Mtumie mpenzi wako text hii "it's over me and you " halafu screenshot tuone majibu yake

Unaweza kutuma hivyo ukashangaa unajibiwa "am sorry babe, sitorudia tena" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kumbe manzi kajistukia alikuwa anachepuka..
Kumbe inaweza kuwa njia ya kujua kama anachepuka au hachepuki?
Unaweza kutuma hivyo ukashangaa unajibiwa "bora umejiongeza nilikuwa natafakari tutaachana vipi, haya mahusiano mema" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ukaanza kubembeleza πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…