Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni michezo ya Kipumbavu sana kuchezea hisia za watu wazima asieeNampenda sana, siwezi kumletea michezo ya kijinga.
Usijaribu km unajijua wewe nafasi yako hua unatokea bench yaan kukibitajika sub ndio unaingia uwanjani usijaribuAisee,wanamoyo kweli wa kubembeleza 😊
Utamburuga mtu aburugikeNi michezo ya Kipumbavu sana kuchezea hisia za watu wazima asiee
Test mitambo ujijue wewe ni speatairi au ndio tairi lenyeweNampenda sana, siwezi kumletea michezo ya kijinga.
Umeiona.Hiyo chat ya pili ni broken tupu.
Hello😂😂😂 Mnataka mniibe nije Uchagani? Hope urassa
Mbona huyo si demu wako sasa.Dem wangu ni kama ameshaniacha kitambo. Kila kitu nikianzishe mimi.. nibembeleze,nijishushe,nipige simu mimi,nianzishe story mimi nim miss mimi yani daaah siwez kumwambia it's over inaexa kuwa mwisho
Mi kunijaribu tu hivyo nishaondoka mazimaUsijaribu km unajijua wewe nafasi yako hua unatokea bench yaan kukibitajika sub ndio unaingia uwanjani usijaribu
Hahaha kwani anaishi wapi!?Nikupe hiyo Mamchagaa? 😂 Hope urassa
Wazee wakujibust tumetest mitamboMi kunijaribu tu hivyo nishaondoka mazima
Emu nipe namba yake tutest km kweli sio demu wakoDem wangu ni kama ameshaniacha kitambo. Kila kitu nikianzishe mimi.. nibembeleze,nijishushe,nipige simu mimi,nianzishe story mimi nim miss mimi yani daaah siwez kumwambia it's over inaexa kuwa mwisho
Heheeee. Mjini Daslamaa.Hahaha kwani anaishi wapi!?