Mtume Wenu Mwamposa afanya 'Promotion' ya Hotel yake ya Mkoani Mbeya katikati ya Ibada Tanganyika Packers Kawe leo

Juha Kazini.
 
Juha Kazini.
 
Narudia wewe ni mpumbavu ni
Wewe ni mpumbavu na ni mwana wa wapumbavu -- ayubu 30: 8 aliyekwambia watumishi wa mungu hawaruhusiwi kuwa na Mali au biashara ninani?? Tafuta Hela acha wivu wa kijinga umaskini sio sifa ya mungu wetu!!! Mungu alimwambia ibrahimu nitakubariki sana utakuwa tajiri wa fedha na dhahabu !! Mwamposa akiwa na Hela wewe kinakuuma Nini?? Ayubu na sulemani watu Hawa walikuwa na upako na pia walikuwa matajiri kupitiliza mungu aliwabariki sana!! Mungu wetu tunaemtumikia sisi huenda ni tofauti na huyo wa kwako wa kikatoliki!!! Na kwa maelezo Yako mwenyewe inaonekana unaabudu kanisa katoliki tofauti na sisi '' sisi tunamwabudu mungu sio kanisa Wala dhehebu !! Kwa jinsi ulivyonachuki na mwamposa na watumishi wengine wakilokole huwezi kukosa uchawi mwilini mwako !! Mtu mzima unajivunia dini ? Ni andiko Gani kwenye biblia linalotaja kanisa katoliki?? Yesu hujenga kanisa ndani ya mtu na sio kwenye majengo ya tope na bati na mbao za msonobari!! Ukue na uwe na Imani hujachelewa Bado yesu anakupenda
 
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu... Za kuambiwa changanya na za kwako...
 
Huna akili kichwani, yaan Hiko kichwa kimebeba macho tu ata ubongo hakuna , Hiko kichwa ni adhabu kwa mwili,
Catholic Wana mashamba maheka na maheka ,..

Mashule, vitega uchumi kibao huna akili huoni chochote, Ila tunashukuru kwa Tangazo lako maana wengine hatukua tunajua,

KKKT Wana mashamba, msikilize Dr Eli kimaro alisema ana mashamba uko hawez kuajiri wa christo
 
Hivi huwa unamsikiliza kwa nia ya kuupata ujumbe wa uzima wa milele anaohubiri au unamfatlia ili kuikosoa huduma yake? Hii ni mara ya pili naona unaleta nyuzi za kukukera kuhusu huyu mtume wa waja.
Wanayemuhubiria kwa kutoa mapepo kwa jina lake alikuwa maskini wa kutupa,yaani Yesu, Hata wanafunzi wake walikuwa maskini wa kutupa,lakini wao wamejikita kwenye utapele wa mafuta na maji ya upako
 
Kwani hao maaskofu wa madhehebu hayo uliyotaja kutokuwa na biashara ndio kigezo kikuu madhehebu mengine lazima yafuate!pia kanisa kalianzisha yeye,sadaka inaingia kwenye account yake,ulitaka ile hela iwe inaenda wapi au afanyie nini,unaweza kukuta kama ni wajane,wagonjwa,wazee na wengine kote kwenye uhitaji wa misaada anatoa,na bado chenji inabaki nyingi tu,sioni kama kuna shida hapo kwenye kufanya biashara...
 
Amepuuzia lile nenn huwezi kumtumikia mungu na mali.Ndiyo watumishi wakatoliki hawaowi nahawafanyi miradi lengo wawe bize ma huduma ukiwa na miradi,mke utatumia muda wako mwingi kuwajibika na familia na mali.Hao wastahili ya mwamposa mimi hata miumwehoi taabani siwezi kwenda kwao heri nife.
 
Huna Akili.
 
Sawa unalipenda dhehebu lako ila ujue mambo yao ni ya Siri, ni ya kifalsafa zaidi. Huyu ameweka mambo wazi, waambie nao waweke mambo wazi. Utasikia Kuna mtu mwenye benki Uswise.
 
*Na sijaishia tu kuwa na hiyo Hotel bali kwa sasa nina Shamba Kubwa Heka na Heka za Parachichi na sitoishia hapa nitakuwa navyo Vingi tu" amesema Mtume wenu Mwamposa.
Hii line hapa!

Na alipokuwa anasema maneno haya walimpigia makofi mengi na Amina Amina za kutosha.
 
Yaani kuwambia watu tena waumini wake wakitaka huduma za hotels waende kwenye hoteli yake ni tatizo?

Sisi ngozi nyeusi kuna mahali tulimkosea Mungu vibaya sana ndyo maana tumejawa na roho mbaya kupita maelezo
 
Biblia inasema, "mtawatambua kwa matendo yao"
 
Dini ni biashara kama biashara zingine tu!
 

Unaweza kukuta?unamuuzia mgonjwa mafuta ya upako halafu unaenda kumpa mgonjwa mwingine hera?kwanza tuachane na hayo Yesu hakuwahi kuuza bidhaa yoyote ile ili amponye mgonjwa,hao ni wapigaji tu
 
Wanayemuhubiria kwa kutoa mapepo kwa jina lake alikuwa maskini wa kutupa,yaani Yesu, Hata wanafunzi wake walikuwa maskini wa kutupa,lakini wao wamejikita kwenye utapele wa mafuta na maji ya upako
Huna akili kabisa
 
Watanzania wengi hawafai kutetewa kama huamini katafute video ya Zumaradi alivyo achiwa.. [emoji23][emoji23][emoji23] Akili zao finyu zinafanya serikali iwatumie Hawa manabii kwenye maswala ya usalama wa taifa..

Wengine wachafu wanawatumia kutakatisha pesa yani hatari sana *****
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…