Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

Vip wale walio hubiri uchomaji makanisa, na wakatekeleza??

Na wale wanao hubiri baadhi ya watu waueliwe tena viongozi??
Vipi na wale wanahubiri hadhalani kuwa jamiii fulani au watu wa dini fulan wauliwe, wanakamatwa??
Wale ambao wana lazimisha dini nyingine zifate dini yao kipindi chao kama mfungo, na ukikutw unakula msimu huo unafanyiwa vurugu, unapigwa vipi wali kamatwa?

WATU WAACHE DOUBLE STANDARD.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
We chukulia tu masihara,icho kitendo alichokifanya ni cha uvunjifu wa amani katika jamii ya kilosa
Hakuna masihara mkuu, nimeuliza vikizeeka huwa mnavifanyaje? Nani huwa anavichapa?
 
Kitabu ambacho hakichanwi, au kukifanyia udjalilishaji mbele ya jamii, namba moja duniani inashikiliwa na quraan"

Maeneo mengine kufanya hivo ni sawa na kujitangazia kifo!

Kwenye quraan (bila kutaja kifungu) mwenyezi mungu alisema"( astaghafiru)"
Kupitia mtume wake.
S.A.W...."Nimewaachina dini yenu muilinde, lakini kitabu changu nitakilinda mimi"

Ukifanya maovu kwenye kile kitabu, hata kama hujakamtwa, uombe tu polisi wakuchukue ukakae eneo salama"
Ujinga mtupu yaani kuna kitabu kisichochanwa duniani ? huwezi mzuia mtu kufanya atakalo jamani tubadilike

Sent using Redmi Y2
 
Wamemsimamisha kazi kwa sababu za kijinga sana.

Hilo nalo ni kosa?
Ni kosa la kijinga sana hilo amefanya,kwa hio hata wakimsimamisha kazi ni sawa tu maana mtumishi wa umma akiwa mjinga hivo ni tatizo kubwa
 
Ametenda jinsi, adhabu kifungo au faini, je vipi kuhusu yeye kusimamishwa kazi inakuaje hapo kwa Sheria za kazi
 
Hakuna masihara mkuu, nimeuliza vikizeeka huwa mnavifanyaje? Nani huwa anavichapa?
Hua kuna utaratibu wake,mfano kuna vile vipande vipande inatakiwa unachimbia shimo kisha unafukia,iyo yote ni kuondoa kule kupeperuka kwake ambapo vitaelekea sehemu ambapo hapastaili mfano kama chooni ndio maana wanafanya ivyo
 
Si angechoma biblia
Amesema, Hiyo kuran sio kitu chochote kwake na kama huyo mungu wenu ana uwezo wowote, ampasue basi hata jicho moja. I think he has a point there. Kwa nini tumtetee muumba?? Si alimuumba pia huyu kichaa?? Kwa nini basi asimpasue hata jicho moja tujue kuwa HACHEZEWI?
Jafo, kumfukuza kazi ni upuuzi pia. Amwache muumba wake amshughulikie. Asipo mshughulikia basi huyo naye ni useless
 
Watu wanachanganya....hajachukuliwa na polisi ili kumuadhibu..la hasha! Amechukuliwa na polisi ili kulindwa na hasira za wafia dini...angekula kisu huyo
Your browser is not able to display this video.
 
Serikali imepima nidhamu na mihemko ya wenye misimamo mikali, kwamba je bado mtaani watu wanamihemuko au lah!!

Trust me ingekua kipindi kile ni maandamano morogoro nzima.

Jibu ni kwamba hata wakiiba kura hakuna wakufurukuta mtaani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujinga mtupu yaani kuna kitabu kisichochanwa duniani ? huwezi mzuia mtu kufanya atakalo jamani tubadilike
Hakuna mtu anaefanya alitakalo kuna sheria zinatuzuia kufanya lolote tulitakalo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…