BodGanleonid
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 3,021
- 4,330
Kumfatilia sana ni dalili mojawapo unamkubali kimtindo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bahatika kupita pale Kawe muda huu utawaonea hurumaJamaa Ana wafuasi wajng kabisa
Acha aendele kujipigia tu
Ova
Unawashwawashwa nami ukiwa wapi?Hivi huwa unamsikiliza kwa nia ya kuupata ujumbe wa uzima wa milele anaohubiri au unamfatlia ili kuikosoa huduma yake? Hii ni mara ya pili naona unaleta nyuzi za kukukera kuhusu huyu mtume wa waja.
Na yenyewe ilivyo Mijuha inashangalia na Kumshangilia pia wakati kumbe Kiuhalisia anawadanganya tu.Hapo anawabia indirectly kuwa wao ndio wamempa mtaji.
God save us.
Kwa mujibu wa mwamposaYaani una maanisha huyu mtani wangu na mshamba wa mkoa wa mara ana akili za kuku au za bata?
Mwamposa ni mpigaji kama wapigaji wengine hapa nchini, tena opportunist mkubwa sana asikuambie mtu. Wajinga ndio waliwao, ngoja aendelee kuwala taratibu hadi akili ziwakae sawa."Nitakuwa ni Mjinga kama nikipumzika Kazi hii ya Kumtumikia Mwenyezi Mungu na kuwa Masikini hivyo kama unaenda Mkoani Mbeya karibu katika Hotel yangu kwani haina Gharama" amesema Mtume wenu Mwamposa.
*Na sijaishia tu kuwa na hiyo Hotel bali kwa sasa nina Shamba Kubwa Heka na Heka za Parachichi na sitoishia hapa nitakuwa navyo Vingi tu" amesema Mtume wenu Mwamposa.
"Kabla sijawa Mtumishi hivi nilikuwa Mfanyabiashara mkubwa tu nchini Zambia, Malawi na Kwingineko na nilivyoanza Kumtumikia Mungu hivi nikaacha ila kwa sasa nimerejea tena kuwa Mfanyabiashara hivyo nitakuwa Mtumishi na hapo hapo Mfanyabiashara na atakayenishangaa atakuwa Mjinga na ana Akili za Kuku" amesema Mtume wenu Mwamposa.
Chanzo: Mahubiri yake yanayoendelea hivi sasa na yako Mubashara katika Television Channel yake.
Kazi Kwenu Waumini wake ila MINOCYCLINE nawaonea mno Huruma na sasa hivi ameamua Kuwadharau wazi wazi huku akitambia Utajiri wake ambao kwa 99.9% umetokana na Sadaka zenu Masikini Wenzangu msiotaka Kusikia tunaowaokeeni ili asizidi Kuwapoteza na kuwafanya Mitaji yake.
Sijawahi Kusikia Maaskofu wa Katoliki, Lutheran, Anglican na hata wale wa Seventh Day ambao wana Hotels na Hostels zao pamoja na Biashara zao nyingi za Kitaasisi wakwa Madhabahuni wanafanya Promo za Biashara zao / Miradi yao kwa Waumini wao tena katikati ya Ibada.
Ndiyo maana nalipenda mno Dhehebu langu Kuu na Takatifu la Katoliki ( Roman Catholic ) kwani huku na kule kwa Lutherans na Anglicans ndiko kuna Ibada za Kweli, Ibada za Kistaarabu na Maendeleo ya Kiuhalisia na siyo ya Kishetani / Kiuchawi pamoja na Uongo na Utapeli mwingi.
Bora hata hawa majuha wa kwa Mwamposa kuliko wale wanaomshabikia mfalme Zumaridi. Wale ndio kuku kabisa, tena afadhali kuku ana akili.Na yenyewe ilivyo Mijuha inashangalia na Kumshangilia pia wakati kumbe Kiuhalisia anawadanganya tu.
Nilifika kwenye hapo anasema ana mashamba ya maparachichi nikaanza kucheka Sadaka za watu zimenunua shamba la maparachichi alafu anawapiga kayabayenza funika funika ili MCHEZO usijulikane ulivyo daaah Ila vichaa hawatoacha kwenda kumchangia mpaka anunue Ndege yake bunafsiKwani Kuna kitu amekosea hapo! Ama ni chuki binafsi zinatesa nafsi zetu????
Mkuu umekereka hatari....hii ndo JF usikereke.Hivi huwa unamsikiliza kwa nia ya kuupata ujumbe wa uzima wa milele anaohubiri au unamfatlia ili kuikosoa huduma yake? Hii ni mara ya pili naona unaleta nyuzi za kukukera kuhusu huyu mtume wa waja.