MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
"Nitakuwa ni Mjinga kama nikipumzika Kazi hii ya Kumtumikia Mwenyezi Mungu na kuwa Masikini hivyo kama unaenda Mkoani Mbeya karibu katika Hotel yangu kwani haina Gharama" amesema Mtume wenu Mwamposa.
*Na sijaishia tu kuwa na hiyo Hotel bali kwa sasa nina Shamba Kubwa Heka na Heka za Parachichi na sitoishia hapa nitakuwa navyo Vingi tu" amesema Mtume wenu Mwamposa.
"Kabla sijawa Mtumishi hivi nilikuwa Mfanyabiashara mkubwa tu nchini Zambia, Malawi na Kwingineko na nilivyoanza Kumtumikia Mungu hivi nikaacha ila kwa sasa nimerejea tena kuwa Mfanyabiashara hivyo nitakuwa Mtumishi na hapo hapo Mfanyabiashara na atakayenishangaa atakuwa Mjinga na ana Akili za Kuku" amesema Mtume wenu Mwamposa.
Chanzo: Mahubiri yake yanayoendelea hivi sasa na yako Mubashara katika Television Channel yake.
Kazi Kwenu Waumini wake ila MINOCYCLINE nawaonea mno Huruma na sasa hivi ameamua Kuwadharau wazi wazi huku akitambia Utajiri wake ambao kwa 99.9% umetokana na Sadaka zenu Masikini Wenzangu msiotaka Kusikia tunaowaokeeni ili asizidi Kuwapoteza na kuwafanya Mitaji yake.
Sijawahi Kusikia Maaskofu wa Katoliki, Lutheran, Anglican na hata wale wa Seventh Day ambao wana Hotels na Hostels zao pamoja na Biashara zao nyingi za Kitaasisi wakwa Madhabahuni wanafanya Promo za Biashara zao / Miradi yao kwa Waumini wao tena katikati ya Ibada.
Ndiyo maana nalipenda mno Dhehebu langu Kuu na Takatifu la Katoliki ( Roman Catholic ) kwani huku na kule kwa Lutherans na Anglicans ndiko kuna Ibada za Kweli, Ibada za Kistaarabu na Maendeleo ya Kiuhalisia na siyo ya Kishetani / Kiuchawi pamoja na Uongo na Utapeli mwingi.