Mtume Paulo hakuingia katika mahusiano kwa maisha yake yote.

Mtume Paulo hakuingia katika mahusiano kwa maisha yake yote.

Wanja ni Sunna naweza paka au nisipake, jikite kwenye hoja Paulo huo utume alipewa na nani na Yesu sio Mungu?
Unapaka hupaki ,kuwa na msimamo mtoto wa kiume unapaka WANJA na kuvaa nguo za kike kama mtume alivyovaa za aisha
Nyoosha maelezo
 
Kuna mambo mawili hapa ya kuthibitisha kuwa mtume hakuwahi kuwa katika mahusiano:

#1. Paulo alisema wazi kabisa kuwa alikuwa mseja (1Kor. 7:7-8).

Aliandika mafundisho mengi kuhusu ndoa mara nyingi sana - lakini kamwe hakuwahi kuandika kuhusu yeye mwenyewe kuwa katika ndoa.

Katika maandishi yake, alitofautisha kati ya waseja, wajane, na waliotalikiana. Alijitambulisha wazi kuwa yeye ni mtu pekee yaani aliyeamua kuishi kiseja.

#2. Biblia haisemi kuhusu mke au mtoto yeyote wa mtume paulo. Inataja wake za Petro na mitume wengine (1 Kor. 9:5) lakini kamwe haitaji mke wa Paulo.

Paulo aliwataja watu wengi kwa majina lakini hakutaja hata mara moja kuhusu mke wake au watoto wake, hakufanya hivyo kwa sababu hakuwahi kuwa katika mahusiano ya ndoa.

Ukimya wa Maandiko unazungumza kwa sauti kubwa - Paulo alitumikia katika utumishi bila kuoa , na alitumika vyema kabisa(1 Kor. 7:32-35).

Kuna wazushi fulani huzusha kwamba mtume Paulo alikuwa na mke ila walitengana - and ikiwa wewe ni miongoni mwao basi leta hapa uthibitisho wa ndoa ya mtume Paulo ukiambatanisha na maandiko.
Kumbe kama PolePole
 
Dah hapa ndio unapofeli ,

Nilikwambia leta reference hukuleta ,nimekupa unasema ni CHATGPT 🤣

Basi leta reference zako ,usitumie hasira
Mirthra, alizaliwa tareh 25 December bila baba

Krisha na bikra devaki, na inahusisha uzazi wake ulitokana na nyota

Attis analizaliwa na bikra nana, alikufa msalabani na kufufuka siku ya tatu

Horus alizaliwa bila baba na nyota yake kuu ni nyota ya belthehem
 
Mirthra, alizaliwa tareh 25 December bila baba

Krisha na bikra devaki, na inahusisha uzazi wake ulitokana na nyota

Attis analizaliwa na bikra nana, likufa msalabani na kufufuka siku ya tatu

Horus alizaliwa bila baba na nyota yake kuu ni nyota ya belthehem
Wewe unachanganya mafile na kile Biblia inasema .

Mithra hakuzaliwa tarehe 25 Desemba kwa bikra, bali alitoka kwenye mwamba hiyo tarehe ilihusiana na sherehe za Warumi karne ya 4, muda mrefu baada ya Yesu.

Krishna hakuwa mtoto wa bikra, mama yake Devaki alikuwa ameolewa na tayari ana watoto.

Attis hakufa msalabani wala kufufuka siku ya tatu hizo ni ngano za Cybele za kujikata viungo Mzee, hebu kasome Tena historia.

Horus naye hakuwa mtoto wa bikra, mama yake Isis alimkusanya mume wake Osiris na kupata mtoto. Hata hiyo nyota ya Bethlehem kwa Horus haina ushahidi wowote katika maandiko ya Misri ni ubunifu wa wapinga Ukristo tu.

Tofauti ni kwamba Yesu ndiye pekee aliyetabiriwa na manabii mamia ya miaka kabla (Isaya 7:14; Mika 5:2), akazaliwa na bikra kwa nguvu ya Roho Mtakatifu, akafa msalabani na kufufuka kihistoria.

Hizo ngano zako za kipagani hazina ushahidi wowote wa kihistoria. Yesu ndiye ukweli, zingine ni porojo za kishirikina.
 
Nilisha kuambia hizo hadithi zipo kabla ya yesu , hizo stories ukristo umezibadilisha tu, ninazo hard copy ya hivyo vitabu vyote acha swaga zako
 
Nilisha kuambia hizo hadithi zipo kabla ya yesu , hizo stories ukristo umezibadilisha tu, ninazo hard copy ya hivyo vitabu vyote acha swaga zako
Acha kupaniki ,nimekuwekea hizo story wala hazifanani na hicho unachosema

Weka jina la kitabu na muandishi hapa ,Mimi nitaleta zinavyosema
 
Wewe kiazi kweli kwamba nikisoma mimi sielewi na wewe ndio unaelewa?
Acha matusi basi, au ndio kushindwa kwa hoja ?

Nimekupa ukweli wa hizo Hadith unazong'ang'ania ,ilikuwa swala la kuleta zinavyosema na uweke reference

Sasa hasira unayoonesha ni wazi hoja ishakuelemea
 
Acha matusi basi, au ndio kushindwa kwa hoja ?

Nimekupa ukweli wa hizo Hadith unazong'ang'ania ,ilikuwa swala la kuleta zinavyosema na uweke reference

Sasa hasira unayoonesha ni wazi hoja ishakuelemea
Hoja imenilemea wapi? Mimi nina hard copy wewe kama unazo weka hizo za kwako hapa kama umeona zangu sio kweli?

AI Inakudanganya sana , nishakuambia .

Note;Nipo mbali na kitabu nimekuahidi unikumbushe nitakutumia angalau hata picha ya vifungu.
 
Nimerekebisha , kabla ya yesu ,Hadith za mwanamke bikra kuzaa mtoto ambae ni kristo zipo tangu misri ,India na ugiriki yake , unafahamu hilo?
hoja yako nini hasa?.
mfn; karibu jamii zote duniani zina masimulizi ya gharika,kwa hiyo tuhitimishe kuwa gharika alikuwa kuwepo kwasababu kila jamii inasimulizi ilo?.
 
Ni sawa , maandiko hayaelezi sana kuhusu maisha private ya manabii na mitume na ukumbuke vitu vingi vimepunguzwa ili kutimiza malengo, bibliq sio historia ya maisha ya watu fulani bali ni mtiririko wa matukio ya mpango wa Mungu kuhusu wokovu wetu sisi wanadamu,
Kama Yesu alialikwa kwenye ndoa, kama Yesu aliwabariki watoto, maana yake swala la familia ni mpango mathubuti wa Mungu mtume Paulo katika barua zake kwa TIMOTHEO na ndicho kitabu kinachotumika kama notisi za kuwafundishia na kuwapa muongozo wachungaji anasema kabisa kiongozi wa kanisa awe MUME WA MKE MMOJA, tena awe mtu mwenye uwezo wa kusimamia familia yake,
So hata kama Mtume Paulo hakuoa au hayakuelezwa mahusiano yake, sisi wafuasi wa Yesu tuko sahihi kuwa na mahisiano i mean familia
 
Back
Top Bottom