Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Ukiangalia hizo screenshot, kuna moja mwanamke kalipokea kwa furaha kama unavyoeleza, nadhani alikuwa kishachoka.Unaweza kutuma hivyo ukashangaa unajibiwa "bora umejiongeza nilikuwa natafakari tutaachana vipi, haya mahusiano mema" ๐๐๐
Ukaanza kubembeleza ๐
Kuna demu mmoja ana matusi huyo, anataka kitu, agongwe kwanza ndiyo wavunje relation, ni mhuni af mbabe.
Wengine wote waliobaki ni mwendo wa kulilia love tu, ingawa screen shot zimejirudia rudia sana lakini zimeonesha asilimia kubwa wameguswa na kutia akili.