatwa kichwa
 
2 Timotheo 4:6-8
[6]Kwa maana, mimi sasa namiminwa, na wakati wa kufariki kwangu umefika.
For I am now ready to be offered, and the time of my departure is at hand.

[7]Nimevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo nimeumaliza, Imani nimeilinda;
I have fought a good fight, I have finished my course, I have kept the faith:

[8]baada ya hayo nimewekewa taji ya haki, ambayo Bwana, mhukumu mwenye haki, atanipa siku ile; wala si mimi tu, bali na watu wote pia waliopenda kufunuliwa kwake.
Henceforth there is laid up for me a crown of righteousness, which the Lord, the righteous judge, shall give me at that day: and not to me only, but unto all them also that love his appearing.

HII NI HABARI YA KIFO CHA MTUME PAUL...
ZAIDI SANA PAUL ALIULIWA KWA KUKATWA KICHWA NA MAHALI WALIPOMCHINJIA WARUMI PANAITWA THREE FOUNTAINS..
KWAMBA BAADA YA KICHWA CHAKE KUKATWA KILIRUKA MARA TATU NA KILA KILIPOTUA KULITOKEA CHEMCHEM YA MAJI KWA HIO KUNA CHEMCHEM TATU ZINAZOTOA MAJI HADI LEO...HII NI PROOF KWAMBA ALIKUWA MTUMISHI MTUME WA KIWANGO CHA KIPEKEE...NA ALIKUWA AMETUMWA NA MUNGU.
 
Dada Anna hao wanaobisha na kudai kwamba Paulo mtume alikuwa na mke huo uwongo wameutoa kwenye injili ya baraba au imetoka kwenye sahihi al buhar???
Kwanza hilo neno dada litoe, pili maisha ya Paulo kabla hajatokewa na Yesu na kudai yeye mtume mnayajua yote
 
Kwanza hilo neno dada litoe, pili maisha ya Paulo kabla hajatokewa na Yesu na kudai yeye mtume mnayajua yote
Yeye ni kama Nabii Ibrahim yameelezwa Yale ya msingi Sana yaliomhusu...Suala la hadithi za utoto ujinga nk ni vitu ambayo havina msaada wowote Kwa kile alichokusudiwa kukifikisha Kwa hadhira.
 
Yeye ni kama Nabii Ibrahim yameelezwa Yale ya msingi Sana yaliomhusu...Suala la hadithi za utoto ujinga nk ni vitu ambayo havina msaada wowote Kwa kile alichokusudiwa kukifikisha Kwa hadhira.
Unatatzo mahali unamfananisha nabii Ibrahim na takataka Paulo embu kuwa serious kidogo
 
Nikiwa serious nitakwambia takataka ni Muhammad Yule ndie hawezi kufananishwa.
Sawa hoja sipingi lakn kufananisha Ibrahim na Paulo ni ukosefu wa akili, pia hakuna mahali nimemfananisha Muhammad na Ibrahim hayo yalikua kwenye hoja zako hivo naona zunguka mbuyu bila kujibu hoja kuu
 
Ukweli ni kwamba neno "dīn" (دين) kabla ya Uislamu halikutumika moja kwa moja kumaanisha dini ya Kikristo au Kiyahudi kwa maana tunayoijua leo.

Kabla ya Uislamu (kipindi cha Jahiliyya)

Waarabu walilitumia dīn kwa maana ya desturi, mfumo wa maisha, sheria za kabila au hukumu.

Mfano,katika mashairi ya kabla ya Uislamu, waliposema “dīn al-malik” walimaanisha mfumo wa sheria ya mfalme/hukumu yake.

Kwa hiyo haikuwa ikimaanisha dini hizi Ukristo,Uyahudi n.k

Qur’an ilipoanza kushuka, neno dīn lilipanuliwa maana yake kufikia dini za kimbingu (Ukristo, Uyahudi, Uislamu).

Mfano: “Inna dīna ʿinda Allāhi al-Islām” (Qur’an 3:19) – Yaani: Hakika dini sahihi mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu.

Pia Qur’an inawatambua Mayahudi na Wakristo kuwa na dīn zao, ndiyo maana ikaelezwa: “Lakum dīnukum wa liya dīn” (109:6).

Baada ya Uislamu kusambaa,Ndipo dīn likaanza kutumika waziwazi kurejea dini zote Uyahudi, Ukristo, Uislamu na hata ushirikina.

Kwa Waarabu na Waislamu wa mwanzo, “dīn” haikumaanisha tu “imani ya mtu binafsi” bali mfumo mzima wa maisha, sheria na ibada.
Ukiambiwa unatumia "Chatgpt" unakataa, sasa imekuumbua hapo imekufumdisha na bado hujaelewa Kwahiyo ulitaka kusema Mungu hakuwa na (Dini/Njia) mfumo wa kuabudiwa.
 
naona zunguka mbuyu bila kujibu hoja kuu
Wewe unaemzarau mtume Paul unadhani ni kila mtu anamdharau kama Wewe?? Labda Wewe utuambie maisha ya utotoni ya Ibrahim maana habari ya Ibrahim imeandikwa tokea ukubwani na Apostle makini Paul habari zake zimeanza kuandikwa tokea ukubwani hio ndio nilikuwa namaanisha..
 
Alifia Roma akiwa Gerezani na aliteswa sana na Kaisari Nero. Ukisoma Timotheo... Hili linaonekana kuwa waraka wa mwisho aliouandika Paulo, na lina kauli ya kuaga ya kusikitisha. Paulo anasema ..Anajihisi "anamwagwa kama dhabihu" na anasema kwamba "wakati wa kuondoka kwangu umefika" (2 Timotheo 4:6). Anataja kuteswa kwa kiwango kikubwa (2 Timotheo 4:16-17) na kumtumia Timotheo aje kwa haraka.
Hali hii inaelekeza kuwa alikuwa gerezani na anasubiri hukumu yake.

Huo ni ushahidi wa tosha wa kifo chake cha kufia Dini. Ingawa hakuna maneno ya moja kwa moja kwenye agano jipya kuhusu kifo chake na mahali alipofia zaidi ya ushahidi huo wa Timotheo. TYK
 
Alifia Roma akiwa Gerezani na aliteswa sana na Kaisari Nero. Ukisoma Timotheo... Hili linaonekana kuwa waraka wa mwisho aliouandika Paulo, na lina kauli ya kuaga ya kusikitisha. Paulo anasema ..Anajihisi "anamwagwa kama dhabihu" na anasema kwamba "wakati wa kuondoka kwangu umefika" (2 Timotheo 4:6). Anataja kuteswa kwa kiwango kikubwa (2 Timotheo 4:16-17) na kumtumia Timotheo aje kwa haraka. Hali hii inaelekeza kuwa alikuwa gerezani na anasubiri hukumu yake. Huo ni ushahidi wa tosha wa kifo chake Cha kufia Dini. Ingawa hakuna maneno ya moja kwa moja kwenye again jipya kuhusu kifo chake na mahali alipofia. TYK
Alihukumiwa kwa mashtaka yepi.
 
Wewe unaemzarau mtume Paul unadhani ni kila mtu anamdharau kama Wewe?? Labda Wewe utuambie maisha ya utotoni ya Ibrahim maana habari ya Ibrahim imeandikwa tokea ukubwani na Apostle makini Paul habari zake zimeanza kuandikwa tokea ukubwani hio ndio nilikuwa namaanisha..
Habar za Ibrahim zimeandikwa akiwa mkubwa tu ni wapi ulipoiga maandiko au kwenye biblia yenu?
 
Back
Top Bottom