Mtume Wenu Mwamposa afanya 'Promotion' ya Hotel yake ya Mkoani Mbeya katikati ya Ibada Tanganyika Packers Kawe leo

"Nitakuwa ni Mjinga kama nikipumzika Kazi hii ya Kumtumikia Mwenyezi Mungu na kuwa Masikini hivyo kama unaenda Mkoani Mbeya karibu katika Hotel yangu kwani haina Gharama" amesema Mtume wenu Mwamposa.

*Na sijaishia tu kuwa na hiyo Hotel bali kwa sasa nina Shamba Kubwa Heka na Heka za Parachichi na sitoishia hapa nitakuwa navyo Vingi tu" amesema Mtume wenu Mwamposa.

"Kabla sijawa Mtumishi hivi nilikuwa Mfanyabiashara mkubwa tu nchini Zambia, Malawi na Kwingineko na nilivyoanza Kumtumikia Mungu hivi nikaacha ila kwa sasa nimerejea tena kuwa Mfanyabiashara hivyo nitakuwa Mtumishi na hapo hapo Mfanyabiashara na atakayenishangaa atakuwa Mjinga na ana Akili za Kuku" amesema Mtume wenu Mwamposa.

Chanzo: Mahubiri yake yanayoendelea hivi sasa na yako Mubashara katika Television Channel yake.

Kazi Kwenu Waumini wake ila MINOCYCLINE nawaonea mno Huruma na sasa hivi ameamua Kuwadharau wazi wazi huku akitambia Utajiri wake ambao kwa 99.9% umetokana na Sadaka zenu Masikini Wenzangu msiotaka Kusikia tunaowaokeeni ili asizidi Kuwapoteza na kuwafanya Mitaji yake.

Sijawahi Kusikia Maaskofu wa Katoliki, Lutheran, Anglican na hata wale wa Seventh Day ambao wana Hotels na Hostels zao pamoja na Biashara zao nyingi za Kitaasisi wakwa Madhabahuni wanafanya Promo za Biashara zao / Miradi yao kwa Waumini wao tena katikati ya Ibada.

Ndiyo maana nalipenda mno Dhehebu langu Kuu na Takatifu la Katoliki ( Roman Catholic ) kwani huku na kule kwa Lutherans na Anglicans ndiko kuna Ibada za Kweli, Ibada za Kistaarabu na Maendeleo ya Kiuhalisia na siyo ya Kishetani / Kiuchawi pamoja na Uongo na Utapeli mwingi.
Watu walisharogwa-brainwashed na walishakubali kuwa ni wajinga acha tapeli Mwamposa awakande mchana kweupe.
 
Unaweza kukuta?unamuuzia mgonjwa mafuta ya upako halafu unaenda kumpa mgonjwa mwingine hera?kwanza tuachane na hayo Yesu hakuwahi kuuza bidhaa yoyote ile ili amponye mgonjwa,hao ni wapigaji tu
Wewe wasema...
 
dukani yale maji unanunua shilingi ngapi?.....kwa kanisa yale maji yapo kanisani kwa ajili ya wale ambao walisahau kununua wananunulia pale, wewe nenda na maji yako watayaombea alafu utayatumia. Dhana ya kusema watu wanauziwa maji ni dhana ya watu wasiojitambua tu.......dukani yanauzwa buku pale yanauzwa buku...pale kinachotolewa na ukombozi tu, maji nenda nayo hata kama ni ya chooni watayaombea utayatumia na utapona tu 😀
 
Amepuuzia lile nenn huwezi kumtumikia mungu na mali.Ndiyo watumishi wakatoliki hawaowi nahawafanyi miradi lengo wawe bize ma huduma ukiwa na miradi,mke utatumia muda wako mwingi kuwajibika na familia na mali.Hao wastahili ya mwamposa mimi hata miumwehoi taabani siwezi kwenda kwao heri nife.
Umetisha sana
 
Hivi huwa unamsikiliza kwa nia ya kuupata ujumbe wa uzima wa milele anaohubiri au unamfatlia ili kuikosoa huduma yake? Hii ni mara ya pili naona unaleta nyuzi za kukukera kuhusu huyu mtume wa waja.
Mwamposa hajawahi kuhubiri kuhusu uzima wa milele,mwamposa ibada zake ni juu ya utajirisho,umaarufu na mafanikio.
 
"Nitakuwa ni Mjinga kama nikipumzika Kazi hii ya Kumtumikia Mwenyezi Mungu na kuwa Masikini hivyo kama unaenda Mkoani Mbeya karibu katika Hotel yangu kwani haina Gharama" amesema Mtume wenu Mwamposa.

*Na sijaishia tu kuwa na hiyo Hotel bali kwa sasa nina Shamba Kubwa Heka na Heka za Parachichi na sitoishia hapa nitakuwa navyo Vingi tu" amesema Mtume wenu Mwamposa.

"Kabla sijawa Mtumishi hivi nilikuwa Mfanyabiashara mkubwa tu nchini Zambia, Malawi na Kwingineko na nilivyoanza Kumtumikia Mungu hivi nikaacha ila kwa sasa nimerejea tena kuwa Mfanyabiashara hivyo nitakuwa Mtumishi na hapo hapo Mfanyabiashara na atakayenishangaa atakuwa Mjinga na ana Akili za Kuku" amesema Mtume wenu Mwamposa.

Chanzo: Mahubiri yake yanayoendelea hivi sasa na yako Mubashara katika Television Channel yake.

Kazi Kwenu Waumini wake ila MINOCYCLINE nawaonea mno Huruma na sasa hivi ameamua Kuwadharau wazi wazi huku akitambia Utajiri wake ambao kwa 99.9% umetokana na Sadaka zenu Masikini Wenzangu msiotaka Kusikia tunaowaokeeni ili asizidi Kuwapoteza na kuwafanya Mitaji yake.

Sijawahi Kusikia Maaskofu wa Katoliki, Lutheran, Anglican na hata wale wa Seventh Day ambao wana Hotels na Hostels zao pamoja na Biashara zao nyingi za Kitaasisi wakwa Madhabahuni wanafanya Promo za Biashara zao / Miradi yao kwa Waumini wao tena katikati ya Ibada.

Ndiyo maana nalipenda mno Dhehebu langu Kuu na Takatifu la Katoliki ( Roman Catholic ) kwani huku na kule kwa Lutherans na Anglicans ndiko kuna Ibada za Kweli, Ibada za Kistaarabu na Maendeleo ya Kiuhalisia na siyo ya Kishetani / Kiuchawi pamoja na Uongo na Utapeli mwingi.
Wivu Tuu LIONE
 
Mkuu makanisa yote ya kikristo yanaendeshwa kwa michango, shukran, faini, sadaka na zaka za waumini!

The common denominator ni waumini kukamuliwa! Wanufaika wakiwa wote ni wachungaji, mapadre, makasisi, wainjilisti na maaskofu!
 
Piga mahubili, na fanya biashara, hakuna ubaya, ametengeneza ajira, ni somo zuri kwa waumin wake, wajue kwamba Mungu anabariki kazi ya mikono yako, haiwezekani na itakuwa ni matusi makubwa, una uwezo na talent ya kuwa mfanyabiashara,na una uwezo wa kuhubili, harafu uache kutengeneza pesa kwa talanta alizokupa Mungu!
Anachofanya Mwamposa ni somo kubwa kwa waumini wake, waache kuwa kama mazombi, kushinda kanisani saa 8!, wakatafute pesa,wakati wao wamefunga biashara zao wapo kanisani, Pastor wao, yeye anapiga pesa kupitia kwenye hotel yake.
 
"Nitakuwa ni Mjinga kama nikipumzika Kazi hii ya Kumtumikia Mwenyezi Mungu na kuwa Masikini hivyo kama unaenda Mkoani Mbeya karibu katika Hotel yangu kwani haina Gharama" amesema Mtume wenu Mwamposa.

*Na sijaishia tu kuwa na hiyo Hotel bali kwa sasa nina Shamba Kubwa Heka na Heka za Parachichi na sitoishia hapa nitakuwa navyo Vingi tu" amesema Mtume wenu Mwamposa.

"Kabla sijawa Mtumishi hivi nilikuwa Mfanyabiashara mkubwa tu nchini Zambia, Malawi na Kwingineko na nilivyoanza Kumtumikia Mungu hivi nikaacha ila kwa sasa nimerejea tena kuwa Mfanyabiashara hivyo nitakuwa Mtumishi na hapo hapo Mfanyabiashara na atakayenishangaa atakuwa Mjinga na ana Akili za Kuku" amesema Mtume wenu Mwamposa.

Chanzo: Mahubiri yake yanayoendelea hivi sasa na yako Mubashara katika Television Channel yake.

Kazi Kwenu Waumini wake ila MINOCYCLINE nawaonea mno Huruma na sasa hivi ameamua Kuwadharau wazi wazi huku akitambia Utajiri wake ambao kwa 99.9% umetokana na Sadaka zenu Masikini Wenzangu msiotaka Kusikia tunaowaokeeni ili asizidi Kuwapoteza na kuwafanya Mitaji yake.

Sijawahi Kusikia Maaskofu wa Katoliki, Lutheran, Anglican na hata wale wa Seventh Day ambao wana Hotels na Hostels zao pamoja na Biashara zao nyingi za Kitaasisi wakwa Madhabahuni wanafanya Promo za Biashara zao / Miradi yao kwa Waumini wao tena katikati ya Ibada.

Ndiyo maana nalipenda mno Dhehebu langu Kuu na Takatifu la Katoliki ( Roman Catholic ) kwani huku na kule kwa Lutherans na Anglicans ndiko kuna Ibada za Kweli, Ibada za Kistaarabu na Maendeleo ya Kiuhalisia na siyo ya Kishetani / Kiuchawi pamoja na Uongo na Utapeli mwingi.
huyo nabii wa uongo endeleeni kumpa sadaka.
 
Back
Top Bottom