Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

Mwenye hiyo video tafadhali naomba niione.Nitumie hata PM

"Proudly, brought to u by Bachelor Sugu"
 
Upo sahihi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeiona hiyo video, kiuhalisia yule Jamaa kama dish limeyumba vile , kwa hivyo ni sawa kusimashwa kazi , sion Kama ni sawa serekali kua na watumishi machizi na pia kwa hatua hiyo serekali iliyomchukulia itapunguza jazba kwa waislam.

Haya mambo ya kiimani sio mazuri hua yanaleta machafuko kwa hiyo huyo Jamaa kakosea Sana tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naapa kwa aliyeniumba,huyu binaadam mwenzangu nikikutana nae huku moro tachokifanya ataenda kusimulia wafu wenzake huko makaburini
 
Hivi hapo kuna sheria yoyote ya kazi aliyokiuka. Mimi nadhani kukamatwa ni sawa ila kusimamishwa kazi inahusianaje na hilo tukio. Lazima viongozi wetu wawe wanaangliq sheriq zaidi badala ya utashi wao binafsi
Kwa usalama wake bora wamuhamishe huko aliko na tusijue yupo wapi.watu kama hawa wanapaswa kushughulikiwa kwa kunyongwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…